Kama hali ya corona Africa ni hii na Tanzania tuna wagonjwa 20 basi ni kweli tinaishi Eden

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,273
1585760456935.png
 
Mbona kuna nchi hazina maambukizi na zipo Afrika?Kwa hiyo unaona shida kuwa na idadi ndogo?Sio lazima tufanane kimaambukizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Code

Nilishawahi kuwa na mke hakuwahi kuniamini kwani alipenda Sana kumsikiliza jirani,jirani alikuwa mwana ajenda moyoni alipatiliza apio shina langu lilianza kulega nikalifunga kamba ila kila siku analivuta kwio!

Nimeliacha shina lijishikishe kwa mizizi yake ili lisivutwe na jirani.
 
Back
Top Bottom