Madai ya udhalilishaji wanafunzi, Mkuu wa shule Dar achunguzwa

Oldmantz

JF-Expert Member
Jan 24, 2023
430
996
Dar es Salaam. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Halmashauri ya Kinondoni jijini Dar es Salaam zimeunda kamati kuchunguza tuhuma za vitendo vya kunyanyaswa wanafunzi kingono zinazodaiwa kufanywa na mkuu wa Shule ya Sekondari Makumbusho, Juma Mulindani.

Kamati hizo zinachunguza malakamiko hayo baada ya wanafunzi na wazazi waliozungumza na gazeti hili kueleza baadhi ya wanafunzi kushindwa kuendelea na masomo na mwingine akihamishwa kutokana na kufanyiwa vitendo hivyo.
Uchunguzi uliofanywa na Mwananchi kwa siku kadhaa ulibaini wanafunzi hao wamekuwa wakiitwa katika ofisi ya mwalimu huyo na kufanyiwa vitendo vya udhalilishaji, ikiwemo kushikwa maungo yao, hali ambayo huwafadhaisha wanafunzi hao.

Mwananchi ilipomtafuta mwalimu Mulindani kuzungumzia tuhuma hizo zinazomkabili alisema kwa sasa hawezi kuzungumza chochote.
“Siwezi kuzungumza chochote kwa sasa kwa maana tayari natuhumiwa, sipo kwenye nafasi nzuri ya kuzungumza labda mkuu wangu anaweza kuelezea jambo hilo,” alisema.
Baada ya majibu hayo, Mwananchi lilimtafuta Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, Hanifa Hamza aliyesema; “sina taarifa kuhusu suala hilo, zungumza na msemaji wa halmashauri.”
Msemaji wa Halmashauri ya Kinondoni, Akwilinus Shiduki alipoulizwa alisema, “tunafuatilia taarifa hizi ili kujiridhisha na kama tutabaini ukweli tutachukua hatua.”
Jana asubuhi, alipotafutwa tena Shiduki alisema, “leo (jana) tunatarajia kupata taarifa ya uchunguzi wa awali ambao ulianza juzi.”

Kamati kuchunguza
Kamishna wa Elimu wa Wizara ya Afya, Sayansi na Teknolojia, Dk Lyabwene Mtahabwa alipoulizwa na gazeti hili juzi kuhusu tuhuma hizo alisema anaunda kikosi kazi haraka kushughulikia suala hilo.
“Nasikia habari hizo kwa mara ya kwanza, tunashukuru kwa hili, kwa sababu kama tuhuma hizi zina ukweli tutaokoa mabinti wengi. Tunaingilia kati kwa undani zaidi na tunatuma kikosi kazi ili kiende hapo shuleni Makumbusho.

“Tukibaini ukweli wa taarifa hizo tutachukua hatua za haraka. Tuhuma za mwanafunzi aliyeacha shule tutamtafuta na ninakiagiza kikosi kazi kesho (jana) kitaanza kufanyia kazi kwa haraka,” alisema Dk Mtahabwa.
Alipotafutwa jana alisema, “kikosi kazi kimeanza uchunguzi leo (jana) na tutatoa taarifa yale yatakayobainika.”
Taarifa zilizolifikia Mwananchi jana zilieleza kuwa timu ya kikosi kazi kutoka Wizara ya Elimu iliweka kambi shuleni hapo kuhoji walimu na wanafunzi huku ikisemekana mwalimu mkuu huyo alionekana asubuhi na mchana alitoweka.

Tuhuma
Wakati wa uchunguzi huo, Mwananchi ilifanikiwa kupata barua zaidi ya 20 ambazo nyingine ziliandikwa na mmoja wa wanafunzi zikiwataja wanafunzi zaidi ya watano waliodaiwa kuhusishwa kimapenzi na mwalimu huyo.
Moja ya barua za malalamiko iliandikwa na mwanafunzi wa kidato cha tatu mkondo A ikisomeka;
“Wakati mwingine nikiwa naenda kutoa fedha ofisi ya chakula, aliniambia uwe unakuja peke yako na akawa ananiambia nisiwaambie watu chochote kuhusu yeye. Ila nikienda ofisini ananishika shika.”
Baadhi ya wanafunzi wa kike waliozungumza na Mwananchi, walidai namna wanavyodhalilishwa katika ofisi ya mwalimu huyo huku wakikosa suluhisho la kudumu kutoka kwa walimu na hivyo kwenda kuwaeleza wazazi.
“Aprili mwaka huu alianza kuniuliza kuhusu wazazi na ninaishi na nani nikamjibu wazazi wangu, akanituma tena mitihani ya kidato cha nne nikapeleka ofisini kwake akanipa hela na vitafunio.

Mkuu wa Shule Dar achunguzwa madai ya udhalilishaji wanafunzi
“Siku ya pili sikwenda shule, akaanza kuniulizia kwa wanafunzi wenzangu. Aliwaagiza nikienda shule niende kumuona, sikwenda. Akaniita tena sikwenda, akaanza kusema lazima nitoke kwenye uongozi wa shule kwa sababu sina nidhamu nzuri,” alisimulia mmoja wa viongozi wa kike shuleni hapo anayesoma kidato cha tatu.

Binti huyo mwenye umri wa miaka 15 (jina linahifadhiwa) aliendelea kusumbuliwa na mwalimu huyo huku akikiri kupewa fedha na kumsaidia katika kesi ya mitihani iliyokuwa ikimkabili kwa kuimaliza haraka na kisha aliendelea na mitihani yake.
“Kipindi cha likizo ya mwezi wa sita akaniambia njoo nitakupeleka sehemu tukastarehe na tutafanya vitendo na hutapata mimba, alikuwa akinielekeza hivyo, nilimweleza haitawezekana, kwani nitakwenda Moshi kwa bibi yangu,” alisimulia na kuongeza;
“Nyakati zote akiniita alikuwa ananishika maungo yangu. Siku moja mwalimu mmoja akaniita na kunihoji nilikiri akamwita mzazi. Mama alivyojua alishtuka sana akaanza kufuatilia.
“Tangu hapo akawa ananikazia jicho ananionyesha fimbo. Sikuwahi kukubaliana naye maana najua amewaharibu wanafunzi vidato vyote mpaka kidato cha kwanza,” alisimulia.
Mwanafunzi mwingine wa kidato cha pili alisema alinyanyaswa kingono na mwalimu huyo, hali iliyomwogopesha na kutafuta msaada kwa mmoja wa walimu shuleni hapo.
“Alikuwa akiingia darasani kufundisha ananikonyeza. Akiniita ofisini kwake ananishika maungo, ananiambia matusi mengi tu ambayo sikuwahi kuyasikia na ananipa ahadi za kunistarehesha,” alisema mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 14 anayesoma kidato cha pili na kuongeza kuwa hali hiyo inamuathiri kimasomo.
Mmoja wa wanafunzi wa kiume (jina linahifadhiwa) ambaye ni kiongozi shuleni hapo alisema amekuwa akitumwa kuwaita wasichana ofisini kwa mwalimu huyo na wengine wakitoka walimlalamikia, hivyo aliamua kuwapeleka kwa baadhi ya walimu kuhitaji msaada.

“Siku moja aliniambia nimtafute mwanafunzi wa kidato cha kwanza anayevaa kiatu namba 42, nilipohoji alisema ana viatu anataka ampe, ilinipa shida kuelewa na sikumpata.
“Malalamiko niliyokuwa nikiyapata wengi wakienda kusaini asubuhi anawashika, anawakumbatia na wengine anakwenda nao mpaka nyumbani kwake. Niliwahi kutofautiana naye kwa sababu ya hilo, hatuna mawasiliano mazuri,” alisema.
Alipoulizwa kuhusu wanafunzi walioacha shule, kiongozi huyo alikiri kuwa wapo, huku akimtaja mwingine (jina linahifadhiwa) kuwa anasemekana kuwa na ujauzito unaodaiwa kuwa wa mwalimu huyo.
“Wanafunzi wanne wameacha shule kidato cha tatu na nne. Kuna mwanafunzi aliacha shule tangu tumefanya mtihani wa kujipima Mei mwaka huu, niliwahi kukutana naye mtaani, kila nikimuuliza anasema hawezi kuja shule kutokana na vitu anavyofanyiwa, hivyo atakuja siku ya mtihani wa Taifa,” alisema.
Mwananchi lilimtafuta mwanafunzi huyo anayesoma kidato cha nne mkondo A anayeishi Mwananyamala Gereji (jina linahifadhiwa) na baada ya kumhoji sababu ya kusitisha masomo, hakujibu chochote.
Wanafunzi wengine wa kike walikiri kutendewa vitendo hivyo, hali iliyowafanya baadhi kuacha shule huku wengine wakihamishwa.

Malalamiko ya wazazi
Wazazi waliozungumza na Mwananchi walisema changamoto hiyo inawaathiri kwa kiasi kikubwa, kwani wasichana wanarudi nyuma kimasomo kutokana na hofu ya kuendelea kudhalilishwa.
“Binafsi nimemhamisha binti yangu shule, nimempeleka mkoani akasome huko maana nimeona ndoto zake hazitatimia. Alikuwa akiniambia mara kwa mara, nikaona suluhu kumwondoa,” alisema Irene Ernest, mzazi aliyemhamisha mtoto wake shule.

Mzazi mwingine, Elizabeth Kimario alisema suala hilo limemuathiri binti yake kwa kiasi kikubwa. “Baada ya mtoto wangu kuniletea taarifa nilishtuka na liliniumiza sana, nilienda shuleni nikampata mmoja wa walimu wanaosimamia nidhamu. “Akasema tatizo hilo ni kubwa, akanishauri kuchukua hatua nyingine, nimejaribu kwenda ofisi za walimu Wilaya ya Ilala (CWT) lakini wakanitaka niandike kwa maandishi kwa ushahidi, nikafanya hivyo. Waliniahidi watalifanyia kazi, lakini bado sijapata majibu mpaka sasa,” alisema.
Aliomba Serikali kuchukua hatua, akisema, “Si jambo zuri analolifanya mwalimu huyu. Kuna malalamiko mtaani, wazazi wanalalamika, kuna binti wa kidato cha nne amepata ujauzito na anazungumzwa mwalimu huyohuyo, sijapata bado taarifa sahihi.”

CREDIT:MWANANCHI
 
Ndo maana mpwayungu village huwa anawanaga walimu
 
Poleni waalimu dadeki kuna watoto wa Shule ni wazuri hatari ni pisi hatari chuchu za maana, vitako vyao, lips na sura zao tamu wewe waalimu poleni sana
 
Watoto wa masikini hawana mtetezi.... imagine hizi tuhuma zingekuwa kwenye shule wanazosoma watoto wa viongozi. Sidhani kama wazazi wangeambiwa kaleteni ushahidi wa maandishi kwanza!
 
Back
Top Bottom