Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.
Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 42 kutoka Nigeria aitwaye Consolata (sio jina lake halisi) aliandika kwenye mtandao wa kijamii, “Kabla ya leo, kuwa mhanga wa ukatili majumbali ilikuwa kitu kilicho mbali sana na akili yangu, lakini leo ni jinamizi kwangu. Hofu na hisia ya kukosa matumaini...
Don't get me wrong. Trump is not my cup of tea.....my opinion is that he could probably be the worst president the US has hitherto ever had (but that's the funeral for Americans, not me).
It's a well documented fact that on a world scale, the US appears to be the most hit by the corona-virus...
Membe anahoji:
"Je Tupo tayari kwenda kwenye Uchaguzi bila kuwa na tume huru?
Tume huru ya Uchaguzi ndugu zangu, maana yake ni kwamba uwe na Tume katika ngazi ya Wilaya, Mkoa na Taifa ambayo ina watu wa aina zote. Wa dini zote, vyama vyote, aina zote za Elimu, Wanasiasa Maarufu bila kujali...
Je,
1. Tanzania ni nchi iliyobarikiwa sana duniani kuliko nyinginezo?
2. Tanzania ina Raia ambao wana Kinga za Mwili Kali sana?
3. Kenya, Uganda na Rwanda hakuna CORONA kihivyo ila wanazidisha tu Idadi 24/7 ili wapate Pesa za IMF na WB?
4. Ile Sindano ya NDUI tuliyoipiga miaka ya 80 wakati wana...
Wizara ya Afya ya nchini Kenya leo ijumaa imethibitisha visa vipya 149 vya Covid 19 na kufanya jumla ya maambukizi katika taifa hilo kufikia 5,533.
Katibu Mkuu wa Afya Dkt Rashid Aman, akihutubia waandishi wa habari wakati akitoa sasisho za kila siku za COVID-19, alisema idadi hiyo ya Wagonjwa...
Miezi miwili iliyopita wakati ugonjwa wa Covid-19 uliposhika kasi nchini China na baadaye Ulaya na Marekani, wataalamu wa magonjwa walijaribu kutabiri mahali gani kwengine COVID-19 itaangamiza zaidi
Wengi walifikiri Afrika itakuwa eneo linalofuata kuwa na hatari kubwa, lakini baada ya kufika...
Hali ya mifumo ya afya katika nchi nyingi za Afrika limekuwa ni suala lenye msukosuko mkubwa. Miundombinu ya afya katika nchi nyingi za Afrika haitoshelezi mahitaji ya raia na kuepeleka vifo ambavyo vinaweza kuzuiliwa
Ujio wa ugonjwa wa Covid-19 umepelekea viongozi wengi wa Afrika wataharuki...
Publicly is pretending the virus is passed. Privately he is a biological bunker! He is as sanitized as anyone can be, in the midst of epicenter of sanitation, he is encouraging everyone else "don't follow guidelines"
by Anderson Cooper
Japokuwa serikali kupitia Wizara ya Elimu iliasa juu ya shule kutokukomoa wazazi baada ya likizo hii ya lazima, nyingi ya shule imeenda kinyume kwa kuleta ujanja wa kuongeza lisaa limoja au mawili na baada ya hapo kupandisha ada kwa karibia 50%.
Mfano hai ni shule ya Genius Kings iliyopo Tabata...
Ikiwa leo ni siku ya wajane duniani Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametaka kuangaziwa zaidi kwa kundi linalosahaulika mara kwa mara, wajane, hususan wakati huu wa janga la ugonjwa wa virusi vya Corona au COVID-19.
Katika ujumbe wake siku ya wajane, Bwana Guterres amesema...
Rais Donald Trump akiwa katika kampeni mji wa Tulsa, alisema kuwa serikali yake imepambana vizuri dhidi ya virusi vya corona. Amesisitiza ugonjwa wa virusi hivyo ungeweza kupewa majina mengi bora zaidi, lakini wameuita COVID-19, alisema ugonjwa unaosababishwa na virusi hivyo vingeweza kuitwa...
COVID-19 imetikisa dunia, vyombo vya usafiri wa abiria dunia nzima vilisimamisha shughuli. Kwakua dunia ni kijiji kidogo kila mtu ameguswa na madhara ya ugonjwa huu.
Sehemu nyingi shughuli za kijamii zilisimama . Maduka ya chakula na ya dawa tu ndiyo yalifunguliwa kwa muda maalum huku...
Na Festo Donald Ngadaya
Twitter, Instagram and Facebook @FestoNgadaya
Mwezi wa kwanza mwaka huu shirika la afya la dunia (WHO) lilitanganza covid-19 kama janga la kidunia (global pandemic). Toka hapo kumekuwa na miongozo tofauti tofauti ya upimaji wa virusi vya corona maabara. Covid19 ni kifupi...
Rais Xi Jinping wa China leo amesema, ni lazima kudumisha nia ya kusimamia mfumo wa pande nyingi. Na katika janga hili la COVID-19, mshikamano na ushirikiano ni silaha yenye nguvu zaidi.
Ameongeza kuwa China itashirikiana na Afrika kudumisha mfumo wa uongozi wa dunia ambao kiini chake ni Umoja...
Rais Xi Jinping wa China amesema, ndani ya mfumo wa FOCAC, China itafuta madeni ya nchi husika za Afrika yaliyo katika aina ya mikopo isio na riba kwa serikali ambayo muda wake utatimia mwishoni mwa mwaka 2020.
Pia amesema, kwa zile nchi za Afrika ambazo zimeathiriwa zaidi na virusi vya Corona...
Rais Xi Jinping wa China ametoa hotuba kwenye mkutano maalumu wa kilele kuhusu mshikamano na ushirikiano kati ya China na Afrika katika kupambana na COVID-19.
Ameahidi kuwa mara chanjo ya COVID-19 inayotengenezwa na China itakapokamilika na kuthibitishwa, nchi za Afrika zitakuwa kati ya nchi...
TBC yapotosha umma makusudi msemaji wa W.H.O hakusema kabisa eti lockdown haijasaidia kupunguza virus vya Covid-19. Swali na jibu haliusiani kabisa na Lockdown kama waliyoelezea TBC kwenye video hii:
Na wala msemaji haongelei kabisa eti kwamba ''lockdown haijazaa matunda ya kupunguza Covid...
Kufuatia ongezeko la maambukizi ya COVID-19, Rais Nana Akufo-Addo ametangaza kuwa kuanzia sasa kuvaa barakoa ni suala la lazima nchini humo na Polisi wameelekezwa kuhakikisha agizo hilo linatekelezwa
Alikuhutubia taifa, Rais Addo amesema idadi ya visa inaongezeka kutokana na watu kushindwa...
Wakati gazeti la Daily News la Tanzania likidai eti serekali ya Norway imeisifu mikakati ya serekali ya Tanzania katika kupambana na korona, Wizara ya Maendeleo ya Norway inasema ilitoa msisitizo kwa serekali ya Tanzania kuzingatia uwazi, ushirikishwaji katika kupashana taarifa pamoja na haki za...
Habari!
Katika hali isiyo ya kawaida, watu wenye ualbino waishio barani Afrika wamekuwa wakilaumiwa na kushutumiwa kwa kuenea kwa maambukizi ya virusi vya corona barani humo, mtandao wa Business Insider umeripoti.
Kumekuwa na taarifa kuwa watu wenye ualbino wamekuwa wakipachikwa majina kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.