mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,772
- 2,171
Wiki iliyopita nilitembelea jiji la Dar es Salaam baada ya kipindi cha takribani miaka 5.
Niliingia jijini usiku na nilishangaa maeneo ya katikati kabisa mwa jiji - Askari Monument, Mtaa wa Azikiwe na Samora hakuna taa za kuangaza mitaa. Mitaa hii maarufu ni giza.
Barabara zake zimechoka ila mbaya. Ile 'glamour' ya sehemu hizo haipo tena. Nikajiuliza hivi kweli Jiji la Dar es Salaam lina Mkurugenzi na Meya?
Shame on you City fathers!