Comments za mitandaoni: Comment gani ilikufurahisha zaidi?

Last Seen

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
223
549
Habari wanna JF.

Mtu anapopost video, picha au andiko lolote mitandaoni lazima apokee comments tofauti tofauti, Kuna zingine nzuri, zingine mbaya na zingine za kufurahisha.

Ni comment gani ilikufurahisha zaidi?
 
Mada yako inaweza isieleweke mana hujaweka mfamo. Anza kwanza ww inayokufurahisha au ndio watu waje na zao
 
Screenshot_20200628-103135.jpg
 
Mtia nia aliandika ktk ukurasa wake wa SN "Dua zenu jaman"
Wananchi aka comment "huo muda wa kukuombea dua si bora nikanywe bia" 😆😆😆
 
Back
Top Bottom