Uchaguzi 2020 Je, waliotia nia CCM huku wakiwa wateule wa Rais Magufuli kutumbuliwa. Au waliomba ruhusa kama Rais alivyotaka?

Haa
Mwendo Wa Kasi Sana
Baadaye Kuna Kazi Itafanyika Hadharani Mwisho Tutakuja....

Wa Kwanza Tukamtia Cross
Wa Pili Tukamtia Cross
Wa Tatu Tukamtia Cross
Wa Nne Tukampa!!!

Hauwezi Kupata Kila Kitu
Wakati Mwingine Ninaowateua Waridhike Na Nafasi Ninazowapa Hauwezi Kuwa Na Kila Kitu Nitamshangaa CDF Akienda Kugombea Busega Aje Awe Waziri Wa Ulinzi

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Mnyeti RC wa Mkoa wa Manyara kachukua fomu ya ubunge Misungwi
Dc Katambi wa dodoma kachukua Shinyanga Mjini, Asumpta Rc Pwani kachukua fomu NKenge..
Kwa kauli ya rais wanaweza kosa vyote? Ama wengine ni untouchable
Rc Pwani anaitwa Evarist Ndikilo
 
Mnyeti RC wa Mkoa wa Manyara kachukua fomu ya ubunge Misungwi
Dc Katambi wa dodoma kachukua Shinyanga Mjini, Asumpta Rc Pwani kachukua fomu NKenge..
Kwa kauli ya rais wanaweza kosa vyote? Ama wengine ni untouchable
Kauli ilikuwa ya jumla lakini iliwahusu wachache... wapo walengwa
 
Katambi shinyanga anapita kwa kishindo labda asiteule tu kupeperusha bendera ya chama!
 
IMG_3067.JPG
 
Back
Top Bottom