Uchaguzi 2020 Mtangazaji Jacob Tesha atinga Ofisi za CCM Wilaya ya Moshi kuchukua fomu za kuwania ubunge Jimbo la Moshi mjini

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,813
4,547
1594811891371.png

Mgombea Jacob Tesha akipokea fomu za kugombea ubunge kutoka kwa Kaimu Katibu wa CCM, Wilaya ya Moshi Ndugu Nada Orry.

Mtangazaji na Mwandishi wa Habari nguli nchini Ndugu Jacob Tesha leo ametinga Ofisi za CCM Wilaya ya Moshi kuchukua fomu za kuwania ubunge Jimbo la Moshi mjini. Mgombea amewahi kuwa mtangazaji wa Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD) kwa miaka mingi ambapo alijizolea umaarufu mwingi katika staili yake ya utangazaji na usomaji wa habari kwa Kiswahili na Kiingereza.

Alibuni na kuandaa vipindi vingi vilivyowavutia sana wazee kwa vijana. Baadaye aliteuliwa na Rais kuwa Msaidizi wa Waziri Mkuu (Press Secretary). Mgombea huyu ana shahada mbili ambazo ni BA (Public Administration and International Relations kutoka Chuo Kikuu cha D'Salaam na shahada ya Uzamili (MA) katika Mawasiliano ya Umma (Mass Communication) ya Chuo Kikuu cha mt. Augustine.

Pia amepata mafunzo nchi mbalimbali yaliyogusa utawala, utangazaji na uandishi wa habari pamoja na kufundisha Chuo cha Uandishi wa Habari, TSJ cha serikali kilichokuwa Shariff Shamba, Ilala, DaresSalaam. Kwa sasa mtia nia huyu ni Mjumbe wa Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano nchini, TCRA.
 
TCRA huwezi kufanya kazi Kama Sio CCM.Vijana wenye ndoto za kufanya kazi kwenye taasisi kubwa nchini ndoto zao zinafifia kwa kuwa Kila sekta umbogamboga unawatesa.Kuna jamaa yangu kabisa anafanya kazi shinyanga,saiz amelazimishwa kuwa CCM,na yupo kwenye magroup yao.Vinginevyo usipojiunga unaweza hata kufukuzwa kazi.
 
Unajua mi siamini kama mtu makini kabisa anaweza kuwa mwanachama wa ccm!
Sikujua kuwa watanzania wengi ni wajinga this much!!
 
Huyu mzee ndina sana. Alimtapeli rafiki yangu 400,000 za kodi ya nyumba wakat tunasoma UDSM.

Tulikua tumepanga pale kwake Msewe Chinatown.

Maji kwa mwezi 20,000 lakin anayafunga kufungua kila jmosi.

Tukaja gundua kumbe kila siku anasubiri ifike saa nane usiku tumelala anafungua koki anajaza tanki lake kisha anafunga tena.

Sijui ile Bar yake bado inapiga kazi. Na yule kijana wake bonge hivi.
 
Mtangazaji na Mwandishi wa Habari nguli nchini Ndugu Jacob Tesha tarehe 16 mwezi Julai alitinga Ofisi za CCM Wilaya ya Moshi kuchukua fomu za kuwania ubunge Jimbo la Moshi mjini. Mgombea amewahi kuwa mtangazaji wa Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD) kwa miaka mingi ambapo alijizolea umaarufu mwingi katika staili yake ya utangazaji na usomaji wa habari kwa Kiswahili na Kiingereza. Alibuni na kuandaa vipindi vingi vilivyowavutia sana wazee kwa vijana.

Baadaye aliteuliwa na Rais kuwa Msaidizi wa Waziri Mkuu (Press Secretary). Mgombea huyu ana shahada mbili ambazo ni BA (Public Administration and International Relations kutoka Chuo Kikuu cha D'Salaam na shahada ya Uzamili (MA) katika Mawasiliano ya Umma (Mass Communication) ya Chuo Kikuu cha mt. Augustine.

Pia amepata mafunzo nchi mbalimbali yaliyogusa utawala, utangazaji na uandishi wa habari pamoja na kufundisha Chuo cha Uandishi wa Habari ,TSJ cha serikali kilichokuwa Shariff Shamba, Ilala, DaresSalaam. Kwa sasa mtia nia huyu ni Mjumbe wa Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano nchini ,TCRA. (Pichani kushoto: Mgombea Jacob Tesha akipokea fomu za kugombea ubunge kutoka kwa Kaimu Katibu wa CCM, Wilaya ya Moshi Ndugu Nada Orry).
 
Attachments

  • IMG-20200716-WA0003.jpg
    IMG-20200716-WA0003.jpg
    112.6 KB · Views: 6
View attachment 1507410
Mgombea Jacob Tesha akipokea fomu za kugombea ubunge kutoka kwa Kaimu Katibu wa CCM, Wilaya ya Moshi Ndugu Nada Orry.

Mtangazaji na Mwandishi wa Habari nguli nchini Ndugu Jacob Tesha leo ametinga Ofisi za CCM Wilaya ya Moshi kuchukua fomu za kuwania ubunge Jimbo la Moshi mjini. Mgombea amewahi kuwa mtangazaji wa Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD) kwa miaka mingi ambapo alijizolea umaarufu mwingi katika staili yake ya utangazaji na usomaji wa habari kwa Kiswahili na Kiingereza.

Alibuni na kuandaa vipindi vingi vilivyowavutia sana wazee kwa vijana. Baadaye aliteuliwa na Rais kuwa Msaidizi wa Waziri Mkuu (Press Secretary). Mgombea huyu ana shahada mbili ambazo ni BA (Public Administration and International Relations kutoka Chuo Kikuu cha D'Salaam na shahada ya Uzamili (MA) katika Mawasiliano ya Umma (Mass Communication) ya Chuo Kikuu cha mt. Augustine.

Pia amepata mafunzo nchi mbalimbali yaliyogusa utawala, utangazaji na uandishi wa habari pamoja na kufundisha Chuo cha Uandishi wa Habari, TSJ cha serikali kilichokuwa Shariff Shamba, Ilala, DaresSalaam. Kwa sasa mtia nia huyu ni Mjumbe wa Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano nchini, TCRA.

Pia alifanya kazi na DW
 
Ameifanyia nini Moshi vijijini baada ya kustaafu?
namshauri apumzike tu aache haya mambo ya siasa kwa vijana.
 
Daaaah
Huyu mzee ndina sana. Alimtapeli rafiki yangu 400,000 za kodi ya nyumba wakat tunasoma UDSM.

Tulikua tumepanga pale kwake Msewe Chinatown.

Maji kwa mwezi 20,000 lakin anayafunga kufungua kila jmosi.

Tukaja gundua kumbe kila siku anasubiri ifike saa nane usiku tumelala anafungua koki anajaza tanki lake kisha anafunga tena.

Sijui ile Bar yake bado inapiga kazi. Na yule kijana wake bonge hivi.
 
Huyu mzee ndina sana. Alimtapeli rafiki yangu 400,000 za kodi ya nyumba wakat tunasoma UDSM.

Tulikua tumepanga pale kwake Msewe Chinatown.

Maji kwa mwezi 20,000 lakin anayafunga kufungua kila jmosi.

Tukaja gundua kumbe kila siku anasubiri ifike saa nane usiku tumelala anafungua koki anajaza tanki lake kisha anafunga tena.

Sijui ile Bar yake bado inapiga kazi. Na yule kijana wake bonge hivi.

Comment bora
 
View attachment 1507410
Mgombea Jacob Tesha akipokea fomu za kugombea ubunge kutoka kwa Kaimu Katibu wa CCM, Wilaya ya Moshi Ndugu Nada Orry.

Mtangazaji na Mwandishi wa Habari nguli nchini Ndugu Jacob Tesha leo ametinga Ofisi za CCM Wilaya ya Moshi kuchukua fomu za kuwania ubunge Jimbo la Moshi mjini. Mgombea amewahi kuwa mtangazaji wa Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD) kwa miaka mingi ambapo alijizolea umaarufu mwingi katika staili yake ya utangazaji na usomaji wa habari kwa Kiswahili na Kiingereza.

Alibuni na kuandaa vipindi vingi vilivyowavutia sana wazee kwa vijana. Baadaye aliteuliwa na Rais kuwa Msaidizi wa Waziri Mkuu (Press Secretary). Mgombea huyu ana shahada mbili ambazo ni BA (Public Administration and International Relations kutoka Chuo Kikuu cha D'Salaam na shahada ya Uzamili (MA) katika Mawasiliano ya Umma (Mass Communication) ya Chuo Kikuu cha mt. Augustine.

Pia amepata mafunzo nchi mbalimbali yaliyogusa utawala, utangazaji na uandishi wa habari pamoja na kufundisha Chuo cha Uandishi wa Habari, TSJ cha serikali kilichokuwa Shariff Shamba, Ilala, DaresSalaam. Kwa sasa mtia nia huyu ni Mjumbe wa Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano nchini, TCRA.
Kwakuwa umedanganya kwamba TSJ iko Ilala Sharif Shamba ,habari yako yote ni invalid.DSj ndo iko Sharif Shamba,TSJ iko karibu na TBC kule K' nyama.Sasa hv TSJ ni tawi la UDSM.
 
Why do I love Carlsberg...listen to this!!
Tangazo lake LA beer ya Carlsberg
 
Back
Top Bottom