Ningekuwa na mamlaka, viongozi wa Msikiti wa Ngazija ningewatunuku cheti kutambua mchango wao katika vita dhidi ya corona

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,987
144,319
Mimi ni Mkristo lakini niseme tu viongozi wa msikiti huu ni mfano wa kuigwa na viongozi wengine wote wa dini na ningekuwa na mamlaka, hakika ningewatunuku cheti maalumu cha kutambua mchango wao kwa vitendo katika mapambana na janga hili la corona.

Inawezekana miongoni mwa vongozi wa Msikiti huu hakuna mwenye elimu kubwa kubwa (madokta, n.k) lakini wamefanya maamuzi ambayo yamewashinda viongozi wengine wa dini wenye elimu kubwa za udokta, n.k.

Hogereni sana!

1585656347468.png
 
Salary Slip,
Kila mtu ana wajibu wa kumlinda mwenzake kwa jinsi anavyoweza mkuu dhidi ya juu ugonjwa kwa nafasi yake aliyonayo katika jamii. Sasa wewe kama baba tukutunuku cheti kwa kuleta chakula nyumbani
 
Wanapingana mheshimiwa rais aliyesema sala na ibada misikitini na makanisani ziendelee?

Wanatumiwa na wapinzani wa JPM, hasa CHADEMA, NGO na Mike Pompeo.

Imamu wa huo msikiti kesho alipoti kwa DPP, ni mtakatishaji wa fedha pia ni mhujumu uchumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jambo usilolijua ni kama usiku wa Giza,kwa taarifa yako ni kuwa kuna cases za wagonjwa wa covid 19 zililipotiwa baada ya kufuatilia ilionekana wamechangamana na watu wa huo msikitià

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom