Miaka ya 70, 80 mpaka 90 kulikuwa na Shirika la Maendeleo Dar es Salaam, liko wapi?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
45,599
2,000
Dar es Salaam Coöperative Development (DDC) lilikuwa na bendi ya Muziki, vikundi vya ngoma za utamaduni, kumbi za starehe nk.

Majengo yale yameboreshwa vipi kuwa vitega uchumi endelevu kwa sasa?

Vitu hivi vimeishia wapi?
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
34,180
2,000
Hapo juu umechapia.

Anyway DDC ipo na majengo yake ya Kariakoo, Magomeni, Keko na Mlimani ni vitega uchumi kwa sasa.....ila wanaSikinde ngoma ya ukaye sijawasikia kitambo!
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
45,599
2,000
Hapo juu umechapia.

Anyway DDC ipo na majengo yake ya Kariakoo, magomeni, Keko na Mlimani ni vitega uchumi kwa sasa.....ila wanaSikinde ngoma ya ukaye sijawasikia kitambo!
Yale majengo yao na Kibisa ngoma Troupe Sikinde Ngoma ya Ukae vilizalisha ajira nyingi kwa watu wa Dar. Kuna uwezekano vifufuliwe
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
34,180
2,000
Yale majengo yao na Kibisa ngoma Troupe Sikinde Ngoma ya Ukae vilizalisha ajira nyingi kwa watu wa Dar. Kuna uwezekano vifufuliwe
DDC ipo ila mambo ya kibisa nadhani waliachana nayo.

Unajua wakati ule muziki wa dansi ulitamalaki hata Freeman pale kwenye hotel ya baba yake Disco lilikuwa haliingizi fedha kama ya Sikinde, Maquiz OSS, Matimila mzee Makassy na bendi nyingine za Jazz!
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
45,599
2,000
DDC ipo ila mambo ya kibisa nadhani waliachana nayo.

Unajua wakati ule muziki wa dansi ulitamalaki hata Freeman pale kwenye hotel ya baba yake Disco lilikuwa haliingizi fedha kama ya Sikinde, Maquiz OSS, Matimila mzee Makassy na bendi nyingine za Jazz!
Hizi bendi zilikuwa na mabasi yao, wakipiga Kinondoni Vijana Hall walikuwa wanashuka kwenye mabasi yao
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom