corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madhara ya Corona na Mapenzi/Mahusiano

    Habari hii inaweza isiwahusu wanandoa. Wale Kadamnasi hali ni tete wale wa Uganda/Kenya/Ghana kwenye full lockdown wameamua kulia ama kutoa vilio vyao kupitia mitandaoo Nimeona Ghana Raisi akitoa hotuba mabinti wanaandika tunaomba Mh. President tuko horny sana tukazibuliwe hata nusu saa tu...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Corona isififishe juhudi za kudai Tume huru ya uchaguzi

    Kichwa cha habari chahusika . Natambua juhudi zote za kila mmoja ikiwa ni pamoja na serikali na Taasisi mbalimbali , zinazofanyika kwenye kuzuia na kupunguza na bila shaka kuondoa kabisa ugonjwa wa hatari wa virusi vya COVID - 19 , naunga mkono juhudi hizo kwa vitendo baada ya mimi pia kugawa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Corona: Zanzibar yapiga marufuku mikutano ya waandishi wa habari

    Waziri wa habari wa Zanzibar amezuia mikutano yote ya waandishi wa habari na mtu yoyote mwenye jambo la kuhabarisha Umma basi alifikishe ofisi ya Maelezo na waandishi watatumiwa taarifa. Source: Clouds tv
  4. Informer

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwandishi Lutengano Haonga wa TBC afariki dunia

    Lutengano amefariki jioni ya leo hospitali ya Mloganzila jijini Dar. Alikuwa mtu wa watu, rafiki wa watu na mtu muungwana sana.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Corona: Kirusi kinaweza kusafiri umbali wa futi 13 hivyo kwenye mikusanyiko tukae umbali wa mita 4 kwa usalama wetu

    Nimeikuta hii kwenye makala moja ya kitabibu kwamba kirusi cha corona kinachosababisha ugonjwa wa Covid 19 kina uwezo wa kusafiri umbali wa futi 13. Hivyo wataalamu hao wanashauri kàtika mkusanyiko wowote umbali kati ya mtu na mtu kwa kila upande ili kujilinda na maambukizi ni lazima uwe mita 4...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana wazungu wanaposhangaa na kuhuzunika hadi sasa Corona haijaua kwa wingi Waafrika kama Italy na New York

    Walitabiri wiki tatu zilizopita ikifika pasaka waafrika weusi watapuputika kama Nzi kwaugonjwa wa Corona na walikuwa wanasubiri kwa hamu sana itokee. Hadi jana walishangaa masela bado tunadunda tuu licha ya kujisaidia porini na vichakani na IQ zetu mbovu zenye Mushkheli. Kuna kahusuda fulan...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Wavutaji wa Sigara na Tumbaku wako hatarini zaidi endapo wataambukizwa #CoronaVirus

    Shirika la Afya Duniani(WHO) limeeleza kuwa watumiaji wa Sigara na Tumbaku wako kwenye hatari zaidi endapo Watabeba virusi kwenye viganja vyao WHO imesema kuwa kitendo cha uvutaji wa Sigara na Tumbaku kinahusisha mikono kugusa mdomo hivyo ni rahisi kupata maambukizi endapo mvutaji hakuzingatia...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wakati mkilia na COVID-19 Serikali ya Afrika Kusini yapongeza ujio wa Kirusi CORONA kwani kimesaidia Kupunguza Uhalifu nchini humo

    Kama ulidhani ujio wa hili Janga Kubwa na baya Ulimwenguni la CORONA halina Faida kwa upande mwingine utakuwa umekosea sana na unajidanganya mno. Katika hali isiyokuwa ya Kawaida Serikali ya Afrika Kusini kupitia Waziri wa Polisi Bwana Bheki Cele amekishukuru kupita maelezo Kirusi kibaya cha...
  9. Tz boy 4tino

    JamiiForums Tanzania Huu ndo mji wa Wuhan, Virusi vya Corona vilipoanzia

    Mji wa Wuhan , mji wenye idadi ya watu takribani milioni 6 . Mji wa Wuhan unapatikana katika jimbo la Hubei.Ni miongoni ya miji mizuri zaidi nchini China, Kwa mengine kuhusu mji huo 👇👇👇👇👇
  10. S

    JamiiForums Tanzania Israel: Visa vya corona vyafikia zaidi ya 10,800, vifo zaidi ya 100; Uhaba wa vifaa vya kupimia watawala

    Taifa teule la Israel laendeleza mapambano dhidi ya corona huku likiwa limerikodi visa zaidi ya 10,800 na vifo 103. Hata hivyo maabara za nchi hiyo zimekumbwa na uhaba wa vifaa vya kupimia corona, na hivyo kupunguza upimaji wa watu wenye kuonesha dalali za ugonjwa huo. Mamlaka yatarajia kuanza...
  11. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Barua ya US Congress kwenda WHO wakiituhumu kushirikiana na China kusambaza virusi vya corona

