Katika history huwa kuna matukio ambayo yana define era. Mfano hilter alipochaguliwa, first atomic bomb, ect.
Sasa mambo yameiva zile silaha zilizokuwa zinatengenezwa kwa maficho hakika huu ni muda muafaka wa kutumika. Enyi ndugu zangu napaza sauti yangu mpaka mwisho kaeni chonjo, ngoma...