Wapinzani wameshindwa kupata kiki katika Corona

daza steven

JF-Expert Member
Aug 30, 2016
335
500
Wapinzani walianza kidigo kidogo kuchomekea baada ya janga la Corona kuingia nchini baadaye wakamtuma Zito lakini serikari makini imezima kiki zote kwani msemaji mwenye dhamana ni Mh Humi Mwalimu au Waziri mkuu Kassm Majaliwa au makam wa kwanza wa rais mama Samia Hassan kwa sababu chama chao kilishinda uchaguzi mkuu na watanzania waliwaamini wao hili kutuwakilisha sisi.

Hivyo ni ngumu tena kulazimisha kukiukwa kwamaoni ya wengi kwa kutengeneza kizazi cha makambale ndandi ya nchi yaani baba awena sharubu, mtoto awena sharubu, shemeji awena sharubu, mama awena sharubu, hausiboy pia awena sharubu hapana hiyo haikubaliki.

Ndiyo maana Zito kati maelezo yake anasema. Namnukuu. Anamshauri Rais kuwa, kuwe na umoja wa kitaifa kwa kuwashirikisha wanasiasa na vyama vya siasa tuwe na umoja wa kitaifa katika janga hili la Korona. Sasa tujiulize sisi umoja wetu wa kitaifa umevunjika?

Na wapinzani hawa wa sasa wanaweza kusema nini wakati serikari imezuia mikutano Chadema walisema wao wanaendelea na maandalizi ya maandamano na mikutano nchi nzima, wapinzani kama mnania ya kufanya siasa kweli mnatakiwa mjiangalie sana kabla ya kusema lolote.

Hivyo wapinzani kama kutafuta kiki ya kuwa wasemaji katika nchi hii basi muwe na akili kuwa tulishapiga kura na tukachagua CCM, sasa iweje tena mnaanza kutaka kufanya kazi zisizo zenu kama CCM wakiitaji msaada wenu basi wataanza wao na si ninyi muanze kusema mnataka wakati wananchi hawakuwaamini.

Nakumbuka huko nyuma CCM ilikuwa haijielewi kabisa kwamfano wakati wa awamu ya 4 kunaghorofa lilianguka hapa mjini Dar na utakumbuka Mh. James Mbatia ndiyo alikuwa msemaji sana kupitia vyombo vya habari nawenzake, ndiyo walikuwa wanatupa taaruifa zaidi lakini sasa serikali ya awamu ya 5 imewakata sharubu wote wasiostahili kuwa na sharubu hili familia tuelewane na mambo yaende sawa.

Utakumbuka wakati wa tetemeko la aridhi kule bukoba Freemani alishuka na chopa kutafuta kiki, lakini nini kilimkuta alirudi Ufipa bila kulalamika kwani alikuwa anaelewa ila alikuwa anatesti mziki.

Ushauri wangu kwa wapinzani ni kujenga taasisi na si kutafuta siasa nyepesi kuwatoa zitawaghalimu sana na pia mnawaumiza sana wafuwasi wenu ila awasemagi tu wanakuwa kama washabiki wa ile Asenal.
 
DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
21,933
2,000

Yaani wewe bora ungefia tumboni hustahili kuishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ArchAngel

JF-Expert Member
Oct 11, 2015
4,365

Mataga mna akili za ki-nyaninyani sana mnawaza siasa tu muda wote! Hivi hiyo buku 7 unayolipwa ni muhimu sana kuliko utu wako? Moron.

Sent using Soviet T-72 Main Battle Tank
 
Tigershark

JF-Expert Member
Oct 9, 2018
4,281
2,000
Kwanini Polepole anasajili mambumbumbu kuwa watetezi wa CCM mitandaoni?Maana kama ni propaganda utafikiri wanaandika ili wasome watoto wa darasa la 7!Sasa huyu naye kweli alipwe buku 7 kwa huu uharo?Endeleeni kufa na tai shingoni!
 
Baba Joseph17

JF-Expert Member
Jul 15, 2013
8,340
2,000
Wapinzani walianza kidigo kidogo kuchomekea baada ya janga la Corona kuingia nchini baadaye wakamtuma Zito lakini serikari makini imezima kiki zote kwani msemaji mwenye dhamana ni Mh Humi Mwalimu au Waziri mkuu Kassm Majaliwa au makam wa kwanza wa rais mama Samia Hassan kwa sababu chama chao kilishinda uchaguzi mkuu na watanzania waliwaamini wao hili kutuwakilisha sisi.

Hivyo ni ngumu tena kulazimisha kukiukwa kwamaoni ya wengi kwa kutengeneza kizazi cha makambale ndandi ya nchi yaani baba awena sharubu, mtoto awena sharubu, shemeji awena sharubu, mama awena sharubu, hausiboy pia awena sharubu hapana hiyo haikubaliki.

Ndiyo maana Zito kati maelezo yake anasema. Namnukuu. Anamshauri Rais kuwa, kuwe na umoja wa kitaifa kwa kuwashirikisha wanasiasa na vyama vya siasa tuwe na umoja wa kitaifa katika janga hili la Korona. Sasa tujiulize sisi umoja wetu wa kitaifa umevunjika?

Na wapinzani hawa wa sasa wanaweza kusema nini wakati serikari imezuia mikutano Chadema walisema wao wanaendelea na maandalizi ya maandamano na mikutano nchi nzima, wapinzani kama mnania ya kufanya siasa kweli mnatakiwa mjiangalie sana kabla ya kusema lolote.

Hivyo wapinzani kama kutafuta kiki ya kuwa wasemaji katika nchi hii basi muwe na akili kuwa tulishapiga kura na tukachagua CCM, sasa iweje tena mnaanza kutaka kufanya kazi zisizo zenu kama CCM wakiitaji msaada wenu basi wataanza wao na si ninyi muanze kusema mnataka wakati wananchi hawakuwaamini.

Nakumbuka huko nyuma CCM ilikuwa haijielewi kabisa kwamfano wakati wa awamu ya 4 kunaghorofa lilianguka hapa mjini Dar na utakumbuka Mh. James Mbatia ndiyo alikuwa msemaji sana kupitia vyombo vya habari nawenzake, ndiyo walikuwa wanatupa taaruifa zaidi lakini sasa serikali ya awamu ya 5 imewakata sharubu wote wasiostahili kuwa na sharubu hili familia tuelewane na mambo yaende sawa.

Utakumbuka wakati wa tetemeko la aridhi kule bukoba Freemani alishuka na chopa kutafuta kiki, lakini nini kilimkuta alirudi Ufipa bila kulalamika kwani alikuwa anaelewa ila alikuwa anatesti mziki.

Ushauri wangu kwa wapinzani ni kujenga taasisi na si kutafuta siasa nyepesi kuwatoa zitawaghalimu sana na pia mnawaumiza sana wafuwasi wenu ila awasemagi tu wanakuwa kama washabiki wa ile Asenal.
Uchawi hauwezi kuisha kwa watu kama wewe, Watnzania wanasafari ndefu
 
Bishweko

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
2,020
2,000
Uzuri ni kua nimekutambua hamna cha malipo leo.Msidhani elfu saba zinatoka hivi hivi
 
Nisamehe

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
479
500
Wapinzani walianza kidigo kidogo kuchomekea baada ya janga la Corona kuingia nchini baadaye wakamtuma Zito lakini serikari makini imezima kiki zote kwani msemaji mwenye dhamana ni Mh Humi Mwalimu au Waziri mkuu Kassm Majaliwa au makam wa kwanza wa rais mama Samia Hassan kwa sababu chama chao kilishinda uchaguzi mkuu na watanzania waliwaamini wao hili kutuwakilisha sisi.

Hivyo ni ngumu tena kulazimisha kukiukwa kwamaoni ya wengi kwa kutengeneza kizazi cha makambale ndandi ya nchi yaani baba awena sharubu, mtoto awena sharubu, shemeji awena sharubu, mama awena sharubu, hausiboy pia awena sharubu hapana hiyo haikubaliki.

Ndiyo maana Zito kati maelezo yake anasema. Namnukuu. Anamshauri Rais kuwa, kuwe na umoja wa kitaifa kwa kuwashirikisha wanasiasa na vyama vya siasa tuwe na umoja wa kitaifa katika janga hili la Korona. Sasa tujiulize sisi umoja wetu wa kitaifa umevunjika?

Na wapinzani hawa wa sasa wanaweza kusema nini wakati serikari imezuia mikutano Chadema walisema wao wanaendelea na maandalizi ya maandamano na mikutano nchi nzima, wapinzani kama mnania ya kufanya siasa kweli mnatakiwa mjiangalie sana kabla ya kusema lolote.

Hivyo wapinzani kama kutafuta kiki ya kuwa wasemaji katika nchi hii basi muwe na akili kuwa tulishapiga kura na tukachagua CCM, sasa iweje tena mnaanza kutaka kufanya kazi zisizo zenu kama CCM wakiitaji msaada wenu basi wataanza wao na si ninyi muanze kusema mnataka wakati wananchi hawakuwaamini.

Nakumbuka huko nyuma CCM ilikuwa haijielewi kabisa kwamfano wakati wa awamu ya 4 kunaghorofa lilianguka hapa mjini Dar na utakumbuka Mh. James Mbatia ndiyo alikuwa msemaji sana kupitia vyombo vya habari nawenzake, ndiyo walikuwa wanatupa taaruifa zaidi lakini sasa serikali ya awamu ya 5 imewakata sharubu wote wasiostahili kuwa na sharubu hili familia tuelewane na mambo yaende sawa.

Utakumbuka wakati wa tetemeko la aridhi kule bukoba Freemani alishuka na chopa kutafuta kiki, lakini nini kilimkuta alirudi Ufipa bila kulalamika kwani alikuwa anaelewa ila alikuwa anatesti mziki.

Ushauri wangu kwa wapinzani ni kujenga taasisi na si kutafuta siasa nyepesi kuwatoa zitawaghalimu sana na pia mnawaumiza sana wafuwasi wenu ila awasemagi tu wanakuwa kama washabiki wa ile Asenal.
Aisee! Nimeamini ubongo wako hauko salama. Umeandika nn? Ni wa kusamehewa bure tuu.
 
Top Bottom