Inasikitisha sana wazungu wanaposhangaa na kuhuzunika hadi sasa Corona haijaua kwa wingi Waafrika kama Italy na New York

Nguseroh

JF-Expert Member
Jan 18, 2020
2,036
2,000
Walitabiri wiki tatu zilizopita ikifika pasaka waafrika weusi watapuputika kama Nzi kwaugonjwa wa Corona na walikuwa wanasubiri kwa hamu sana itokee. Hadi jana walishangaa masela bado tunadunda tuu licha ya kujisaidia porini na vichakani na IQ zetu mbovu zenye Mushkheli.

Kuna kahusuda fulan wanayo hawa watu. Sasa hivi wamehamisha data zao kwa black Americans kujifariji eti wanakufa kwa wingi wakati wao ndio wanapuputika. Kwasababu data zinaonyesha vifo vya coronavirus Marekani Black Americans na minority wengine ni 55% na mizungu ni 45% kwa hiyo blacks pekee yao wanaokufa tuseme ni 25% ukimlinganisha na mizungu 45%.

Licha ya mapungufu yetu Mungu anazidi kuturehemu.

Unakuta chama cha Republican wanajisifia kumjua Yese siju anti arbition lakini wanafuta makusudi fungu la hela la social benefits na states handouts kisa zinawafaidisha kwa wingi Black America wakati hela yenyewe ni ndogo sana kwenye budget kama tone baharini na haidhuru chochote na kampuni zao zinaibia mafuta arabuni.

Democrats ndio hawana time na Yesu na kibaya wanaunga ushoga ila wanajali sana walala hoi. Kwa kila taifa siyo kila mtu anajiweza lazima serikali ipige watu jeki kwenye social benefits.

Waafrika weusi mababu zao wamefanya kazi na kujenga Marekani bila kulipwa wakati wautumwa kwa manyanyaso ni wakati wa vizazi vyao vya sasa wafurahie matunda ya mababu zao kwa kupumzika.

Mungu azidi kulinda ngozi nyeusi popote pale duniani.

Sasa hivi mwenye kinga imara ya mwili ndiye mshindi kuliki mwenye hela
 

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
7,415
2,000
Wacha tuendelee tu kujifariji kwa huu ujinga na kejeli wakati lilikuwa ni angalizo muhimu kwetu.
Adui wa kutumaliza waafrika sio mzungu bali ni Corona, na sasa huyo adui tunaye mtaani anatutafuna taratibu.


NOTE:
Mpaka sasa kwa Marekani wengi waliokufa na wanaokufa ni waafrika kuliko wazungu.
Pia Mungu sio mbaguzi wa rangi, kama anaweza kutukinga sisi na Corona anaweza kuwakinga na wazungu pia.
 

Proved

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,893
2,000
Kuna wanaodai Africa haijaathirika Sana sababu hili gonjwa lilichelewa kuingia ila tusubiri angalau huu mwezi wa 4 upite tutajua tuko kwenye hali gani.
 

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
19,137
2,000
Acheni kujifariji ngoma hii haitabiriki sahivi tu namba imeshaanza kuwa kubwa..
 

mr chopa

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
5,154
2,000
Kuna member flani atakuja hapa kuandika mungu wabariki wazungu/mabeberu

Sent from Tapatalk
 
  • Haha
Reactions: UCD

ujoka

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
2,544
2,000
Huyo Yesu mbona nyinyi wa afrika mmeanza kumjua wazungu walipo kuja huku Africa? Kwahiyo sasa hivi mnajiona mnajua zaidi kuliko wao? Kweli Africa ni ovyo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu Afrika dini tumeletewa tu lakin waislam na wakristo wa ukweli wamebaki afrika tu waarabu wamebaki na utamaduni tu wa kiislamu wazungu wameukana kabisa uo ukristo kama huamin fanya simple research utajua
 

Hornet

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
23,661
2,000
Wacha tuendelee tu kujifariji kwa huu ujinga na kejeli wakati lilikuwa ni angalizo muhimu kwetu.
Adui wa kutumaliza waafrika sio mzungu bali ni Corona, na sasa huyo adui tunaye mtaani anatutafuna taratibu.


NOTE:
Mpaka sasa kwa Marekani wengi waliokufa na wanaokufa ni waafrika kuliko wazungu.
Pia Mungu sio mbaguzi wa rangi, kama anaweza kutukinga sisi na Corona anaweza kuwakinga na wazungu pia.
Malizia Black Americans wenye maradhi mengineyo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom