Umerogwa sio bure: Unang'ang'ania Dar es miaka mingi, kula kwa shida, kulala kwa shida, unasafiri kwa shida huku kuna ardhi Tanzania haina mwenyewe

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,709
36,164
Bila salamu nawapa ujumbe wenu enyi watu.

Mnaweza kusema kuwa najiinua au nawakashifu ila Mimi siko huko. Ni upendo tu.

Waarabu wanasema fikisha ujumbe hata kama ni mchungu.

Miaka 5 inatosha kabisa mtu kupima bahati ya maisha Dar es salaam au mahali popote.

Unaishi Dar miaka zaidi ya 5 huna nyumba, huna kiwanja, kula kwako ndo kule unatafuta leo ili ule leo, kila siku kwenye daladala wewe ukichomoa pesa kubwa basi buku 2.

Unalala store (jiko, meza, sofa, feni, kitanda, pasi, bag la nguo na vitu vingine vyote ukifungua macho tu hivi hapa.

Tanzania hii kuna mahali kama Liwale huko Lindi ukifika kijiji chochote ukiomba ardhi ya kujenga au kulima unapewa bure kabisa. Yet wewe uko dar hata hatua 4 za ardhi Chanika huna . Umerogwa shituka

Kijijini wenzako wenye bidii wanamiliki pikipiki, gari, guta, nyumba, duka nk.

Kijijini ni bidii zako tu. Mjini kuna pesa kuliko kijijini ila kama kila ukihangahika huzipati za kukukwamua ni vyema utafute chimbo kijijini.

Braza alifika kijiji fulani kuuliza ardhi ya kulima huko chobingo akapewa upana wa hekari 5 urefu ajipimie mwenyewe.

Kama akilima hekari 40 na kupanda mikorosho baada ya miaka 5 atakuwa wapi?

Nakuuliza wewe unayelipwa laki 2 na Mwindi.
 
Braza kaenda chobingo kapewa ardhi na wewe ulienda wapi ukapata kiasi gani
 
Punguza msongo wa mawazo sisi wakazi Dar tunaenjoy maisha haututoi hata kwa katapila
FB_IMG_1688998744395.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Bila salamu nawapa ujumbe wenu enyi watu.
Mnaweza kusema kuwa najiinua au nawakashifu ila Mimi siko huko. Ni upendo tu.
Waarabu wanasema fikisha ujumbe hata kama ni mchungu.
Miaka 5 inatosha kabisa mtu kupima bahati ya maisha Dar es salaam au mahali popote.
Unaishi Dar miaka zaidi ya 5 huna nyumba, huna kiwanja, kula kwako ndo kule unatafuta leo ili ule leo, kila siku kwenye daladala wewe ukichomoa pesa kubwa basi buku 2.
Unalala store (jiko, meza, sofa, feni, kitanda, pasi, bag la nguo na vitu vingine vyote ukifungua macho tu hivi hapa.
Tanzania hii kuna mahali kama Liwale huko Lindi ukifika kijiji chochote ukiomba ardhi ya kujenga au kulima unapewa bure kabisa. Yet wewe uko dar hata hatua 4 za ardhi Chanika huna . Umerogwa shituka
Kijijini wenzako wenye bidii wanamiliki pikipiki, gari, guta, nyumba, duka nk.
Kijijini ni bidii zako tu. Mjini kuna pesa kuliko kijijini ila kama kila ukihangahika huzipati za kukukwamua ni vyema utafute chimbo kijijini.
Braza alifika kijiji fulani kuuliza ardhi ya kulima huko chobingo akapewa upana wa hekari 5 urefu ajipimie mwenyewe.
Kama akilima hekari 40 na kupanda mikorosho baada ya miaka 5 atakuwa wapi?
Nakuuliza wewe unayelipwa laki 2 na Mwindi.
Usitutishe🤣
 
Mbona Wahindi Mnabanana kwenye Vighorofa Kariakoo chumba kimoja Watu sita Wew Ndio Umerogwaa😅😅
 
Kwanini wa mikoani ndo wanalazimisha wenzao waondoke Dsm?

Kama umeondoka si ukae kimya?
Mtu anakwambia eti Dar siyo kila kituBinadamu...Haya tufanye Dar siyo kila kitu...

Ni wapi ndiyo kila kitu....

Mtu anakaa kuipondea Dar...anakuambia Dar hivi, Dar vile.... Mtu uzaliwe Mkoa huo huo kama hapa Dar, ukulie Dar,usome Dar.. utaanzaje kupapenda...Hata mimi ningeongea vya kuongea....

Mtu kama umejipata huko ulipo shukuru,na huyo aliyepo Dar muache na Dar yake..

Hata mimi mwenyewe siipendelei kivile
 
Back
Top Bottom