Natumaini nyote ni wazima wa afya njema.
Natafuta kazi ya aina yoyote, ambayo itaweza nipatia kipato ambacho kitanisaidia kupata walau chakula na malazi. Ndani na nje ya Dar es Salaam.
Taarifa zangu binafsi kwa ufupi:
Kijana mchapakazi, mwenye nidhamu na mwepesi kuzoea mazingira ya kazi...