Wadukuzi wa mtandaoni huwa wanatuma barua pepe milioni 18 kila siku zenye ujumbe wa uongo kuhusu ugonjwa wa Covid-19, kwa mujibu wa Google.
Mataalamu wa teknolojia anasema mlipuko wa ugonjwa huo umesababisha uhalifu wa mtandaoni kukua kwa kasi huku wakijaribu kutumia mbinu mbalimbali ili kuvamia...
Hapo Jana Mh Chalamila aliweka utaratibu wa wanywaji wa Mbeya , kwa kutoa muda wa hadi saa 3 usiku wawe wamepukutika kwenye mabar , kwa hoja kwamba baada ya muda huo wengi wanakuwa wamelewa kiasi cha kukiuka kinachoitwa Social Distancing ili kuzuia maambukizi ya virusi vya Corona .
Lakini...
Serikali ya Rwanda imeogeza kwa karibu wiki mbili amri ya kutotoka nje hadi Aprili 30 kama sehemu ya hatua ya kudhibiti kusambaa kwa maambukizi ya virusi vya corona.
Hii ni hatua ya pili kali kutangazwa na serikali wiki mbili baada ya amri ya kwanza ya kutotoka nje kutangazwa ghafla usiku wa...
Wanabodi,
Mimi mwanahabari wako, Paskali Mayalla, leo asubuhi, kama kawaida ya kila Jumamosi asubuhi, huwa nashiriki kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, kinachorushwa live na Star TV kutokea Mwanza, kikiongozwa na Nguli Dotto Emmanuel Bulendu na huku Dar huwa niko mimi tukikuchambulia...
Nahimiza watanzania tupige gombo la kutosha, tufanye maombi Mungu atajibu. Tukeshe mabarabarani, makanisani, misikitini na kila mahala.
Hakuna haja ya kupoteza hela zinazochangwa kupambana na corona, pesa hizo zikusanywe ziachwe baadae zitumike kujenga mashule na hospitali.
Yalichangwa...
Namba zetu za maambukizi na vifo hadi sasa vinaelekea kuwa tofauti na zile za wenzetu walioko kwenye nchi za baridi.
Ushahidi unaanza kupatikana sasa kueleza tofauti hizi kati ya nchi zetu na za hawa wengine.
Ingawa pamekuwepo na dhana ya kuhusisha joto, unyevunyevu na mwanga katika kupungua...
Hakika Kutoa ni moyo tu na wala si utajiri. Wakati Wabunge wengi wa CHADEMA wakijitokeza wazi wazi kusaidia wananchi, wabunge wa chama kimoja wameanza kulogana na kubambikiana kesi wakigombea majimbo akiwemo mmoja ambaye jimbo la DSM limemshinda na kukimbilia Mkoa wa Mara ambako hata hivyo hana...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema idadi hiyo imefikiwa baada ya Wagonjwa wapya 53 kukutwa na #COVID19
Wagonjwa wote ni Watanzania ambapo 38 wanatoka Dar; 10 wanatoka Zanzibar; Kilimanjaro 1; Mwanza 1; Pwani 1; Lindi 1 na Kagera 1
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametoa idadi hiyo huku akisema...
Afrika huenda ikawa kitovu kipya cha mlipuko wa virusi vya corona, Shirika la Afya duniani WHO limeonya.
Kumekuwa na ongezeko kubwa la visa vya ugonjwa huo wiki iliopita.
Kumekuwa na zaidi ya visa 1000 na zaidi ya maambukizi 18,000 kote barani Afrika kufikia sasa , ijapokuwa viwango hivyo viko...
Habari wakuu,
Nahitaji msaada wa sheria.
Kipindi hiki ambacho tunapambana na corona, kampuni imepunguza mishahara pasipo majadiliano na wafanyakazi.
Je, ni sheria ipi inahusika? Wapi tunaweza kulalamika?
Ndugu hawa wamegeuka popo kudandia kila tawi. Katika mapendekezo yao kuhami uchumi wanapendekeza mambo mengine hata mwanafunzi wa economics au development studies wa mwaka wa kwanza ataona haiwezekani. Nipitie mapendekezo mawili ili kuonyesha walivyopotoka:
1. Wanapendekeza kila kaya isiyo na...
Habari!
Kupitia Ukurasa Huu utaweza Kupata taarifa mbalimbali Kuhusiana na Ugonjwa wa Coronavirus #COVID-19. Lengo ni kuhakikisha hakuna kundi litakaloachwa nyuma katika kupatta taarifa.
Leo ndiyo siku ya kwanza ambayo Rais Magufuli amewaomba viongozi wa dini nchini kote pamoja na waumini wao, wamliiie Mungu wetu ili atuondolee na autokomeze kabisa ugonjwa huu hatari wa Corona unaosumbua duniani kote
Wito huo sisi waumini wa dini mbalimbali tunaupokea kwa moyo mkunjufu na...
Wakati huu ambapo baadhi ya mataifa ya Afrika yameweka marufuku ya kutotoka nje ili kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya virusi vya corano, bila shaka wanyamapori wamegundua kuwa watu wameondoka.
Katika moja ya hifadhi kubwa ya wanyama pori barani Afrika Simba wameamua kuchukua fursa hiyo...
Wanabodi,
Wale wenye access, naombeni muangalie TBC, kuna kipindi live cha majadiliano kikiendeshwa live kutoka Dodoma kikiongozwa Mtangazaji wa TBC Dodoma, Victoria Patrick akizungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Dodoma, Habel Chidawali, ambaye pia ni mwandishi wa...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu
Katika siku za karibuni kumekuwa na habari nyingi kuhusu hatua mbalimbali zinazochukuliwa kupambana na kuenea kwa homa ya kirusi cha corona.
Wiki hii serikali ya Tanzania imetangaza mpango kujenga hospitali ya kupambana na magonjwa ya mlipuko kama homa hii ya...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali,
Kufuatia kuingezeka maradufu wa kasi ya sasa ya maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa Corona, Je, tuendelee kuupongeza msimamo wa rais Magufuli wa ushujaa wa Ka Corona ni Ka Ugonjwa Kadogo, Tusitishane, Watanzania Tuendelee Kuchapa kazi kwa kuzingatia maelekezo...
IMF Executive Board Approves Immediate Debt Relief for 25 Countries
Washington, DC – Ms. Kristalina Georgieva, Managing Director of the International Monetary Fund (IMF) issued the following statement:
“Today, I am pleased to say that our Executive Board approved immediate debt service...
Kila janga huja na Neema zake, poleni wote mnaouguliwa na kuuguza! Kwa sasa uhitaji wa Fumigation hauepukiki!
Maofisi yanatakiwa kuwa fumigated, mabasi, nyumba za Wageni, mahotel na kwingine.
Si kila dawa inafaa kutumika kwa fumigation, tupia uzoefu wako. Kizuri kula na nduguyo! Karibuni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.