covid-19

Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.

View More On Wikipedia.org
  1. Dr Akili

    Je, kati ya hawa wagombea nani angaliweza kutuvusha kwenye balaa hili la COVID-19? Si hadi sasa tungalikuwa kwenye mabarakoa na ma-lockdown?

    Ni nchi chache sana duniani ambazo marais wake ni scientists wenye level ya PhD. Kwa Afrika ni Tanzania pekee. Tumeshuhudia na dunia inashangaa rais mwanasayansi huyu alivyoweza kutuvusha kiulaini kwenye balaa hili la kisayansi la COVID- 19. Nchi nyingi duniani bado zinahangaika na ma-lockdown...
  2. S

    Tanzania tuliona Corona kwenye kuku na mbuzi tukawawajibisha wafanyakazi Maabara ya Taifa; China wanaona Corona kwenye kuku wanajiuliza wameingiaje!

    Juzi hapa China ilikuta kwamba baadhi ya mifuko ya kuku na kamba ilikutwa ina wadudu wa Corona (Covid-19). KIlichofuata ni kwamba serikali ya China ilianza kujiuliza maswali mengi kuhusu jinsi gani hao wadudu waliingia kwenye kuku na kamba ambavyo viliagizwa kutoka nchi ya Brazil. China...
  3. Yoyo Zhou

    Karibu Wakenya milioni moja wakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula

    Ofisi ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa (OCHA) hivi karibuni ilitoa ripoti kuwa, mamilioni ya Wakenya wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula. Kutokana na ripoti hiyo, tathmini zilizopangwa kufanyika mwezi Julai na Agosti zinatarajiwa kuthibitisha kuongezeka kwa hali mbaya...
  4. M

    COVID-19 Russia President Shocks the World again

    While the world continues to cast doubt and aspersion on the coronavirus vaccine recently announced by Russian President Vladimir Putin, the Russian President has declared again that the vaccine has been produced in mass quantity, stressing that the first batch is ready. The vaccine was named...
  5. Kevin85ify

    Kenya's exports to African markets rise amid COVID-19

    NAIROBI, Aug. 6 (Xinhua) -- Kenya's exports to African countries, particularly in the East African Community and Common Market for Eastern and Southern Africa (Comesa) markets, are resurging as more nations reopen amid the battle against COVID-19, the country's apex bank said in a report...
  6. MsemajiUkweli

    Yale matamko ya Ubalozi wa Marekani kuhusu COVID-19 nchini yameishia wapi?

    Kwa mtu anayechanganua masuala kwa undani utagundua kuwa matamko ya Ubalozi wa Marekani kuhusu kile walichokuwa wanakiita ''Hali mbaya ya maambukizo nchini'' kimepotea baada ya tamko lao la mwisho la mwezi Mei 2020. Nadhani Ubalozi wa Marekani umegundua kuwa matamko hayo yalikuwa hayaisaidii...
  7. B

    Covid-19: US raises travel alert levels for Kenya

    Covid-19: US raises travel alert levels for Kenya The US State Department on Friday raised the levels of its advisories on travel to Kenya and other East African countries partly due to concerns about the spread of the coronavirus. The new alerts urge prospective visitors to the region to...
  8. S

    Ikiwa ni upumbavu kusema Tanzania kuna COVID-19 bila kuwa na takwimu, basi iwe pia ni upumbavu kusema Tanzania hakuna COVID-19 bila takwimu

    Sio nia yangu kupingana na serikali yangu, lakini acha ukweli uwe ukweli. NIlishasema humu JF kwamba, kama viongozi wetu wanataka tuamini kwamba hatuna tatizo la COVID-19 nchini na hata kuutangazia ulimwengu kwamba hapa kwetu Tanzania tuko salama kabisa, basi angalau kwa wiki mbili mfululizo...
  9. Analogia Malenga

    Kenya’s COVID-19 cases rise to 23,202 after 605 more patients test positive and 6 dead

    Kenya has recorded 605 more COVID-19 cases after testing of 4,547 samples, pushing the country’s total caseload to 23,202. In a press briefing on Tuesday, Health CAS Dr. Rashid Aman also announced that six more patients had succumbed to the coronavirus disease bringing the number of fatalities...
  10. Kevin85ify

