Dala dala are minibus share taxis in Tanzania. Often overcrowded and operated at unsafe speeds, these minibuses developed as a response to an insufficient public transport system in the country. While the name may be a corruption of the English word "dollar", they are also referred to as thumni.Before minibuses became widely used, a truck with benches placed in the bed was the typical Tanzanian privately owned public transport. Called chai maharagwe, these were popular c. 1990.While dala dala may run fixed routes picking up passengers at central locations, they will also stop anywhere along their route to drop someone off or allow a prospective passenger to board.In contrast to most of these minibuses, in Dar es Salaam some dala dala are publicly operated as of 2008.
Mabasi mengi ya daladala yanayofanya kazi kati ya Makumbusho, Bunju, Tegeta na Mbweni yamekodiwa na CHADEMA kubeba wanachama wake na yanapeperusha bendera za CHADEMA.
Nauliza tu bwashee Mmawia, Salary Slip na tindo leo mna shughuli gani jijini DSM maana kama ni kampeni nadhani mlishazindua jana...
Kama wewe ni mtumiaji wa usafiri wa daladala, pasipo na shaka umewahi kukutana na vituko kadha wa kadha vya baadhi ya abiria, makondakta au madereva. Embu kila mtu aweke vituko alivyowahi kuvishuhudia.
mimi vyangu ni hivi vifuatavyo.
1. Mimi niliwahi shuhudia kondakta akilumbana na mama mmoja...
Pamoja na kutangaziwa kupungua kwa maambukizi ya Corona. Hali ya kujikinga na kuchukua tahadhari haipo tena maeneo mengi Dar.
Mabasi ya daladala yamekuwa yakijaza abiria bika kuzingatia maagizo yaliyotolewa. Daladala za Mbezi, Buguruni na Gongolamboto na mengine nyakati za usiku na asubuhi...
Habari JF,
Hakika hii imenishtua sana baada ya kuona bei ya daladala zinazofanya safari ndani ya jiji la dar es salaam kupandisha bei ya nauli kimyakimya au naweza kusema kinyemera pasipo kuutarifu umma
Kwa sasa usafiri kutoka mbezi, kimara kuelekea city center si tatizo tena kwani coaster...
Sasa hivi kuna wizi wa kulazimishana unafanywa na makonda wa daladala. Makonda na madereva wanaweka mazingira ya kulazimisha watu walipe nauli mara mbili ya nauli halali.
Wanachokifanya ni hivi: wakifika kituo cha mwisho wa gari wanawatoza abiria kulipa nauli ya kuzunguka. Yaani ukipandia...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Pau Makonda ametoa ruksa wanafunzi wanne kusimama kwenye chombo kimoja cha usafiri.
Akihojiwa na kituo cha ITV, RC Makonda amesema:
“Nimeelekeza watu wote wa daladala kuhakikisha wanabeba wanafunzi wasiopungua wanne (4). Kama ni level seat kwa maelekezo...
Natoa tu angalizo maana hizi taarifa za kufunguliwa shughuli za michezo, mahoteli, bar nk kunaweza kutafsiriwa kwa namna isiyofaa.
Wenye daladala mnatakiwa kubeba abiria kwa idadi ile iliyoainishwa kwenye kadi ya gari.
Maendeleo hayana vyama!
Waziri wa Ujenzi, uchukuzi na mawasiliano Injinia Isack Kamwelwe amesema serikali iko mbioni kuwasajili madereva na makondakta wa daladala ili kuboresha Huduma hiyo hapa nchini.
Mh Kamwelwe amesema kabla ya kusajiliwa watendaji hao wa kwenye daladala watalazimika kupelekwa darasani na kupatiwa...
Nimekuwa mtumiaji wa hii route ya KIGAMBONI mpaka KONGOWE kwa muda mrefu nikiwa na safari kati ya Kigamboni na Mkuranga. Kwa ujio wa safari za daladala kati ya KIGAMBONI na MWANDEGE nilipata ahueni ya nauli na muda..
Na hii route madereva na makonda wengi walikuwa wakiipigia kelele...
Katibu mkuu wa chama cha wasafirishaji abiria (Taboa) ndugu Mrutu ameiomba Tamisemi kuhakikisha vituoni wanabakia wasafiri tu ili kupunguza msongamano nyakati hizi za majanga ya Corona.
Mrutu amesema hata kwenye vituo vya daladala mfano Makumbusho kuna msongamano mkubwa sana wa watu lakini...
Mambo vipi wakuu,
Nimeamua kujikita kwenye biashara ya daladala na bado nipo kwenye hatua ya utafiti. Nimepitia threads nyiiingi sana humu na watu wengi wanaoipiga vita hii biashara wanakuwa na hoja za "Biashara pasua kichwa", "Madereva watakunyonga" n.k bila kuelezea kiundani changamoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.