abudist
JF-Expert Member
- Oct 25, 2009
- 850
- 780
TBC yapotosha umma makusudi msemaji wa W.H.O hakusema kabisa eti lockdown haijasaidia kupunguza virus vya Covid-19. Swali na jibu haliusiani kabisa na Lockdown kama waliyoelezea TBC kwenye video hii:
Na wala msemaji haongelei kabisa eti kwamba ''lockdown haijazaa matunda ya kupunguza Covid -19 virus''... It complete misleading. Yeye anaongelea dalili tofauti za ugonjwa kwa wagonjwa tofauti na mazingira tofauti. Kama ni nchi ingine msemaji anaweza kuwashtaki TBC kwa kupotosha anachosema. Kwa nini TBC si wanatangaza vitu vya uongo faida yake nini? Baadhi ya wananchi wanaangalia habari hizi na madhara yake wanaweza wasiwe waangalifu kwa afya zao kwa kuamini walichosema TBC.
Hii hapa video kwenye hii post ndiyo walioitumia TBC kuelezea uongo wao.... Sasa angalieni na sikilizeni muuliza swali na msemaji wa WHO.