    Horticulture shrugs off COVID-19 to earn Kenya Sh. 72 bilioni in five months

    Earnings from horticulture exports grew by Sh. 7 billion in the first five months of the year. This was helped by high demand for vegetables and fruits, defying the Covid-19 scourge that disrupted the global market, where Kenya sells the bulk of its produce. Data from the Directorate of...
  11. Analogia Malenga

    UN: Kama maambukizi ya COVID-19 ndani ya jamii yamedhibitiwa, fungueni shule

    Janga la ugonjwa wa virusi vya Corona au COVID- 19 likiendelea kuripotiwa maeneo mbalimbali duniani, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa tamko lake la kisera lenye lengo la kuhakikisha kuwa janga hilo halizidishi pengo lililokuwa la walio na elimu na wasio na elimu. Tamko...
  12. Nyani Ngabu

    Ripoti ya Sky News kuhusu Magufuli na COVID-19

    Hiki ni kipande cha ripoti ya Sky News, moja ya shirika la habari la binafsi huko Uingereza. Ni kipande kilichorushwa tarehe 8 mwezi Juni mwaka huu. Ni kipande kinachozungumzia jinsi ambavyo Rais Magufuli na serikali yake ilivyoamua kukabiliana na huo ugonjwa wa Coronavirus. Ni karibu miezi...
  13. Mathanzua

    Globalist Plot to Mandate COVID-19 Vaccine Exposes Shocking Satanic Conspiracy

    #KWA UKWELI HUU,WAKAZI WA DUNIA LAZIMA TUUNGANE KUPINGA CHANJO YA COVID-19 KWA NGUVU ZETU ZOTE. Here’s the main reason why the NWO globalist cabal is dead set on mandating a universal COVID-19 vaccination program: No, it has nothing to do with vaccine-induced immunity being the only way to...
  14. Sky Eclat

    Belarus president who claimed vodka could ward off COVID-19 says he survived virus 'on his feet'

    Alexander Lukashenko is under fire over his pandemic response after he advised people to also "go to saunas" to ward off COVID-19. Belarus's president, who claimed vodka and saunas could keep coronavirus at bay, has said he caught COVID-19 and recovered "on his feet" without showing any...
  15. K

    COVID-19 is real

    Corona is real and I would like to share a little of my personal experience with COVID-19 and I am sounding the alarm. Going by our experience in SA , my view is that Kenya is following and is about 2 months behind South Africa. On May 20th, the Cases in South Africa were about 15000 the same...
  16. Kenyan

    Rais Uhuru Kenyatta: Wakenya hawapaswi kujilinganisha na mataifa yanayoficha taarifa za COVID-19

    Rais Uhuru Kenyatta amesema Wakenya hawatakiwi kujilinganisha na mataifa yasiyo uhuru wa habari na ambayo yamekuwa hayatangazi taarifa za CoronaVirus Amesema wananchi wanatakiwa kufurahia kuwa Serikali haifichi kitu chochote na imekuwa ikiwaambia wananchi ukweli kuhusu hali ya mlipuko huo...
  17. Yoyo Zhou

    Sekta ya mitindo inavyojikwamua kwenye mnaso wa COVID-19

    Wakati janga jipya la virusi vya corona lilipoibuka duniani limesababisha kila kitukikwame. Ugonjwa huu umekuwa na atharikubwa katika karibu kila sekta, hasa biashara yamitindo ambayo ilikuwa inachukuliwa kuwaisiyo na ulazima sana, ambapo katika kipindi cha mlipuko ilikuwa ikifanya vizuri...
  18. S

    Can coronavirus be transmitted through food?

    The thought may have crossed your mind as you navigate grocery store aisles or order takeout in the midst of a pandemic: Can you catch the new coronavirus from food? Experts say there's currently no evidence of the new coronavirus disease, COVID-19, being transmitted through food. "We don't...
  19. S

    USA CoronaVirus cases surpass 4 million

    The number of coronavirus cases in the US has surpassed 4 million, with nearly 144,000 Americans now killed by the global pandemic, according to Johns Hopkins University. The grim toll makes the country by far the hardest hit by the deadly bug, topping Brazil’s 2.2 million cases and India’s 1.2...
  20. BAK

    Covid-19: Tension in Madagascar after Minister requests international help

    Madagascar's President Andry Rajoelina drinks a sample of the "Covid Organics" or CVO remedy at a launch ceremony in Antananarivo on April 20, 2020. PHOTO | FILE | AFP Summary In a letter addressed Monday to donors, Health Minister Ahmad Ahmad made an "urgent appeal" to development agencies...
Back
Top Bottom