daladala

Dala dala are minibus share taxis in Tanzania. Often overcrowded and operated at unsafe speeds, these minibuses developed as a response to an insufficient public transport system in the country. While the name may be a corruption of the English word "dollar", they are also referred to as thumni.Before minibuses became widely used, a truck with benches placed in the bed was the typical Tanzanian privately owned public transport. Called chai maharagwe, these were popular c. 1990.While dala dala may run fixed routes picking up passengers at central locations, they will also stop anywhere along their route to drop someone off or allow a prospective passenger to board.In contrast to most of these minibuses, in Dar es Salaam some dala dala are publicly operated as of 2008.

View More On Wikipedia.org
  1. ommytk

    JamiiForums Tanzania Shida ya usafiri leo Kigamboni baada ya daladala kugoma

    Leo tumeamka na siku mpya huku Kigamboni daladala zimegoma ni mwendo wa Bajaj kila kituo buku mpaka buku mbili. Sijui wenzetu huko mlipo hali ikoje.
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Makonda wa daladala pandisheni nauli za daladala, msiwe wajinga.Mbona wao wamepandisha tena bila kusubiri majadiliano.

    Habari! Mwishoni mwa mwezi April serikali na wadau wa Usafirishaji na Usafiri walifanya kikao kujadili gharama za Usafirishaji na kufikia makubaliano ya nauli mpya ambazo zingeanza kutumika katikati ya mwezi Mei. Leo asubuhi nasikia mafuta yamepanda na kuuzwa elfu 3 na ushehe kwa petroli na...
  3. Etwege

    JamiiForums Tanzania LATRA yatangaza bei mpya za mabasi, daladala

    Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra) imetengaza nauli mpya za mabasi ya mijini maarufu daladala na mabasi ya masafa marefu. Akitangaza kiwango hicho kipya cha nauli leo Jumamosi Aprili 30, 2022 Mkurugenzi Mkuu wa Latra, Gilliard Ngewe amesema kiwango hicho kipya kitaanza kutumika...
  4. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Aliyeruhusu kituo cha daladala mdomoni mwa Ubungo flyover (riverside) alitoroka lini mirembe?

    Hivi kuna faida gani kutumia bilioni 300 kujenga Ubungo flyover ili kuondoa foleni halafu tunakuja kuruhusu kituo cha daladala mdomoni kabisa mwa flyover ambapo gari ndio zinaingilia? Kitendo cha daladala kuingia na kutoka kwenye kituo hiki inasababisha magari kushindwa kabisa kuflow kama...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Fahamu vituo vya daladala vinavyoongoza kwa hali ya hewa ya joto

    Wadau wa JF, Hamjamboni nyote... Nawaletea orodha ya vituo vya daladala vyenye changamoto ya kuwa na joto kali na hii ni kwa mujibu wa utafiti mdogo uliofanyika. Ieleweke kuwa joto lililopo vituoni hapo linaweza tokana na location ya eneo husika kijiographia n.k Tazama orodha: 1. Makumbusho...
  6. COMMAN

    JamiiForums Tanzania Nipo Tunduma, toka mafuta yapande yafikie 2,900 nauli tunalipa 1,000 ya daladala kituo kwa kituo

    Mimi niko mji wa Tunduma toka siku mafuta yapande yafikie 2,900 nauli huku tunalipa 1000 ya daladala kituo kwa kituo. Hakuna mamlaka zozote zinazokemea suala hili wiki ya pili, hakuna trafik wala sumatra wanaochukua hatua. Sasa inamaana hiyo ndo bei elekezi? Waziri. Wakuu wa wilaya na...
  7. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Latra yakataa mapendekezo viwango vipya vya nauli za daladala Dar es Salaam'

    Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini (Latra CCC) limekata mapendekezo ya nauli yaliyotolewa na wadau wa usafiri wa masafa marefu na mafupi. Uwamuzi huo umefikiwa leo Jumatano Aprili 13, 2022 baada ya Umoja wa Wasafirishaji Abiria Mkoa wa Dar es Salaam kupendekeza kiwango...
  8. Eswa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kondakta asema nauli za Daladala kupanda kwa shilingi 200/=

    Wadau nipo kwenye daladala kutoka Bunju kwenda Makumbusho, kondakta anatutangazia abiria kuwa kesho nauli zitapanda kwa shilingi 200 kwa hiyo tujiandae. Sijui kama lina ukweli wowote, ila kondakta anazidi kusisitiza. Tujiandae kwa lolote. Asanteni, naomba kuwasilisha
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nipande daladala gani kutoka Mwenge TRA kwenda Kawe beach?

    Wakuu msaada wenu wa haraka Nipo Mwenge TRA nipande gari gani nifike Kawe Beach?
  10. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Serikali, lini kituo cha Daladala Kawe kitafanyiwa ukarabati?

    Kawe ni sehemu yenye wakazi wengi na pia eneo hilo hutumiwa na watu wanaosafiri kutoka sehemu mbalimbali kwa katika kusaka riziki zao. Cha kusikitisha, Kawe haina kituo cha daladala cha kueleweka. Kwa sasa magari husimama pembezoni mwa uwanja wa Tanganyika Packers, sijui kama ndio eneo sahihi...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Natamani sana Ubunifu huu wa 'Daladala' za nchini Denmark uigwe na za Tanzania ili tusiooa na wasioolewa tupate Wenza wetu wa Maisha

    Wamiliki wa Daladala nchini Denmark wamebuni Mbinu mpya kwa Abiria ambao hawataki Kuoa kama GENTAMYCINE au Kuolewa kama wengine ili waweze kuwapata Wenza wao ndani ya hizo Daladala. Ni kwamba sasa katika kila Daladala nchini Denmark huwa zinaachwa wazi Siti Mbili ambapo Yule Abiria ambaye...
  12. Influenza

    JamiiForums Tanzania Kimara Suka, Dar: Watu wawili wamefariki na nane kujeruhiwa kufuatia ajali iliyohusisha magari matatu

    Picha: Sehemu ambayo ajali imetokea Watu kadhaa wahofiwa kufa na wengine kujeruhiwa kufuatia ajali ya lori lililovamia kituo cha daladala cha Kimara Suca jijini Dar es Salaam leo Januari 28, 2022. Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Usalama wa Barabarani Taifa, ACP Abdi Isango ndiye aliyefika...
  13. Replica

    JamiiForums Tanzania Trafic wageuza JKT Mlalakuwa chanzo binafsi cha mapato kutoka kwa daladala

    Habari wakuu, Wakati sakata la rushwa kwa matrafik likiendelea nimewakumbuka Trafic 'wanaotega' kabla kidogo ya daraja la JKT Mlalakuwa (Wana kibanda chao pia pembeni). Ndugu zetu hawa asubuhi huzisimamisha daladala zote zinazoelekea Kawe kupitia Old Bagamoyo na kawaida huchukua 2,000 kwa kila...
  14. handsome boy wa jf

    JamiiForums Tanzania Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

    Moja ya kitu ambacho sitaweza kukisahau katika maisha yangu ni siku niliyokutana na jini kwenye daladala nakumbuka ilikuwa ni mwaka 2019 wakati nipo Chanika nilikiwa natoka kariakoo narudi ghetto ilikuwa ni mida ya saa 1 usiku sasa nikiwa kwenye gari akaja mdada mmoja akapanda kwenye dala dala...
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania TANZIA Afariki dunia akigombea usafiri kituo cha daladala Makumbusho

    Mtu mmoja amefariki dunia akiwa kwenye harakati za kugombea daladala alasiri hii ya leo. Tayari polisi wamefika na jitihada zinafanyika za kuuupeleka mwili wa marehemu Mwananyamala Hospitali kwa uhifadhi na uchunguzi zaidi. Marehemu hakuwa na kitu chochote cha kumtambulisha
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimepanda daladala yenye AC Dar es Salaam

    Hello guys! Nimewahi kuwauliza makondakta na madereva wa daladala kwanini gari zao hazina Air conditioner ilhali ukicheki zina namba mpya za usajili wakanijibu kuwa wameng"oa ili kuokoa mafuta. Leo nimepanda daladala nimeshtuka kuona ina AC. Kweli nchi ngumu hii.
  17. Dith

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza gari min bus ldv convoy

    Nauza gari, ni min bus yenye usajili wa number C. Aina ya LDV convoy. Gari ipo mwanza kwimba. Linahitaji marekebisho kadhaa na halijatumika muda mrefu. Bei ni 4.7M (mazungumzo yapo). Kwa mawasiliano na maswali zaidi piga 0769917961. Asante
  18. Vicenza

    JamiiForums Tanzania Nilichokiona jana kwenye daladala ya kwa Morombo-Arusha

    Habari za saa wana Jf, Jana majira ya saa moja usiku nilipanda daladala ya kwenda kwa moromboo,wenyeji wa arusha bac mtakuwa mnaelewa huu mtaa kwa sifa za matukio mengi ya wizi kwenye daladala na hata mtaani,na waathirika wengi wa haya matukio ni kina mama na wadada ndio wanakuwa wa hanga...
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kuna mji wenye usafiri mzuri wa daladala na elimu nzuri kuliko Mbeya?

    Hakika sijaona mji wenye system nzuri ya daladala kama Mbeya. Stendi kubwa zipo tatu kuna ya mjini ambayo ni stendi kuu ya zamani na ni kubwa kiasi kwajili ya mabasi ya mikoani na daladala, kuna stendi kabwe hii ni kwajili ya daladala na bajaji na pia utaikuta stendi kuu ya nane nane...
  20. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Kituo cha daladala Kilombero hakikidhi viwango

    Stand ya magari madogo Kilombero Almaarufu kama stand ya Hiace ambazo daladala zote za mjini huanzia hapo haikidhi kabisa vigezo vya kuitwa stand ya daladala kutokana na sababu zifuatazo. Hakuna vibao vinavyoonyesha kwamba hapa ndipo yanapopaki magari ya uswahili, Njiro au Usa, bali dereva...
Back
Top Bottom