Askofu Gwajima yuko mubashara Clouds tv akiongelea ugonjwa wa Corona na waandishi nguli Baby Kabaye na msaidizi wake Hassan Ngoma.
Gwajima anasema Corona ni tatizo litakalopita kama yale yote yalivyopita huko nyuma na watanzania wasiogope bali wasimame imara imara kwa sababu Mungu anatupigania...
Viongozi wa nchi zilizostawi kiviwanda na kiuchumi, G20, wanatarajia kukutana kwa mazungumzo kupitia video Alhamisi wiki hii kuhusu janga la kimataifa la Covid-19,
Mkutano huo unakuja wakati viongozi kadhaa duniani wanalaumu kundi hilo la nchi zilizostawi kiviwanda na kiuchumi, G20, kwa...
Ripoti mpya ya mwaka kuhusu Takwimu na Makadirio ya Biashara iliyotolewa jana Jumatano na Shirika la Biashara Duniani WTO, inasema biashara duniani inakadiriwa kupungua kati ya asilimia 13 hadi asilimia 32 mwaka huu, kutokana na athari za mlipuko wa COVID-19 unaokithiri kote duniani.
Ripoti...
Wanabodi,
Kila nipatapo nafasi, huwa naandika makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", makala hizi huwa zinachapishwa na magazeti mbalimbali, hivyo Wahariri kuweni free kuitumia makala yangu yoyote, na be free kui edit kwa kiwango chochote utakacho ona inafaa, maana hata mimi sitaki tena...
Mfanyabiashara maarufu nchini, Rostam Azizi ameahidi kutoa Sh1 bilioni kwaajili ya vitakasa mikono kwa daladala za Jiji la Dar es Salaam na Unguja katika kuunga juhudi za Serikali kukabiliana na virusi vya corona.
Rostam alitoa ahadi hiyo mbele ya Waziri Mkuu, Majaliwa Khasim Majaliwa.
Wa...
Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Jaji Kaijage amesema zoezi la kuboresha daftari la wapiga kura litaendelea tena tarehe 17 April,2020 Tanzania bara na visiwani.
Jaji amesema masharti yote ya kujikinga na Corona yatazingatiwa wakati wa zoezi hilo ikiwemo kunawa mikono.
Chanzo: Eatv habari!
My...
Ijue ugonjwa unaosababishwa na Virusi vya Corona
Watu wengi wanasambaza taarifa za uwongo juu ya Corona kwenye mitandao. Kama daktari na mtafiti wa afya niliyazungumzia baadhi ya hizo taarifa hapa.
Ugonjwa wa Corona ni nini?
Taarifa za uwongo kuhusu Corona unasambaaje?
Nini taarifa za...
Wadau Wamkabidhi Waziri Mkuu Sh. Bil 6.226 Kukabili CoronaWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea kutoka kwa wadau msaada wa fedha pamoja na vifaa mbalimbali kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) wenye thamani ya sh. bilioni 6.226...
Virginia Mayo/AP Photo
Locals in Wuhan, where the Chinese coronavirus pandemic originated, have heard screams coming from funeral home furnaces, and some treated in hospitals say they saw workers put living coronavirus patients in body bags, Radio Free Asia (RFA) reported on Monday.
RFA noted...
Kutokana na viwanda na mipaka ya nchi kufungwa, uzalishaji wa zana hizo za kujikinga unatarajiwa kushuka, huku usambazaji ukikumbana na ugumu na hivyo kusababisha upungufu mkubwa wa condom duniani
Dunia inatarajiwa kukumbana na upungufu mkubwa wa condom kutokana na mlipuko wa virusi vya corona...
Mamlaka ya afya nchini China imethibitisha visa vipya 62 vya maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa hatari wa Covid-19, ambapo janga hilo lilizuka mwezi Desemba mwaka jana.
Siku moja kabla watu 32 waliambukizwa virusi vya Corona, kwamujibu wa mamlaka ya afya.
Vifo viwili vya nyongeza...
Msanii Robert Kelly maarufu Kama R. Kelly ameomba kuachiwa akihofia kupata maambukizi ya virusi vya korona katika Gereza la Metropolitan Correctional Center (MCC) Chicago. Hivi karibuni majaji wa Chicago walionesha nia ya kumuachia kwa dhamana lakini Jaji kutoka New York amesema abaki gerezani...
Rais Donald Trump amelishukia shirika la afya duniani WHO na kulilaumu kwa kuegemea upande wa China.Trump amesema asasi hiyo ya kimataifa ilishirikiana na China kuficha ukweli.
Rais wa Marekani Trump ametishia kulikatia fedha shirika la afya Duniani WHO kwa sababu amesema shirika hilo...
Wameongezeka waathirika 14 huku mmoja akiwa ametokea Tanzanua na kufanya idadi kufikia 172, hadi sasa Kenya imepima watu zaidi ya 5,000 maana kasi ya kupima imeongezeka, mbinu zinatumika kwa umakini kufuata kila aliyekutana au kuhusiana na waathirika.
-----
Fourteen more patients have tested...
Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), limeridhia usafirishaji wa bidhaa muhimu katika ukanda huo wakati wa janga la homa ya mapafu (Covid-19) ili kuzuia maambukizi ya ugonjwa huo kwa nchi wanachama.
Akizungumza katika Mkutano wa dharura wa Maafisa Waandamizi wa...
Msemaji Wizara ya Mambo ya Nje wa China Zhao Lijian amesema China ipo tayari kuisaidia Marekani ili kupunguza maambukizi ya corona ambayo yanaonekana kushika kasi USA wakati huu ambapo China yamepungua, Zhao ni miongoni mwa Watu wa kwanza kudai Marekani imepandikiza corona China.
"Niliwahi...
Charles Liebar is a Doctor and chair of Harvard University’s Department of Chemistry and Chemical Biology.
He is believed to have created the deadly Corona Virus with other Chinese Nationals through a post that virally, occupied the internets’ search engine and social media.
Through a fact...
Manager wa msanii mkubwa Diamond Platnumz, Sallam SK amefunguka baada ya kupona ugonjwa wa Corona akiwa amefanyiwa na moja ya chombo cha habari amesema kwamba wakati anatangaza kuwa amepata Corona ndugu zake wa karibu, waliudhunika na wengine kuanza vilio pamoja na wadau mbalimbali wa mziki na...
Raia weusi wa mji wa Chicago ni nusu ya visa vyote vya ugonjwa wa virusi vya corona katika mji huo
Takwimu kutoka maafisa wa afya mjini Chicago zimeonesha athari kubwa ya virusi vya corona katika Wamarekani weusi.
Raia weusi wa mji wa Chicago ni nusu ya visa vyote vya ugonjwa wa virusi vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.