Mbona wengine wanajulikana Kitambo tu 'Kusagana' na Wanawake maarufu na Kuwahonga Pesa na Mali Dar, Arusha na Dodoma na hamuwakemei?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,746
109,188
Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi amekemea vikali na kupiga marufuku tabia ya wanawake watu wazima, kuwaweka kinyumba vijana wenye umri mdogo.

Mgomi ameyasema hayo wakati akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Mtima, Ileje na kueleza kuwa taarifa zimemfikia kwamba vijana wengi wanaishi kinyumba na wanawake waliowazidi umri kwa sababu ya kufuata fedha.

Amesema hali hiyo inawafanya vijana kutojishughulisha na shughuli za kimaendeleo na kueleza kuwa jambo hilo ni kinyume na mila na tamaduni za Kitanzania.

Chanzo: globaltvonline

GENTAMYCINE nitashukuru nikijibiwa hilo Swali langu Kuntu nililoliuliza katika Kichwa changu cha Habari ( Headline ) ya Uzi huu.
 
Si wengne hatuwajui toa code
Wenye Akili Kubwa na Wanaonielewa haraka GENTAMYCINE nina uhakika wameshanielewa vyema tu.

Hadi nimetaja Mikoa ya Dar es Salaam, Arusha na Dodoma bado tu hujaielewa Code Mkuu?

Haya nakurahisishia Kazi from Isles Queen Sponsor to Igunga, Morocco Airtel Dar es Salaam then to new branch Dodoma Capital City.

Kama mpaka hapa umetoka kapa nakuomba Usinisumbue tena na acha pia hata Kusoma Mada zangu hapa JamiiForums sawa?
 
Sasa shughuli gani za maendeleo watafanya ili wapate mafanikio 🤔🤔 wamesoma lakini ajira zinatoka kiduchu kwa mjuano, kwenye kilimo hakuna afadhali mikopo yenyewe inatolewa kwa vijana wa chama cha mboga mboga, awaache vijana watumie viuno vyao kupata ugali wao wa Kila siku, ingekua wamekua mashoga hapo tunge wasaka na mapanga tuwa nyooshe vizuri
Inasemekana na wale wasaka vipaji wawili wakuu wana michezo kama ya yul marehemu milembe wa ggm geita🏃🏃🏃🏃
 
Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi amekemea vikali na kupiga marufuku tabia ya wanawake watu wazima, kuwaweka kinyumba vijana wenye umri mdogo.

Mgomi ameyasema hayo wakati akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Mtima, Ileje na kueleza kuwa taarifa zimemfikia kwamba vijana wengi wanaishi kinyumba na wanawake waliowazidi umri kwa sababu ya kufuata fedha.

Amesema hali hiyo inawafanya vijana kutojishughulisha na shughuli za kimaendeleo na kueleza kuwa jambo hilo ni kinyume na mila na tamaduni za Kitanzania.

Chanzo: globaltvonline

GENTAMYCINE nitashukuru nikijibiwa hilo Swali langu Kuntu nililoliuliza katika Kichwa changu cha Habari ( Headline ) ya Uzi huu.
Hili kundi linaongozwa na Mishangazi ambayo ni viongozi wa kike serikalini. Wakuu wa Wilaya, wakurugenzi na wakuu wa idara wa kike 90% wako kwenye kundi hili. Ila nasikia kuna mmoja hawezi kukemewa naye anasagisha.
 
Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi amekemea vikali na kupiga marufuku tabia ya wanawake watu wazima, kuwaweka kinyumba vijana wenye umri mdogo.

Mgomi ameyasema hayo wakati akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Mtima, Ileje na kueleza kuwa taarifa zimemfikia kwamba vijana wengi wanaishi kinyumba na wanawake waliowazidi umri kwa sababu ya kufuata fedha.

Amesema hali hiyo inawafanya vijana kutojishughulisha na shughuli za kimaendeleo na kueleza kuwa jambo hilo ni kinyume na mila na tamaduni za Kitanzania.

Chanzo: globaltvonline

GENTAMYCINE nitashukuru nikijibiwa hilo Swali langu Kuntu nililoliuliza katika Kichwa changu cha Habari ( Headline ) ya Uzi huu.
Wamama wa njombe mbeya sumbawanga iringa hiyo ndio kazi yao wakisha waua waume zao wanatafuta vijana wadogo wakula hela ya hayati alioiacha
 
Back
Top Bottom