dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Technical Operator-Packaging (Moshi, and Dar es Salaam) at Serengeti Breweries Limited November, 2023

    Position: Technical Operator-Packaging (Moshi, and Dar es Salaam) Worker Type: Regular Location: Moshi &Dar es Salaam Top accountabilities Adheres to Environment, Health and Safety procedures and standards Performs equipment shutdowns according to the SOP Run the equipment at the rated speed...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Jinsi ya Kufika Sikonge (Tabora) From Dar

    Wadau naomba ushauri njia rahisi ya kusafiri kwa basi kutoka Dar mpaka Sikonge Tabora na mabasi mazuri/kampuni ya kupanda. Shukrani
  3. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Morogoro Day Trip: Kwa Wakazi wa Dar & Pwani

    Salam wakuu. Hii special kwa wakazi wa Dar na Pwani. Najua mnakuaga busy sana, sana na kuna muda mnakosa ata muda wa kupumzisha akili na mwili, sababu ya muda na kipato kwa wengine. Kuna hii Hiking Day trip ya kwenda Morogoro na kurudi, unaweza have some fun na uka relax sana mwili na akili...
  4. ChawaWaMama

    JamiiForums Tanzania Miungurumo ya Majenerata Upanga na Posta jijini Dar

    GTs, Kwa wakazi kama mimi wa mitaa ya posta mpya au Upanga ni mashuhuda hizo kelele za majenerata yaani ni kama alivyotabiri Dkt Magufuli kuwa akiondoka madarakani hakuna atakayeweza kuisimamia serikali. Viongozi waadamizi wengi ni wezi na hakika imetokea yaani hata huwezi jua jenerata lipi...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Wakazi Kijijini Mbezi Beach B waigomea Serikali kuhusu kuhama eneo hilo

    Wakazi wa eneo la Kijijini lililopo katika Kata ya Kawe, Mtaa wa Mbezi Beach B, Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam wamekahidi kuhama eneo hilo kama ilivyoamuliwa na Serikali. Wakazi hao walipewa siku 14 za kuhama eneo hilo kwa hiari na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Matambule. Mkuu...
  6. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Kuna mtabiri alisema Dar itajaa maji tukimbilie Kibaha. Je, ni mvua hii au tusubiri nyingine?

    Imeandikwa Mathayo 10:41-42 "If you honor a prophet, you will receive a prophetic reward" yaani kama utamtii Nabii basi unabii utakusaidia, tumeamua kumtii nabii na tunamuuliza: Je, ni mvua hizi zitakazo sababisha bahari imwage maji na kuifunika Dar au tusubiri mvua nyingine?
  7. Execute

    JamiiForums Tanzania Wenye nyumba wengi hapa Dar es Salaam ni watu maskini sana

    Ukiondoa wale waliorithi ambao mara nyingi ni mafukara na wasiokuwa na mwelekeo wowote wa kimaisha zaidi ya kutaka kuuza mali walizoachiwa, kuna hawa ambao wanaishi kwenye eneo hilo hilo ambapo wamepangisha. Kodi ya jengo kaweka kwenye luku ya wapangaji na sio kule kwake. Bili ya maji hataki...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Wanaopewa fidia ili wahame bonde la Msimbazi, itawatosha kununua kiwanja na kujenga?

    Wanaopewa fidia ya milioni 6 ili wahame bonde la Msimbazi- Dar itawatosha kununua kiwanja na kujenga? Maana milioni 6 naona Kama ni ndogo, kwanini wasingepewa nyumba (apartment za pale Magomeni)? NOTE: FIDIA NI HURUMA YA RAIS TU Kinadharia hata wasingepewa kwa mujibu ya watoa hela. Vipi...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dar: Wananchi Mikocheni wagomea Kituo cha Mafuta kujengwa kwenye makazi yao

    Wananchi wakazi wa Mtaa wa Ally Hassan Mwinyi, Kata ya Mikocheni wilayani Kinondoni Dar es Salaam wamelalamikia kujengwa kwa Kituo cha kuuza mafuta cha Barrel Petrol Station karibu na makazi yao. Kituo hicho kinajengwa katika Barabara ya Senga, Mtaa wa Ally Hassan Mwinyi Kata ya Mikocheni...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kadogosa: Safari za SGR kutoka Dar - Moro zimechelewa kwasababu ya hatuna Vichwa vya Treni

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema ujenzi wa reli ya kisasa kipande cha Dar es salaam - Morogoro umekamilika kwa 100% na mabehewa zaidi ya 45 tayari yamewasili nchini lakini kilichosimamisha safari kuanza ni kuchelewa kwa vichwa vya treni ambapo hadi sasa...
  11. DolphinT

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wafanyakazi Shule Maarufu Tabata- Dar es Salaam Kugoma Muda Wowote

    Hizi ni tetesi zilifika hivi punde kwamba wafanyakazi katika shule maarufu huko Tabata Dar es Salaam kugoma muda wowote kuanzia sasa hali inayotishia kuhatarisha zoezi linaloendlea la mitihani ya kitaifa wakitaka kuushinikiza Ungozi wa shule na menejiment kusikiliza kero zao za muda mrefu ambazo...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dar: Mtumishi wa Wizara ya Ardhi akutwa na hatia ya Matumizi mabaya ya Madaraka na Kughushi Nyaraka

    Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemkuta na hatia ya Matumizi Mabaya ya Madaraka pamoja na Kughushi Nyaraka, mtumishi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi aliyetambulishwa kwa majina ya Melchiory Rutayuga Mukandala. Keshi hiyo iliyowasiliswa na Jamhuri kupitia Taasisi ya Kuzuia na...
  13. McFerson

    JamiiForums Tanzania Kwenu Wanasimba wa Dar

    Wasalaamu Ndugu mods hii sio violence, kwakuwa haidhuru mtu. Nyie wanalunyasi wa Dar hivi ni kweli haya mabango ya Yanga wanayobandika mjini mnataka kuniambia mpka sasaivi bado yapo mitaani kweli? Mimi ninachokijua haya yangebandikwa Mwanza au miji mingine yasingemaliza masaa sita...
  14. benzemah

    JamiiForums Tanzania TMA yasema mvua kubwa kunyesha Dar es Salaam kwa siku 4 kuanzia Jumatano Nov. 15, 2023

    Baada ya mapumziko ya siku mbili, mvua kubwa za El Nino sasa zinarejea tena Jijini Dar es Salaam na zitanyesha kwa siku nne mfululizo kuanzia kesho Novemba 15 na zitaendelea hadi Jumamosi ya Novemba 18 mwaka huu. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini TMA ni kwamba, mvua hizo mbali ya Dar...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Naomba uzoefu biashara ya daladala Dar es Salaam

    Habarini ndugu watanzania wenzangu. Naombeni kupata uzoefu wenu kwa biashara ya daladala kwa hapa jijini Dar es Salaam, ningependa kufahamu, changamoto zake, fursa zake, namna bora ya uendeshaji wa biashara hii, route ambayo ni nzuri kwa kuanzia na details nyingine ambazo ni muhimu kwa mgeni wa...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kati ya hizi

    Wapendwa, Ukiwa 2mil unaweza anzisha biashara ya uwakala/miamala ya cm Na je inalipa ?? Nahitaji kufahamu faida na changamoto zake
  17. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Kwa Arusha au Dar wapi naweza kupata Bay swing/Rocking chair?

    Habari zenu wadau, Naulizia kwa Arusha au Dar wapi naweza kupata Baby Rocking chair/Baby swing ya kutumia umeme tafadhali?
  18. T

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya mafuriko Dar es Salaam, wananchi inapaswa kujikana, kuukataa uchafu ili mitaro ya maji ifanye kazi vizuri

    Wanajamvi kama uzi unavyojieleza,binafsi tatizo kubwa la changamoto ya mafuriko yasiyoisha nimeona kwenye suala la uchafu wa mazingira uliokithiti kama chanzo ambayo inaathiri kwa kiasi kikubwa mitaro na njia za maji. Karibuni kwa mjadala zaidi tuisaidie serikali cha kufanya ili kujinusuru na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Picha hii inathibitisha Dar kuna shida ya chakula. Chapati zote hizo?

  20. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Serikali inasubiri nini kutangaza hali ya hatari kwa haya mafuriko ya Dar?

    Toka saa saba usiku mpaka muda huu ni takribani masaa 12 mvua haijakata. Sehemu nyingi za mitaa ya Dar hapapitiki sababu ya kujaa maji. Hata yale maeneo ambayo hayakuzoeleka kujaa maji leo yamejaa. Ikiwa itaendelea kunyesha hivi kwa masaa mengine 12 yajayo sidhani kama kesho watu wataweza...
Back
Top Bottom