Tangled (2010):Animation film iliyotabiri janga la Corona

mike2k

JF-Expert Member
May 12, 2016
608
1,000
Kwa wapenzi wa filamu za disney bila shaka watakuwa wameshawahi kuitazama hii filamu. kiufupi inamhusu binti aitwaye Rapunzel kutoka familia ya kifalme alitekwa akiwa mdogo kwa sababu ya uwezo wa nywele zake ambazo zilikuwa na uwezo wa ajabu wa ku deaging, kuponya etc.binti huyu anatokea kwenye ufalme wa CORONA.

Filamu hii imekuwa gumzo tena kipindi hiki miaka kumi toka ilipotolewa kwa mara ya kwanza huku ikizusha maswali mengi je Disney walilijua hili mapema au? Kwenye hii filamu binti huyu alifungiwa kwenye quarantine kwa kipindi kirefu pia. na hiki ndo kinachotokea kwa sasa katika dunia yetu kipindi hiki.


Did Disney’s ‘Tangled’ predict the coronavirus pandemic?

1586032083824.png
 

lolypop

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
1,805
2,000
Hata mm ofisin kwangu wananiuliza kama nilifahamu corona itatokea. Tulikuwa na kikao cha kuhama bima ya kampuni moja kwenda kampuni nyingine na miongoni mwa swali nililouliza ni je kama ikitokea ugonjwa wa mlipuko na watu wakafa kwa mara moja hao waliokufa wapo kwenye bima je kampuni yenu itacover? Sasa imetokea corona na watu wanakufa kwa wingi.................
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom