Ofisi za kufanyia field mkoa wa Dar es Salaam

muneera75

Senior Member
Oct 12, 2019
190
318
Habari,

Naomba kujuzwa kwa yeyote mwenye experience au hata ambaye hana experience lakini maybe alisikia sehemu kuhusu field mkoa wa Dar es Salaam.

Mambo ninayohitaji kujua:
1: Ofisi zote ambazo mwanafunZi anaweza kufanya field. Private and public offices
2: Changamoto zinazotokea uko field
3: Even advantages

Thanks
 
Back
Top Bottom