Madhara ya Corona na Mapenzi/Mahusiano

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,138
Habari hii inaweza isiwahusu wanandoa.

Wale Kadamnasi hali ni tete wale wa Uganda/Kenya/Ghana kwenye full lockdown wameamua kulia ama kutoa vilio vyao kupitia mitandaoo

Nimeona Ghana Raisi akitoa hotuba mabinti wanaandika tunaomba Mh. President tuko horny sana tukazibuliwe hata nusu saa tu

Wengine wanaomba Serikali walinde mabwana zaoo, masugar mumy wanatesa mabwana zao

Lockdown inahusisha upya bikira za watu soon

Na huku Tanzania bado hamjaathirikaa ee?
 
Trump aliyoyasema kuhusu Africa hakukosea,hivi uko lockdown habari ya kuwaza kuliwa papuchi unawazaje?
 
Back
Top Bottom