dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Miundombinu ya Dar es salaam imepitwa na wakati: Hali hii haiwezi kuendelea!

    Morogoro Road Jangwani Picha chache kuonyesha yaliyotokea jana yanadhihirisha kuwa kuna sehemu tumelala. Mvua hiyo kubwa inaelekea imeonyesha udhaifu mkubwa wa miundombinu ya maji jijini Dar es salaam. Kwa miongo ya miaka, Halmashauri za Jiji na Serikali kuu zimeendelea kupuuzia namna ya...
  2. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Dar es salaam tuipime CCM na viongozi wake kupitia mvua hizi zinazoendelea kunyesha

    Wakuu CCM na viongozi wake wamekuwa wakijinadi kipindi cha uchaguzi kwamba jiji la Dar es salaam limejengwa kisawasawa na miundombinu yake hususani barabara iko vizuri jiji zima Fly over za kutosha, bombadi, daraja la salenda halikadhalika Mwendokasi vyote hivi CCM inasema ni kwaajili ya...
  3. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania TANESCO mnaogopa nini? Tangazeni kuwepo kwa mgao au tatizo kubwa la umeme Dar es Salaam

    Habari wana JF, Naomba kutumia platform hii kulitaka Shirika la Umeme nchini TANESCO kwa uwazi kabisa watutangazie mgao wa umeme au tatizo kubwa sana la umeme kwa wakazi wa Dar es Salaam. Maana kila siku lazima wakate umeme mara 2 hadi 3 bila taarifa yoyote. Huku Kimara leo hata siku...
  4. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Chang’ombe flyover ni moto wa kuotea mbali, foleni ya gari zinazotoka Kamata na Karume kuwa historia jijini Dar es Salaam

    Jana baada ya kupewa taarifa na mmoja wa wadau humu kwamba ujenzi wa Chang’ombe flyover umeshaanza nilishtuka kidogo, nikaona nifunge safari kwenda kushuhudia mwenyewe anachozungumzia kama ni kweli, maana sikuwahi kuona wala kusikia kwenye vyombo vya habari. Sasa kwakuwa vyombo vya habari...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha Dar es Salaam kilianza rasmi 01/10/1961. Ni kina nani wanafunzi 14 wa Kwanza wa Kitivo cha Sheria ambao ndiyo wazinduzi wa chuo hiki?

    Wadau habari za Jumapili? Historia inaonesha chuo kikuu cha UDSM kilianza rasimi 01/10/1961. Kilianza na Kitivo cha Sheria, yaani Faculty of Law ikiwa na wanafunzi 14 tu. Baadae kadri muda unavyokwenda vitivo vingine viliongezwa sambamba na udahili wa wanafunzi kuongezwa. Saivi ni chuo cha...
  6. Profesa ntare nkobe

    JamiiForums Tanzania Sababu kubwa zinazo pelekea sisi wa mikoani kufanikiwa Dar es Salaam

    Habari zenu ndugu zangu wa JF kwa utafiti wangu niliofanya kwa nini sisi wa mikoani tunafanikiwa sana hapa Dar ni kama zifuatazo.. Wenyeji wavivu hawapendi kazi ngumu sisi wa mikoani kazi ngumu kwetu ni kama kumsukuma mlevi. Malezi imara sisi wa mikoani tuna malezi imara na kuheshimu jamii...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu awasili salama Dar es Salaam, atulia kwake kwa Mapumziko

    Baada ya kampeni nzito zenye mafanikio makubwa na ambazo zimemuweka kwenye nafasi kubwa ya kutwaa Urais wa nchi ifikapo oktoba 28, Mh Lissu na timu yake wamewasili salama Jijini DSM kwa mapumziko ya siku 2.
  8. shululu

    JamiiForums Tanzania Wito wa Polisi: Tundu Lissu atakiwa kuripoti Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa mahijiano

    Barua kutoka Kanda maalumu ya Dar es Salaam ====== Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antipas Lissu ametakiwa kufika Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum ya Dar es Salaam. Kwa mujibu wa barua hiyo aliyoandikiwa leo, Lissu ametakiwa kufika bila...
  9. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Sioni dalili njema kwa wapinzani hapa Dar es Salaam

    Dar es Salaam ndipo tulitarajia iwe ngome kuu ya upinzani Nchi hii KUSTAWI ajabu inaelekea kuwa sivyo. Mwenendo mzima wa aina ya upepo wa kampeni za uchaguzi mkuu huu kwa hakika haupo kabisa mwamko na hamasa za ki harakati zilizo chanya kwa upinzani.Kumepoa! Dalili ni njema hasa kwa wagombea...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Gharama za kujifungua ni Tshs 75,000. Uchaguzi huu unakupa nafasi ya kukataa uharamia huu

