Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Majaliwa Kassim Majaliwa amewaonya baadhi ya viongozi wakiwemo Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya kwa kutoa matamko na takwimu kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa covid-19 nchini.
Majaliwa amesema hayo jana Jumatatu, Aprili 6, 2020 wakati akihutubia...
Janga la Corona mpaka sasa hivi limeathiri nyanja mbalimbali za uchumi. Ingawa mpaka muda huu sekta ambayo imeathiriwa zaidi na ipo ICU ni sekta ya Utalii. Nchi nyingi zimefanya lockdown, kuna kufutwa kwa safari za anga. Hivyo hoteli, migahawa, tax drivers, wakulima, wavuvi, tour companies na...
Corona yaendelea kuwatoa utu mabeberu.
Kampuni ya utengenezaji wa vifaa tiba ya Uswizi, imelalamika kuwa Ufaransa imewachezea rafu mbaya mno Italy na Spain baada ya kuhodhi mzigo wa mamilioni ya mask za uso na glovu zilizokuwa zinasafirishwa kwenda kwenda Itali na Spain kupunguza maambukizi ya...
Wateja wenu wanapitia hali nguvu kiafya na kiuchumi, hebu punguzeni kidogo bei za vifurushi Kama sehemu ya kuungana na wateja wenu kwenye hili.
Hii ni pamoja na makampuni ya simu za mikononi kwakuwa wateja wenu inawabiti kufanyakazi wakiwa majumbani kupitia simu au Internet.
Msijifanye Kama...
Mbunge wa Kuteuliwa, Abdallah Bulembo akiwa Bungeni leo amesema kwamba hakuna Mpinzani wa kushindana na Rais Magufuli kwenye uchaguzi mkuu 2020 hivyo pesa ambazo zingetumika kwenye uchaguzi basi zielekezwe kwenye mapambano dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19.
NUKUU
Mkakati mzuri nilionao kukabiliana...
Kwa Mujibu wa ukurasa pembuzi(website) wa gazeti la India today ni kweli kwamba mkuu wa kitengo cha baiolojia na kemia wa Havard alitiwa nguvuni. Ila ni kwa tuhuma za kushindwa kutolea maelezo pesa nyingi alizopokea kutoka china na wala si kwa kutengeza virusi vya korona. Pia Profesa huyo si wa...
Hivi karibuni kumetokea uvumi katika mitandao ya kijamii kuwa kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya ugonjwa wa corona na Teknolojia ya 5G.Miongoni mwa hoja zinazotolewa ni kama zifuatazo:-
1. Kuwa karibu na 5G kuna sababisha corona, ndio maana nchi zilizo athirika zaidi ni zile zilizoanza...
Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson amelazwa hospitalini ili kufanyiwa uchunguzi wa kimatibabu.
Katika taarifa kutoka kwa ofisi yake siku ya Jumapili, Aprili 5, kiongozi huyo bado anaonyesha dalili za virusi vya corona siku kumi baada ya kuthibitishwa kuwa na virusi hivyo.
Waziri Mkuu wa...
Ukifuatilia kwa umakini epidemiology ya ugonjwa huu haiziathiri ngozi nyeusi zilizokulia Africa zinazopambana na Virus wengi walioko kwenye Vumbi tunalokutana nalo pengine Vumbi hili lina particles ndogondgo ambazo hazitakiwi na mwili na hivyo basi kinga za miili yetu ziko stressed kuingia...
IDADI YA WAGONJWA WA COVID19 WAONGEZEKA Z’BAR
Wizara ya Afya Zanzibar imetangaza wagonjwa wapya wawili wa maambukizi ya virusi vya #Corona na hivyo kufanya idadi ya waliopata maambukizi hayo kufikia saba.
Wagonjwa hao wapya wote ni Watanzania, wanaume wenye miaka 33 na 27 na waliingia Zanzibar...
Hosteli za Magufuli kutumika kama karantini
Serikali imetangaza rasmi kwamba wasafiri wote kutoka nchi za nje zilizoathirika na ugonjwa wa Corona watalazimika kukaa karantini kwa muda wa siku 14 katika hosteli za Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam maarufu hosteli za Magufuli.
Akizungumza katika...
Brazil ndani ya siku tano tu imepata waathirika wa #COVID19 10,500 na vifo 430 na kuwa taifa linaloongoza kwa maafa ya Corona ndani ya Latin America.
Tutakumbuka kuwa Rais wa Brazil siku chache zilizopita alisema hawezi kuzuia watu wasichangamane ndani ya nchi yake eti kwa sababu ya Corona huku...
Rais wa Marekani Donald Trump amewaonya wamarekani kujitayarisha kwa idadi ya kutisha ya vifo vinavyotokana na virusi vya corona katika siku zijazo wakati idadi jumla ya vifo duniani kote ikifikia 60,000.
Kesi zilizothibitishwa na wagonjwa wa virusi vya COVID-19 nchini...
Baada ya kuona Corona inawachakaza wazungu vibaya mno, wanasayansi wao wameamua kufanya mipango ya kuja kuwatumia wa-Afrika weusi kama ‘guinee pigs’ (panya wa majaribio) kwa kisingizio cha kuja kutoa chanjo, kumbe lengo ni kufanyia utafiti hizo chanjo kuona ipi ina madhara na ipi inafanya kazi...
Mkazi wa Mtaa wa Mazimbu Manispaa ya Morogoro Awadhi Lugoya anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani morogoro kwa tuhuma ya matumizi mabaya ya mitandao kwa kufungua akaunti kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook inayofahamika kwa jina CORONA VIRUS TANZANIA na kutoa taarifa za upotoshaji za ugonjwa...
Mwanamuziki wa Jazz na mpiga Saxophone kutoka Cameroon, Emmanuel N'Djoke Dibango (86) maarufu ‘Manu Dibango’, amefariki leo asubuhi akiwa jijini Paris baada ya kupata maambuzi Covid 19
Atakumbukwa kwa wimbo wake wa Soul Makossa.
ZAIDI SOMA
Emmanuel N'Djoke Dibango, known as Manu Dibango...
Mbali na kujadili mambo mbalimbali yanayohusiana na corona, nadhani ni wakati muafaka na sisi watumiaji wa mtandao huu wa JamiiForums tukaeleze ni jinsi gani janga hili limetuathiri kiuchumi na kijamii kwani ni wazi karibu kila mtu atakuwa ameguswa kwa namna moja au nyingine.
Maelezo yetu/ yako...
April 4, 2020
CORONA : WASANII WAUNGANA STUDIO KWA MARCO CHALI KUTOA NYIMBO YA KUELIMISHA JAMII
Wanamuziki wakongwe wameamua kuingia studio ili kutengeneza wimbo maalum kuelimisha umma juu ya.janga la gonjwa la Covid - 19.
Source : millard ayo
DR Congo 'prepared' to take part in vaccine testing: official
The Democratic Republic of Congo is prepared to take part in testing of any future vaccine against the coronavirus, the head of the country's taskforce against the pandemic said on Friday.
"We've been chosen to conduct these tests,"...
Duniani kun mambo.
Kama wewe unafikiri ugonjwa wa Corona ni hatari hata kuutamka, huko India familia imepata mapacha majuzi na wameaua kuwaita watoto hao Corona na Covid!
Maisha yanaendelea!
----
Twins born during pandemic named Corona and Covid
A boy and a girl born in the midst...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.