MUHTASARI
Mlipuko wa Covid-19 unasambaa ukiambatana na taarifa nyingi zisizo sahihi au za kupotosha. Taarifa hizi zinatengenezwa, ama kwa watu kukosa uelewa sahihi wa jambo wanalolizungumzia au kwa makusudi, kama “Nadharia Njama” (Conspiracy Theory). Mojawapo ni Nadharia Njama inayohusianisha...
Wanabodi,
Leo katika kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, nimezungumza kidogo na Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndugulile kuhusu local transmission ya virusi vya Corona, na umuhimu wa mikusanyiko isiyo ya lazima, kiukweli kabisa kuna vitu serikali inavijua lakini hatuvisemi kwasababu...
Najua ukweli unauma lakini lazima tuseme hata kama inauma mwaka 1978 kulitokea vita ambayo ilileta madhara makubwa kwa taifa kipindi hicho baada ya vita kulitokea hali mbaya sana kiuchumi na njaa kali ila mwalimu hakukimbia, hakukata tamaa alikuwa mtu wa watu hakuona aibu alienda nje na kuomba...
Jamani enyi Viongozi wa Mamlaka ya Maji Mwanza, Ina maana hamlioni hili? Au majumbani mwenu kuna uhakika wa maji muda wote?
Siku ya pili sasa Mitaa ya Nyakato, National Buzuruga kote hakuna maji na haya ni maeneo ya stand kunakohitajika maji ya uhakika kwa watu kunawa mikono angalau kujikinga...
Wanabodi
tuko Live
Karibuni
Paskali
Rejea za Mandiko ya The Same Author Kuhusu Janga la Corona
Mtu kama huyu ni binadamu au shetani? Anaombeaje Corona ifike Tanzania. Kuiombea nchi yako majanga, sio zaidi ya uendawazimu? Huu sio ushetani? - JamiiForums
Corona: Japo ni janga, pia ni fursa...
Baadhi ya Wabunge wameitaka serikali kusitisha utekelezaji wa miradi mikubwa ili fedha hizo kwa sasa zielekezwe katika mapamabano ya ugonjwa wa Corona.
Sambamba na hilo, wameitaka serikali kupunguza mishahara ya viongozi waandamizi serikalini pamoja na wabunge ili fedha hizo zielekezwe katika...
Poleni na majukumu ya hapa na pale sasa na kale yanayowafanya msilale, niende moja kwa moja kwenye mada husika.
Kama kweli maombi yanafanya kazi kwa namna ambayo tunaaminishwa, kwanini viongozi wa dini wameungana kutekeleza agizo la kuvunja mirundikano ikiwemo mijumuiko ya kiibada ili kuikwepa...
Watanzania na dunia tumekuwa tukipewa taarifa mbili tofauti za visa vya Corona kutoka katika taifa la Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) huku wakati mwingine kukiwa na mchanganyo wenye kutupa wasiwasi au marudio ya taarifa zile zile pasipo sababu ya msingi.
Waziri wa Afya wa Tanzania, Ummy...
KATIKA kipindi hiki cha kuelekea Sikukuu ya Pasaka, idadi ya abiria katika Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo jijini Dar es Salaam, imepungua tofauti na miaka mingine inavyokuwa. Kipindi cha Pasaka katika miaka mingine kuanzia Alhamisi Kuu na kuendelea kunakuwepo na abiria wengi wanaokwenda mikoani...
Waziri wa Afya wa Zanzibar, Hamad Rashid atangaza kuongezeka kwa wagonjwa 2 na kufanya idadi ya wagonjwa 9.
Wagonjwa hao 2 ni watanganyika na hawajawahi kusafiri kwenda nje ya nchi.
Taarifa kamili inafuata.
UPDATE.
Wagonjwa Tanzania wafikia 32 na vifo 2 zaidi na kufanya idadi ya waliokufa...
Kwa sasa bunge la JMT linaendelea na vikao vya bajeti jijini Dodoma kwa mujibu wa taratibu na kanuni zake.
Napenda tu kuwapa taarifa kwa nia njema kwamba bunge zima yaani wabunge wote wa Bunge la Botswana wamewekwa katika karantini baada ya mhudumu wa bunge hilo kubainika ameambukizwa ugonjwa...
Wanabodi,
Vita dhidi ya janga la ugonjwa wa Corona, COVID-19, Mapambano yanaendelea, Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas na Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndungulile, kesho asubuhi, watakuwa live ndani ya kipindi cha JLNH (Jicho Letu Ndani ya Habari) kinachorushwa na Star TV, kila...
Naibu katibu mkuu wa Chadema Benson Kigaila amesema chama chake kimepunguza sana vikao na kuagiza watendaji wa HQ pale Ufipa st kufanyia kazi kutokea nyumbani ili kupunguza msongamano.
Wakuu wa idara na viongozi wa juu wa chama ndio wataendelea kufanyia kazi ofisini kwa sasa.
Pia Kigaila...
China yabuni mfumo wa kupata matokea ya haraka ya vipimo vya virusi vya Corona
Wanasayansi wa China wamefanikiwa kubuni mfumo wa kupata majibu ya haraka ya vipimo vya virusi vya Corona. Mfumo huo unaweza kuhifadhiwa na kusafirishwa katika joto la kawaida, na matokeo yanaweza kupatikana dakika...
Tunajua na hakuna Mtanzania hasa mfuatiliaji wa Mambo asiyejua kuwa kiukweli COVID-19 ni hatari na ' inapukutisha ' Watu kweli kweli kuanzia Mataifa ya Kitajiri (Ulaya na Marekani) na hata katika baadhi ya nchi zetu za Afrika na kwa Majirani zetu wakubwa Kijiografia Kenya, Uganda na Rwanda...
The number of coronavirus cases in Kenya has risen to 184 after five more patients tested positive for COVID-19.
Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe on Thursday said the new cases include three Kenyans and two foreigners.
Three of the five patients had traveled from Tanzania while the other...
Waziri wa afya Mh. Ummy muda huu anazungumza na viongozi mbalimbali wa dini juu ya mikakati ya kudhibiti Corona.
--
ALIYOZUNGUMZA WAZIRI UMMY MWALIMU (KWA UFUPI)
Viongozi wa dini mnayo nafasi ya kipekee kutoa taarifa sahihi, kwa weledi na uwazi, hivyo kupunguza uwepo wa taarifa zisizo za kweli...
Kufuatia tishio la kuenea kwa maambukizi ya ugonjwa wa Corona,Mkurugenzi wa jiji la Dodoma Godwin Kunambi amelazimika kubadilisha mfumo wa uuzaji fomu kwa ajili ya maeneo kutoka njia ya kawaida na kuanzisha mfumo wa kidijitali.
Akizungumza na waandishi wa habari April 8,2020jijini Dodoma...
MIEZI miwili tangu Uingereza ilipotangaza rasmi kujitoa katika Umoja wa Ulaya (EU), tayari imeanza kuonja machungu ya kujitoa katika umoja huo, baada ya kukosa fursa ya kupata msaada wa kupambana na majanga katika kipindi hiki ambacho nchi hiyo imekubwa na janga la homa kali ya mapafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.