    Baraza la Congress la Marekani limemwandikia barua Tedros Adhamon ambaye ni DG wa WHO likimtuhumu kuisaidia China kwenye mpango wake wa siri kueneza COVID19 duniani kwa Makusudi. Jisomee mwenyewe hapa👇: April 9, 2020 Dr. Tedros Adhanom Ghebreyesus Director-General World Health Organization 20...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Elimu nzuri kuhusu corona kutoka kwa diaspora

    Video Conferencing, Web Conferencing, Webinars, Screen Sharing
  13. moyafricatz

    JamiiForums Tanzania Afrika haitakuwa kwenye hali mbaya dhidi ya Covid-19

    Napenda kuwajibu hao wanaosema kuwa Africa tutakuwa katika hali mbaya zaidi kuliko hata Italy, France na Germany.* Ni nani asemaye neno na likatimia ikiwa Bwana hakuliagiza? MAOMBOLEZO 3:37-38 1. Usisahau kuwa ni katika Africa ambapo Mungu alimtajirisha Abraham (Misri) 2. ISAKA alitembelea...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Taharuki ya CORONA + Mvua ya AJABU Dar es Salaam + Uchumi mbaya MIFUKONI = Sadaka Kiduchu Makanisani na Wachungaji wengi Kununa

    Sijawahi kuona Pasaka ambayo Wachungaji na Makasisi wengi ' Wamenuna ' na wana ' Hasira ' hata Nyusoni mwao kama hii ya leo. Kuna Kanisa Moja Wilayani Kinondoni Siku zote Saa 2 Asubuhi huwa ' limeshafurika ' Waumini na Sadaka yake kwa Siku hufikia Shilingi Milioni hata Tatu hadi Nne ila cha...
  15. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Utalii na Corona - Ikiwapendeza NSSSF itapunguza makali kwa wafanyakazi

    Ni juavyo mimi wafanyakazi wa Mashirika Binafsi ya Utalii yameandhirika sana na janga la Corona. Mashirika mengi yameshindwa kulipa mishahara, hivyo mengine yanaishia kulipa sehemu ya mshahara na mengine kutokulipa kabisa kwa miezi kadhaa ijayo kwani haijulikani janga hilo litachukua muda...
  16. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Nabii Malisa: Mungu ameniambia Corona ni April tu, May hakuna Corona na hakuna atakayekufa!.

    Wanabodi, Heri ya Pasaka. Naangalia Live ya Pasaka kwe Wasafi TV, kipindi kinaendeshwa na Mtangazaji mahiri Lilian Mwasha ila kiukweli somo la social distancing bado halijaeleweka. Kama hii ndio media iliyopaswa kuonyesha mfano wa social distancing, lakini wao ka Studio kadogo wanarundikana watu...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, pamoja na Corona unayo nafasi ya kuiunganisha nchi

    Rais Magufuli kwa mara nyingine nakuletea ushauri ambao ni nadra kuupata toka kwa wanaojipendekeza kwako kwa maslahi yao. Kwa bahati mbaya pana watu gonjwa hili la Corona wamelifanyia siasa kwa maslahi binafsi. Busara na hekima vimewekwa pembeni kujaribu kuifanya jamhuri ya Tanzania kuwa ni...
  18. R

    JamiiForums Tanzania CNN and Coronavirus: Africa in existential threat

    Nimeshindwa kuelewa kwanini wametuweka katika kundi hili! Nika google na kupata hasa wanamaanisha nini. see below: WHO USES EXISTENTIAL THREAT? The phrase existential threat gets used when the continued existence of something is perceived to be at stake due to some force or action. Pascal...
  19. Logikos

    JamiiForums Tanzania Mchuma Janga hula na Wakwao - The Case of Corona and Social Distancing

    Ukitaka maji utakwenda Kisimani na Ukitaka Mchicha utakwenda Shambani…, Sidhani kama itakuwa busara kuomba ushauri wa kiimani kwa daktari, vilevile busara itakwambia mambo ya kiafya huenda mchungaji au mtu wa Imani asiwe sahihi kuliko daktari kwa ushauri muafaka. Wataalamu wa Imani ni madaktari...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Yawezekana maambukizi ya corona ni mengi kuliko inavyoripotiwa duniani kote

     BERLIN, UJERUMANI WATAFITI katika Chuo Kikuu cha Göttingen nchini Ujerumani wametahadharisha kuwa huenda visa vya maambukizi ya virusi vya Corona duniani vimepindukia mamilioni kwa mamilioni. Watafiti wanasema kufikia sasa ni asilimia 6% tu ya mambukizi hayo ambayo yamegundugulika...
Back
Top Bottom