dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. WilsonKaisary

    JamiiForums Tanzania Historia ya Sanamu ya Askari (Askari Monument) iliyopo Posta, Dar es Salaam

    Sanamu ya Askari au Askari Monument ni sanamu iliyopo kwenye kitovu cha jiji la Dar es salaam kwenye mahali ambapo mitaa ya Samora na Azikiwe (zamani: Maktaba) zinakutana. Sanamu inamwonesha Askari Mwafrika katika sare ya Kijeshi, Jeshi la King's African Rifles la wakati wa Vita Kuu ya Kwanza ya...
  2. Gabbimakini

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Crown Athlete inauzwa Dar es Salaam

    CROWN ATHLETE No.DRW cc 2490 Mileage covered 117222 Location Dar es salaam Posta. Bei ni 12M, maongezi yapo piga simu 0688351006
  3. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Kwa Mkoa wa Dar es Salaam na ninayoyashuhudia 24/7 nina uhakika itakuwa ni Maradufu ya Mkoa wa Shinyanga

    Mratibu wa Mtandao wa Elimu Tanzania, Ochola Wayoga, amedai watoto 102 wenye umri wa miaka 13 mpaka 17 wa shule za msingi na sekondari katika Mkoa wa Shinyanga, wamepata ujauzito wakati shule hizo zilipokuwa zimefungwa kutokana na ugonjwa wa corona. Chanzo: Nipashe Habari Kuna Shule Moja ya...
  4. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam lakamata silaha mbili aina ya bastola na kuwaua majambazi wawili

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUPATIKANA KWA SILAHA MBILI AINA YA BASTOLA NA KUUWAWA KWA MAJAMBAZI WAWILI Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limefanikiwa kukamata silaha mbili aina ya bastola na kuwaua majambazi wawili katika matukio mawili tofauti. Tukio la kwanza ,Mnamo tarehe...
  5. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini Mpango na Tulia Ackson wasigombee wajimbo huru ya Dar es Salaam?

    Kwa kweli huwa sielewi kwa nini kila mtu afikirie kwenda kugombea kwao tena kwa watu maarufu na ambao wanajidai kua wamefanya mambo makubwa. Naibu Spika wa Bunge la Tanzania anarudi kwenda kugombea Mbeya nyumbani kwao, yeye ni mtu maarufu ni wa nini asigombee majimbo huru kama yaliyoko hapa...
  6. Mdada96

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kujitolea hospitali yoyote jijini Dar es Salaam

    Habari zenu wakuu, Napost humu kwa mana najua kuna watu tofauti tofauti umu ambao wanajuana na watu ,ama wamiliki wa hosptali za binafsi. Mimi ni muuguzi na mkunga natafuta sehemu ya kujitolea hospitali ama clinic yoyote yenye uhitaji wa waauguzi kwa sasa na nipo tayari kulipwa kama Medical...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Plot4Rent Kiwanja cha makazi kinauzwa maeneo ya Chanika Mwisho - Dar es Salaam

    Eneo: Mtaa wa kwa wa mbili - Zogoali Bei: Tsh. 1,300,000/= Umeme Upo na maji yapo Ukubwa : mita 13/13 au miguu 18 kwa 18 Hakuna Dalalii Piga namba 0627864823
  8. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Hili la Makonda kuruhusu bodaboda kuingia katikati ya jiji la Dar es salaam linafikirisha sana kwa hawa wanasiasa wetu

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Makonda karuhusu boda ziingie katikati ya jiji. Zuio hili hapo mwanzoni bila shaka lilikua na maana yake pana na imekua kawaida na imekua kama sheria boda boda haziingii katikati ya jiji. Nimezumguuka miji kadhaa mikubwa hua hiki ni kitu wenzetu wengine...
  9. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Mtoto Kipenzi wa Dar es Salaam alipoa kweli ila kwakuwa Baba Kipenzi amesharejea leo Mji Mkuu halisi naye ataanza kujitokeza

    Ili Baba yake amuone kuwa yupo na anafanya Kazi najua kuanzia leo atafufuka huko alikokuwa kajificha ili kutafuta Sifa zaidi kwa Baba Kipenzi.
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azungumza na Wananchi wa Ubungo wakati aliporejea jijini Dar es salaam akitokea Mkoani Dodoma

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Ubungo jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili wakati akitokea Mkoani Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mama mwenye...
  11. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Kazi za ualimu, Dar es Salaam Independent School

    DAR ES SALAAM INDEPENDENT SCHOOL Registration Numbers is S. 2544 and DS/02/7/037 Announce Vacancies for the academic year 2020/2021 We need the following staffs below starting August, 2020: We need TWO ART TEACHERS starting August 2020: One Art teacher for the Lower Secondary and one to teach...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Serikali tafadhalini wasaidieni abiria wa daladala wa Dar es salaam

    Sasa hivi kuna wizi wa kulazimishana unafanywa na makonda wa daladala. Makonda na madereva wanaweka mazingira ya kulazimisha watu walipe nauli mara mbili ya nauli halali. Wanachokifanya ni hivi: wakifika kituo cha mwisho wa gari wanawatoza abiria kulipa nauli ya kuzunguka. Yaani ukipandia...
  13. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA: Wanachama 11 wachukua fomu za kugombea nafasi ya Urais wa Tanzania

    Ikumbukwe kwamba waliotia nia ni wengi lakini ni wachache waliojitangaza hadharani , Sasa leo tega sikio ili usikie ni akina nani wengine Wazito sana waliotia nia ya kuomba Urais wa Tanzania kupitia Chadema . Mungu ibariki Chadema ======= ----UPDATE---- Ndugu wanahabari Chama cha Demokrasia...
  14. Dantefx

    JamiiForums Tanzania How to buy your share in Dar es salaam stock exchange

    How to Invest on the Dar es Salaam Stock Exchange If you really want to invest at the furthest reaches of Africa’s frontier markets, the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) is for you. The little market lists only 11 local companies and trade volumes often don’t exceed $500,000 per week. But the...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Vibarua viwandani au part time job kwa hapa Dar es Salaam zinapatikana wapi?

    Naomba kujuzwa chimbo la vibarua hapa mjini ni wapi? Na kazi zipi za part time hapa bongo? Kuna mtu nlimsikia kuwa posta karibu na clock tower kuna sehemu watu wanakusanyika kusubiri vibarua na nje ya bandari ni kweli? Kama kweli taratibu zipoje? Na malipo yakoje? Tujuzane wakubwa
  16. Mzizi Tanzania

    JamiiForums Tanzania Home Tuition: Biology and Geography (Dar es Salaam)

    Hello wana JF nawasalimieni wakubwa zangu! Lengo la kuandika uzi huu ni kuwatangazia home tuition kwa wanafunzi wa O level and A level kwa wanaopenda Biology na Geography! Wale wanaorudia mitihani yao basi tatizo lao ndo mzizi umepatikana! Napatikana Dsm. Kwa wanaohitaji huduma hii...
  17. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania TRA yawaelimisha wafanyabiashara Jijini Dar es Salaam kuhusu kodi ya zuio

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaelimisha wafanyabiashara wa maeneo ya Tabata jijini Dar es Salaam kuhusu Kodi ya Zuio na kutoa wito kwa wamiliki wa majengo, fremu na ardhi kuwaruhusu wapangaji wao kuzuia kodi hiyo ambayo ni asilimia 10 ya kiasi cha malipo walichokubaliana katika mkataba wa...
  18. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lolote juu ya kusafirisha mizigo toka Dar es Salaam kwenda Mikoani

    Uchaguzi wa Njia ya usafirishaji hutegemea mambo yafuatayo - 1. Thamani ya mzigo - 2. Ukubwa wa mzigo Mizigo yenye thamani kubwa na midogo chini ya KG 2, safirisha kwa njia ya EMS - Ni hakika na salama, mzigo utamfikia mlegwa kwa wakati. Kwa mizigo mikubwa bila kujari thamani yake, Njia hizi...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Hali ilivyo Dar es Salaam Stock Exchange (DSE)

    Tarehe 5 May 2020 hakuna hisa hata moja iliyouzwa. Yaani trading volume ni sifuri. Dar es Salaam Stock Exchange ina kampuni 24 au 25 zilizosajiliwa. Maana yake no selling or buying of shares. Hii niishara kua there is poor or low liquidity in the market Wataalamu wa uchumi watatusaidia kujua...
  20. dubu

    JamiiForums Tanzania Qatar Airways to restart flights to Dar es Salaam, Tanzania from 16 June 2020

    Dar es Salaam will be the airline’s first destination in Africa to resume scheduled flights Airline will operate three weekly flights with an Airbus A320 DOHA, Qatar – Qatar Airways is pleased to announce the airline will be resuming services to Dar es Salaam, Tanzania from 16 June 2020. The...
Back
Top Bottom