    Wajawazito wanaojifungulia kwenye Hospitali ya Rufaa ya Temeke , wale wanaojifungua kwa njia ya kawaida inawalazimu kulipia pesa taslimu ya kitanzania shilingi elfu 75 kama gharama ya kuzaa , Wale wanaojifungua kwa njia ya upasuaji wanapaswa kulipa zaidi ya Tsh laki 2 na yaweza hata kufika...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwili wa Binadamu hauna Spares

    MWILI WA MTU HAUNA SPARES (VIPURI). Na, Robert Heriel Kwa masikitiko makubwa natoa pole kwa wazazi na ndugu wa Emanuel Mlelwa ambaye Mwenyekiti wa Seneti Vyuo Vikuu Iringa aliyeuawa na watu wasiojulika huko Iringa. Pia niwape Pole wana-UVCCM Na CCM kwa ujumla kwa kuondokewa na kijana wenu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu baada ya kuiteka ngome ya Kanda ya Ziwa, una kazi moja tu ya kuiteka Dar es Salaam umalize biashara hii mapema

    No doubt Ngome ya kisiasa ya raisi Magufuli ya Kanda ya Ziwa imetikiswa sana na mashambulizi ya kampeni ya Lissu Hii kanda ndiyo iliyokuwa muhimu sana kumsaidia Magufuli kubalance nguvu za upinzani katika kanda ya kaskazini na miji mikubwa ya Dar na Mbeya, huku akitegemea mikoa loyal kwa CCM...
  13. Keynez

    JamiiForums Tanzania Hawa wasafiri mjini Dar es Salaam wanatokea wapi?

    Wakati wa kipindi cha tishio la corona, kulitokea upunguaji mkubwa wa idadi ya wasafiri jijini Dar es Salaam. Niliwahi kuleta uzi nikauliza ile hali inamaanisha nini? Je, watu walilikimbia jiji au kwamba wasafiri wengi ni watu wasio na shughuli maalumu za kila siku kiasi kwaamba wanaweza...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hili suala la kuonekana mamba Bahari ya Hindi lipo vipi?

    Wakazi na Wavuvi wa maeneo ya Vijibweni wamepatwa na taharuki baada ya fukwe za bahari katika maeneo hayo kuonekana ‘Mamba’ mkubwa anaetishia usalama wa maisha ya wakazi na wavuvi wa eneo hilo. Baadhi ya wavuvi na wakazi wa eneo hilo wamezungumzia hofu na taharuki waliyonayo dhidi ya Mamba...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Naomba namba ya simu ya Mkuu wa Shule Bahari Beach High School - Ununio Dar es Salaam

    Wakuu naomba msaada wenu kupata mawasiliano ya simu na mkuu wa shule tajwa hapo juu. Mimi niko mbali na Dar es salaam. Nime- Google namba walizotoa aidha zilikuwa za walimu walishahama. Natanguliza shukran
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Daladala ziruhusiwe kupita Barabara za Mwendokasi Dar es Salaam

    Ukiangalia idadi ya magari yaliyotarajiwa kwenda kwa haraka yanayopita kwenye barabara hizi za haraka utagundua kuwa ujenzi wa barabara hizi una harufu ya ufisadi. Ujiangalia idadi ya magari na abiria wanaotumia hizi barabara ni kidogo sana kulinganisha na thamani ya ujenzi wa mradi. Barabara...
  17. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, wapi nitapata ‘Sublimation printer set?’ kwa Dar es salaam?

    Ni aina ya printer ambayo inakuwezesha kuprint kwenye plate ya chuma (silver) kwa mtindo wa kupasha moto karatasi lenye picha juu ya hicho kibati hadi picha yote inahamia kwenye kibati, na bei yake complete ikoje?, naambatanisha video kwa ufafanuzi zaidi
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Total Tanzania promises it is in Tanzania to stay as it launches Total Mchinigani Service Station in Goba Dar Es Salaam

    Wanabodi, Haya ni mambo ya Total, TOTAL TANZANIA PROMISES IT IS IN TANZANIA TO STAY AS IT LAUNCHES TOTAL MCHINIGANI SERVICE STATION IN GOBA DAR ES SALAAM. Goba, Dar es Salaam, September 6, 2020: Total Tanzania Managing Director Mr. Jean Francois Schoepp, has promises that Total Tanzania...
  19. Wacha1

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro na Dar Es Salaam hapatoshi

    Major Airlines Increase Flight Trips to Dar Credit: Edward Q Orro in Arusha TANZANIA'S resilience to the novel Coronavirus disease is now paying off after three major airlines increased their flight frequencies to the country. Ethiopian Airlines becomes the first among the three, to increase...
  20. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Tamko la Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam (DCPC) kumtaka Freeman Mbowe kuomba radhi

    Ulimwengu wa Wanahabari na Watanzania kwa ujumla ulipigwa na butwaa pale Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Freeman Alkaeli Mbowe, alipoamrisha waandishi wa habari wa Televisheni ya Taifa (TBC) kuondoka katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za chama hicho...
Back
Top Bottom