dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Somanga: Rais Magufuli asikitishwa na uzembe wa Wizara ya Ujenzi kutokarabati barabara Somanga. Azawadiwa jogoo

    Ilibidi niende Dar es Salaam kwa kutumia Ndege kutokea Mtwara lakini nimepita hii Barabara (Mtwara- DSM) makusudi nione hali yake, hii Barabara imeharibika, 90 KM zote zimeharibika. magari yenye uzito mkubwa yameharibu hii Barabara Barabara hii ya Mtwara - Lindi-Dar es Salaam imeharibika sana...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Chuo cha Udaktari wilaya ya Masasi abaka mtoto wake na kumpa ujauzito

    Mwanafunzi wa Chuo cha Udaktari wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara Mkazi wa Mburahati Jijini Dar es Salaam na Itunduma kata ya Mtwango wilaya na Mkoa wa Njombe amepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kumbaka mtoto wake na kumsababishia ujauzito. Akimsomea Mashitaka matano yanayomkabili mshitakiwa huyo...
  3. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wajumbe wa viongozi Wakenya waliokwenda kuhudhuria msiba wa Mkapa, wageuza kutokana na hali ya hewa mbaya

    Haijafahamika kama walitimuliwa au ndege ilikatazwa ruhusa ya kutua au kitu gani, ila wajumbe hao ambapo humo kuna viongozi, walifika Tanzania na ndege kugeuza nao, bado inasubiriwa ieleweke nini haswa mbivu na ipi mbichi. Waziri wa Tanzania bwana Kabudi amesema hali ya hewa ndio ilikua mbovu...
  4. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ni uchawi ama hisia! Mahusiano kati ya baba na binti yametamalaki Jijiji Dar es Salaam

    Kuna watu wanajiulizaga huko mitaani hivi hivi vibinti huwa vinabikiriwa na nani? Kademu tunakaona kuanzia kapo darasa la kwanza, kanamaliza Darasa la Saba kana miaka kumi na mbili au kumi na tatu dogo (15yrs) anakatokea kanamkubalia kanampa tunda, wanasanukiwa, kesi inafika Kwa wazazi...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Lissu bila Polisi kutumia nguvu: Je, Makonda ndiye alikuwa chanzo cha vurugu Dar es Salaam?

    Nimeshuhudia watanzia wakiandamana kwa amani kea zaidi ya masaa matatu bika kuleta fujo Wala vurugu zozote. Je, vurugu tulizokuwa tunaziona kila wapinzani wanapokutana zilikuwa zinatengenezwa na Daudi Albert Bashite? Je, Kuna haja ya KUMPA pongezi za kipekee bwana Abubakar (Mkuu was mkoa wa sasa)?
  6. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ya Kunenge ni raha sana

    Niwe mkweli nimpongeze RC Aboubakar Kunenge Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama kwa kuruhusu wana CHADEMA na wafuasi wao kumpokea Makamu Mwenyekiti Mh.Tundu Lisu.. Niwapongeze wanachadema kwa utulivu wao wote kwa kipindi chote walichokuwa...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Miaka ya 70, 80 mpaka 90 kulikuwa na Shirika la Maendeleo Dar es Salaam, liko wapi?

    Dar es Salaam Coöperative Development (DDC) lilikuwa na bendi ya Muziki, vikundi vya ngoma za utamaduni, kumbi za starehe nk. Majengo yale yameboreshwa vipi kuwa vitega uchumi endelevu kwa sasa? Vitu hivi vimeishia wapi?
  8. Sabryna

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kwenye supermarket, duka la nguo, vipodozi, usafi wa maofisini

    Naitwa Sabrina Nina miaka 22, Naishi Dar, Ukonga. Elimu yangu kidato cha 4 Naongea English na Kiswahili, Natafuta kazi ya duka la nguo, vipodozi, supermarket au usafi wa maofisini.
  9. Lord Diplock MR

    JamiiForums Tanzania GE2020 Paul Makonda achukua fomu ya Ubunge Kigamboni, kupitia CCM

    RC MAKONDA ACHUKUWA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KIGAMBONI Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo Julai 15 amechukuwa Fomu ya kuomba ridhaa ya Kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Kigamboni kupitia tiketi ya Chama cha mapinduzi CCM. Jimbo hilo lilikuwa chini ya aliyekuwa Naibu Waziri...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Dar es Salaam (Tabata au Kinyerezi)

    Habari ndugu, Mimi ni kijana niko katika harakati za kujenga maisha japo kwa kujitutumua sana natafuta kiwanja kisichozidi bei ya 5mil Tsh maeneo ya Tabata au Kinyerezi, kiwanja kilichopimwa na size ianzie angalau 600 Sqm kwa ajili ya makazi. Mwenye kujua kinauzwa au kipo anicheki DM Shukrani.
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mtangazaji Jacob Tesha atinga Ofisi za CCM Wilaya ya Moshi kuchukua fomu za kuwania ubunge Jimbo la Moshi mjini

    Mgombea Jacob Tesha akipokea fomu za kugombea ubunge kutoka kwa Kaimu Katibu wa CCM, Wilaya ya Moshi Ndugu Nada Orry. Mtangazaji na Mwandishi wa Habari nguli nchini Ndugu Jacob Tesha leo ametinga Ofisi za CCM Wilaya ya Moshi kuchukua fomu za kuwania ubunge Jimbo la Moshi mjini. Mgombea...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mbunge wa Ubungo kupitia CHADEMA, Saed Kubenea amejiondoa ndani ya chama hicho na kujiunga na ACT-Wazalendo

    MBUNGE wa Ubungo, Dar es Salaam anayemaliza muda wake kupitia Chadema, Saed Kubenea amejiondoa ndani ya chama hicho na kujiunga na chama cha ACT-Wazalendo. Kubenea amejiunga na ACT-Wazalendo leo Jumamosi tarehe 18 Julai 2020 na kupokelewa na Maalim Seif Sharif Hamad, Mwenyekiti wa chama hicho...
  13. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, waliotia nia CCM huku wakiwa wateule wa Rais Magufuli kutumbuliwa. Au waliomba ruhusa kama Rais alivyotaka?

    RC Makonda achukua fomu Kigamboni Mnyeti RC wa Mkoa wa Manyara kachukua fomu ya ubunge Misungwi. Dc Katambi wa Dodoma kachukua Shinyanga Mjini Asumpta Rc Pwani kachukua fomu Nkenge. Kwa kauli ya rais wanaweza kosa vyote? Ama wengine ni untouchable.
  14. ubuntuX

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Machine ya lambalamba (Popsicle Machine)

    Call/WhatsApp 0788622610 Brand New popsicle machine Ina tray 2 (40 popsicles each) Inazalisha pisi 80 kwa dk20 Inauwezo wa kuzalisha zaid ya piece 5000 kwa siku Bei:3,300,000 only Ukinunua utafaidika bure na maelezo yote jinsi ya kutengeza Ina warranty mwaka mmoja Tupo Kariakoo
  15. Last Seen

    JamiiForums Tanzania Comments za mitandaoni: Comment gani ilikufurahisha zaidi?

    Habari wanna JF. Mtu anapopost video, picha au andiko lolote mitandaoni lazima apokee comments tofauti tofauti, Kuna zingine nzuri, zingine mbaya na zingine za kufurahisha. Ni comment gani ilikufurahisha zaidi?
  16. G

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja cha makazi kinauzwa maeneo ya Chanika Mwisho - Dar es Salaam

    Eneo: Chanika mwisho mtaa wa zogoali kwa wambili. Bei: Tsh. 950,000/= Umeme Upo na maji visima vipo karibu Ukubwa : mita 13/13 au miguu 18 kwa 18 Hakuna Dalalii Piga namba 0627864823 Huduma za kijamii kama shule na zahanati zipo karibu.
  17. ubuntuX

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Gelato Hard ice cream machine for sale

    Tunauza machine mpya kabisa kwa za hard ice cream au maarufu gelato. Voltage: 110V/220V 50/60hz Power: 1.6KW Size: 525 x 490 x 640mm Weight: 65kg Cylinder : 5L Cylinder Size: 22 x 10.5cm Capacity: 20L/h Machine ina uwezo wa kuzalisha mpaka lita 20 kwa saa,unaweza pia ukaweka...
  18. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Kama kuna tabia za abiria wa Daladala hasa za Dar es Salaam ambazo huwa zinanichukiza sana ni hizi kuu mbili tu...

    1. Wengine kila tupandapo Dala Dala ikitokea tumebahatika Kukaa Siti Moja na Abiria wa Kike Kutongoza / Kumtongoza ni Jambo la lazima mno kama Israeli na Roho ya Binadamu. Sasa huwa inakera zaidi pale Mwanamume unapoanza Kutongoza halafu unakuta Abiria wa ama Siti yako ya mbele au ya nyuma nae...
  19. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Biashara zangu 5 za wakati wote kwa hapa Dar es Salaam

    Dar ni sehemu ninayowambia watu wengi sana kuwa kama atashindwa kutafuta maisha eneo hili basi ana safari ndefu sana ya kufanikiwa, ni sehemu ambayo biashara nyingi zinakubali na zinakutoa kwa kipindi kifupi kama ukiamua kujitoa Afe kipa Afe beki. Nimeona biashara nyingi sana ila hizi ni...
  20. muneera75

    JamiiForums Tanzania Ofisi za kufanyia field mkoa wa Dar es Salaam

    Habari, Naomba kujuzwa kwa yeyote mwenye experience au hata ambaye hana experience lakini maybe alisikia sehemu kuhusu field mkoa wa Dar es Salaam. Mambo ninayohitaji kujua: 1: Ofisi zote ambazo mwanafunZi anaweza kufanya field. Private and public offices 2: Changamoto zinazotokea uko field 3...
Back
Top Bottom