Jaji Mkuu na Jaji Kiongozi tunaomba muingilie hili kwa mustakabali wa haki. Jaji Salma Maghimbi ni mzigo kwa Mahakama

activist

Senior Member
Jan 3, 2014
153
178
Jaji SALMA MUSSA MAGHIMBI Jaji Mfawidhi Mahakama kuu Kanda ya Dar amekuwa akichelewesha kutoa nakala za hukumu pamoja na Drawing Order kwa muda mrefu.

Ninavyoongea kuna hukumu alizotoa toka mwezi wa 5 ila mpaka sasa hajaweza kutoa nakala ya hukumu au drawing orders.

Tunaomba Mahakama immulike na kumshinikia kutoa nakala ya hukumu na drawing order kwa kesi ambazo alishazitolea hukumu/uamuzi.
 
Wanaweza kupunguza kwa kiasi flani kama wataamua kuwa serious.
Mkuu mimi nilikuwa nina shida ofisi fulani Dodoma. nilizungushwa wiki nzima. Nenda huku rudi huku..

Ambaye anahusika ndiye ananizungusha na ni mkuu wa idara fulani yupo serious kuanzia muonekano na hataki mchezo kwa walio chini yake.

Nikapewa siri. Kwa shida hii tafuta laki 5 mpelekee asubuhi kwenye bahasha.. Mwambie mkuu nimekuletea shukrani fanya wepesi.

Siku mbili suala liliisha nikaondoka..
 
Watu wa mahakamani kitu cha kwanza kitakachowafanya wasiuone ufalme wa Mungu ni "rushwa". Mahakama imejaa rushwa, mamaji wa mahakama ya rufani tu ndio sio wala rushwa, ila wengine woote hadi mahakimu, hata ukienda nyumbani kwao ukiona kuna kitu, meza jua hiyo ni zao la rushwa. Tumwogope Mungu.
 
watu wa mahakamani kitu cha kwanza kitakachowafanya wasiuone ufalme wa Mungu ni "rushwa". mahakama imejaa rushwa, mamaji wa mahakama ya rufani tu ndio sio wala rushwa, ila wengine woote hadi mahakimu, hata ukienda nyumbani kwao ukiona kuna kitu, meza jua hiyo ni zao la rushwa. tumwogope Mungu.
Na kesi za rushwa wanahukumu wao!
Kwanini hii sheria ya rushwa isifutwe ili iwe halali ukitaka huduma ya umma uinunue na anayekuuzia alipe kodi serikalini kutokana na pato hilo la rushwa?

Maana rushwa haiwezi kwisha Tanzania Takukuru na Polisi ndio vinara wa rushwa na nyumba ya kuhukumu wala rushwa inataka rushwa ili ihukumu wala rushwa.
 
Jaji SALMA MUSSA MAGHIMBI Jaji Mfawidhi Mahakama kuu Kanda ya Dar amekuwa akichelewesha kutoa nakala za hukumu pamoja na Drawing Order kwa muda mrefu.

Ninavyoongea kuna hukumu alizotoa toka mwezi wa 5 ila mpaka sasa hajaweza kutoa nakala ya hukumu au drawing orders.

Tunaomba Mahakama immulike na kumshinikia kutoa nakala ya hukumu na drawing order kwa kesi ambazo alishazitolea hukumu/uamuzi.
Pole sana Mkuu wako bize na mambo ya chama kwanza. Unajua Uchaguzi uko karibu
 
Jaji SALMA MUSSA MAGHIMBI Jaji Mfawidhi Mahakama kuu Kanda ya Dar amekuwa akichelewesha kutoa nakala za hukumu pamoja na Drawing Order kwa muda mrefu.

Ninavyoongea kuna hukumu alizotoa toka mwezi wa 5 ila mpaka sasa hajaweza kutoa nakala ya hukumu au drawing orders.

Tunaomba Mahakama immulike na kumshinikia kutoa nakala ya hukumu na drawing order kwa kesi ambazo alishazitolea hukumu/uamuzi.
Sio drawing order, ni drawn order.
 
Kwa m8najili ya kutomulikwa huwa wanatoa hukumu in favor ya executives

Haiitaji darubuni
 
Na kesi za rushwa wanahukumu wao!
Kwanini hii sheria ya rushwa isifutwe ili iwe halali ukitaka huduma ya umma uinunue na anayekuuzia alipe kodi serikalini kutokana na pato hilo la rushwa?

Maana rushwa haiwezi kwisha Tanzania Takukuru na Polisi ndio vinara wa rushwa na nyumba ya kuhukumu wala rushwa inataka rushwa ili ihukumu wala rushwa.
"....ya kuhukumu wala rushwa inataka rushwa ili ihukumu wala rushwa...."

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom