Albert Chalamila, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam aliyelishika jiji kwa uharaka

Orketeemi

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
4,319
10,022
Inawezekana nikawa nipo sahihi au sipo sahihi .

Kwa maoni yangu tangu Chalamila afike DSM jiji limetulia, kila kitu ni shwari.

Kinachofurahisha zaidi Chalamila ameishika Dar bila Kiki wala ubabe, ametulia anachapa kazi.

Namuona mtu huyu akija kuwa kiongozi mkubwa zaidi siku za usoni.

Mnyonge mnyongeni lakin haki yake msiache kumpa, Chalamila ni moja Kati ya wakuu wa Mikoa Bora kabisa katika awamu hii.

FB_IMG_1692113422863.jpg
 
Inawezekana nikawa nipo sahihi au sipo sahihi .

Kwa maoni yangu tangu Chalamila afike DSM jiji limetulia,, kila kitu ni shwari.
Kinachofurahisha zaidi Chalamila ameishika Dar bila Kiki wala ubabe, ametulia anachapa kazi.
Namuona mtu huyu akija kuwa kiongozi mkubwa zaidi siku za usoni.

Mnyonge mnyongeni lakin haki yake msiache kumpa , Chalamila ni moja Kati ya wakuu wa Mikoa Bora kabisa katika awamu hii.View attachment 2718280View attachment 2718280
CCM hawachewi kuchafuana
 
Amelishika vipi? Hawa ni moja ya wafanya kazi wanao kula mishahara ya bure nchi hii, hakuna wanacho fanya, wanacheza na akili za wapumbavu kama wewe
 
Makonda alikua na kashi kashi mara atake kutupima tezi dume Kwa lazima mara aite wamama waliotelekezewa watoto mara aseme kuoga lazima ili mradi akiongea lazima atoe Boko!
Tatizo ni kuwa watanzania wengi hufurahia ujinga kama wa Makonda. Ni utumwa wa ubongo, kama mtumwa anapojisikia vibaya pale anapopewa uhuru wake.
 
Inawezekana nikawa nipo sahihi au sipo sahihi .

Kwa maoni yangu tangu Chalamila afike DSM jiji limetulia,, kila kitu ni shwari.
Kinachofurahisha zaidi Chalamila ameishika Dar bila Kiki wala ubabe, ametulia anachapa kazi.
Namuona mtu huyu akija kuwa kiongozi mkubwa zaidi siku za usoni.

Mnyonge mnyongeni lakin haki yake msiache kumpa , Chalamila ni moja Kati ya wakuu wa Mikoa Bora kabisa katika awamu hii.View attachment 2718280View attachment 2718280

Sijui kumekuwa na changamoto gani dar zaidi ya Kariakoo, hili jiji hata form four anaweza liongoza, hemu sema a real value aliyoongeza!
 
Back
Top Bottom