covid-19

Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.

View More On Wikipedia.org
  1. Influenza

    Mashirika ya ndege yamepokea dola bilioni 123 kama msaada wakati ya mzozo wa COVID-19

    Serikali mbalimbali duniani zimetoa dola bilioni 123 kuyasaidia mashirika yao ya ndege yaliyoathirika na janga la virusi vya corona, shirika la kimataifa la usafiri wa anga IATA limeripoti jana. Wakati asilimia 45 ya fedha hizo zilikwenda katika ruzuku ya mishahara, gharama za mitaji pamoja na...
  2. Lorenzo Rothgold

    The CoronaVirus, safety first, the economy and the world’s five stages of grief

    The virus Covid-19 has created two camps; the ones who say stay home, stay safe. The other camp is Take care of yourself and take care of your business, the biggest debate being what is important to save human lives or the economy and everything else. I will go ahead and declare my interest as I...
  3. Suley2019

    China kuendelea kuisaidia Afrika kukabiliana na COVID-19

    Waziri wa Mambo ya Nje wa China Bw. Wang Yi amesema, China itaendelea kuzisaidia nchi za Afrika kupambana na COVID-19, na kuchangia utekelezaji wa pendekezo la Kundi la nchi 20 la kukubali nchi maskini kuahirisha kulipa madeni. Vilevile China inafikiria kutoa msaada zaidi kwa nchi za Afrika...
  4. sajosojo

    Wuhan Lab Had 3 Live Bat Coronaviruses, None Matched COVID-19: Report

    The director of the Wuhan Institute of Virology said that claims made by US President Donald Trump and others that the virus could have leaked from the facility were "pure fabrication". source Wuhan Lab Had 3 Live Bat Coronaviruses, None Matched COVID-19: Report
  5. M

    COVID-19 Epicentres that were created by Presidents - Wake up call for Tanzanias President Magufuli

    When COVID-19 reached Tanzania, confirmed cases rose to cataclysmic levels. The president, Pombe Magufuli, took to casting doubts on the testing kits, followed by the firing of top health officials. Through and through, Tanzania officials have continued to term COVID-19 as "a flu" which can be...
  6. The Humble Dreamer

    Mlioko Dar tunaomba Updates za Covid-19 festival

    Wakuu Salaam; Watu wa Dar tupeni updates za Covid-19 festival inayofanyika leo. Sisi wa mikoani hatujaruhusiwa kusherekea hiyo shughuli, hivyo tunakosa uhondo halisi kulinganisha na nyie wa Dar. Festival ikoje huko hadi muda huu saa 5 asubuh? Umepanga kwenda wapi kwa hafla hii fupi ya leo?
  7. beth

    Watafiti waanza kuifanyia majaribio dawa ya mitishamba ya Zedupex kubaini kama ina uwezo wa kutibu COVID-19

    Taasisi ya Utafiti wa Matibabu ya Kenya (KEMRI) inafanyia majaribio dawa ya mitishamba ya Zedupex kubaini kama inaweza kutibu COVID19 Dawa ya mitishamba ya Zedupex ilitengenezwa na watafiti nchini humo miaka mitano iliyopita (2015) na imekuwa ikitumika kutibu ugonjwa wa Herpes Kiongozi wa timu...
  8. Dam55

    Magufulification of Africa, kauli iliyo hai Covid-19 inaprove hii fact.

    Alisema Prof Lumumba "We need to Magufulify Africa" Make Africa great. Mwanzo hakueleweka ila kwasasa kauli hii ina ukweli mkubwa mno. Ukiangalia kwenye hili Janga la Covid-19 utauona ukweli wa hii kauli. Magufuli kwa sasa nchi za ulaya ukitaja viongozi wa Africa tu jina la kwanza linalo...
  9. BAK

    Cloud hangs over Tanzania’s Covid-19 data updates

    Cloud hangs over Tanzania’s Covid-19 data updates In Summary The Chief Medical Officer Prof Abel Makubi told The Citizen on Friday May 22 that the probe committee which was formed by Health Minister had completed its work and handed over the report By Syriacus Buguzi and Rosemary Mirondo...
  10. M

    Donald Trump Imports John Magufuli s COVID-19 Master plan a day after Rewarding him with Millions of USD

    The East Africa region, Africa, and the world at large very much criticized President John Pombe Magufuli when he decided to go his way when the COVID-19 pandemic broke up in the region. During this COVID-19 pandemic that has plunged the whole world into fear, panic, and confusion, Magufuli's...
  11. M

    WHO Assures Madagascar of Their Support For Their Covid-19 Organics

    For more details watch with video,-
  12. manyonga

    UVCCM Kagera watoa vifaa kwa ajili ya mapambano ya Covid-19

    _*UVCCM KAGERA WAUNGA MKONO MAPAMBANO DHIDI YA CORONA*_ Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi Ndg.HAPPINESS RUNYOGOTE pamoja na wajumbe wa Baraza kuu mkoa wa Kagera leo tarehe 21/05/2020 wameunga mkono juhudi za Mh Rais katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu...
  13. M

    WHO reaches agreements with the Madagascar COVID-19 amidst Bribery Claim

    “Successful exchange with @DrTedros who commends #Madagascar’s efforts in the fight against #Covid19 and congratulates us for the discovery of #CovidOrganics."- President of Madagascar Andry Rajoelina The president of Madagascar Andry Rajoelina has tweeted on Wednesday that the Director-General...
  14. beth

    Denmark: Serikali yaanza kulegeza masharti yaliyowekwa kudhibiti COVID-19

    Serikali ya Denmark imeanza kulegeza masharti yaliyowekwa kudhibiti maambukizi ya COVID19 ambapo taratibu zilizowekwa mipakani zimelegezwa, baadhi ya Shule na maeneo mengine ya umma yameanza kufunguliwa Denmark inaingia hatua ya pili ya kufungua nchi ambapo maeneo ya tamaduni kama vile...
  15. Sky Eclat

    Coronavirus: Homemade masks and scarves can limit spread of COVID-19, study says, but there are downsides

    Homemade face masks can help limit the spread of coronavirus - but they do have downsides, according to a new study. Seven types of face masks were put to the test by the University of Edinburgh, including surgical masks, respirators, lightweight and heavy-duty face shields, and handmade masks...
  16. Neter

    Rwanda now Using High Tech Robots in the Fight against COVID-19

    Rwanda now Using High Tech Robots in the Fight against COVID-19 Robots are now part of Rwanda’s fight against COVID-19 and will help minimize risk of infections among health care workers, authorities said on Tuesday. Five anti-epidemic robots – named Akazuba, Ikirezi, Mwiza, Ngabo, and...
  17. jmushi1

    Kwenye hili la COVID19, naweza kuona mahesabu ya Rais Magufuli. Je, tumuunge mkono?

    Wanajamvi, nimeona nianze kwanza na hako kakipande hapo juu ili niweze kwenda kwenye hoja yangu moja kwa moja! Kwanza niseme nimekuwa nikisumbuka sana na hali inavyoendele nchini, kana kwamba kiongozi mkuu na wasaidizi wake kuna jambo wao wanalifahamu lakini sisi hatulifahamu! Hata hivyo...
  18. CHADEMA

    FULL TEXT: Hotuba ya Mwenyekiti na KUB Mhe. Freeman Mbowe kwa umma kuhusu Janga la Corona

    CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA UMMA JANGA LA CORONA NA YANAYOENDELEA BUNGENI 1.0 UTANGULIZI Ndugu zangu Watanzania, Kamati Kuu ya Chama chetu CHADEMA, ilifanya kikao chake cha kwanza kwa mfumo wa kidigitali kupitia jukwaa lake la CHADEMA Digital, siku ya Jumamosi...
  19. TODAYS

    Hii ndege za ATCL ni mpya au ni sababu ya covid-19?

    Wadau nimekutana na hizi picha kwenye moja ya ukurasa wao na sijapata jibu mujarabu kama hii ni moja kati ya zile ndege zilizopo so wamebuni njia mpya ya kuingiza amafaranga au ni mpya na ndiyo maana viti bado vina nylon? Wataalam tujuzane...
  20. Mzalendo_Mwandamizi

    African Arguments on Tanzania: How long can its COVID-19 strategy hold? (by Evarist Chahali)

    With neighbours tightening their borders and internal criticism growing, President Magufuli’s government finds itself increasingly isolated. Before the coronavirus reached Tanzania, things were arguably going according to plan for President John Magufuli. Since taking office in November 2015...
Back
Top Bottom