Wakuu amani ya bwana iwe nanyi!
Toka juzi zimeanza tetesi kwamba bei ya sukari inapanda nasema ni tetesi kwasababu sikuwa na uhakika. Jana nikiwa ofisini nilimsikia bosi wangu akimpigia simu mwanaye akanunue sukari kilo 20, nikamuuliza mbona unanunua kilo nyingi hivyo (maana najua kwake hana...
Naishauri serikali, kuwepo na gates kwa ajili ya kupima wasafiri waingiao na watokao katika mikoa hiyo. Mfano Dar, gate za upimaji abiria wote ziwekwe kwenye njia zote za mabasi yaingiayo na kutoka Dar, hali kadhalika kwa mikoa yote, hii itasaidia kufanya mass testing na kuzuia uenezi kwenye...
The University of Nairobi has proposed that 2.5 per cent of funds mobilised to fight Covid-19 be channelled towards the development of diagnostics, therapeutics and vaccines.
The university, in a memo to the Senate’s ad hoc Committee on the Covid-19 Situation, further called for tax exemptions...
Wamesikika kina Mwigulu bungeni wakiitisha taarifa za wagonjwa wa Corona kufichwa. Hii ni kwa manufaa ya nani?
Ndugu wabunge mnaoendelea na vikao hapo bungeni nyote kabisa bila kujali vyama vyenu hamuoni kuwa mnatusaliti sisi wananchi wenu? Mwalimu (RIP) alisema kwa hivi: "nyote nani ga...
Kuna Tangazo la Redioni nalisikia karibu katika Redio zote Kubwa nchini ambalo linatoka katika Mamlaka husika linasema kuwa Uvaaji wa Barakoa ( Masks ) ni kwale Walioathirika tu na Maambukizi ya COVID-19 na Wanaowahudumia na si kwa Watu wengine na kwamba wakifanya hivyo watakuwa wanajihatarishia...
Ubeti wa kwanza:
Ni corona inapita, hata ukunje zo ndita,
Hakuna alo-iita, labda ni wewe pita,
Na uchumi wazorota, wapi pesa nitapata.
Nilichobakiwa nacho, barakoa mdomoni.
Ubeti wa pili:
Baada ya saa 48,..... nitaendelea
Mkuu wa mkoa wa DSM Mh. Makonda amesema mkoa wake umetenga hospitali 25 jijini zikiwemo zile za Rufaa na baadhi ni binafsi ili kuhudumia watu wote wanaojihisi wana dalili za corona.
Makonda amesema ukifika katika hospitali hizo utapimwa magonjwa mengine yote na ukionekana uko salama ndipo damu...
President Trump kaifutia WHO msaada wa fedha akidai WHO imekuwa upande wa China kwa kuipongeza kwenye kupambana na Coronavirus. Cha ajabu hata yeye aliisifia China January 24.
Nimefanikiwa kusikiliza "audio clip" ya mtu anayedaiwa kuwa ni Gloria Michael ambaye bila shaka ni mtangazaji wa TBC. Katika hiyo sauti iliyorekodiwa inaonekana dada huyu anakiri wazi kuwa amejiridhisha kuwa ana kila dalili inayoonyesha anaugua COVID 19 na kwa sasa yanaendelea vyema.
Dada...
VITA YA KAGERA Vs CORONA
Wakati wa vita ya Kagera, Baba wa Taifa akiwa Rais wa Tanzania, alilazimika kufanya mabadiliko ya uongozi wa Mkoa wa Ziwa Magharibi. Mkoa huu ulikuwa katika eneo la msitari wa mbele vitani. Alimuondoa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa na kumteua mwingine anayendana na mabadiliko...
Katika hili janga la Corona Mh Museven aneonyesha nini maana halisi ya kua kiongozi na kusimamia usalama wa wananchi wake... Na kutoa miongozo ya changamoto mbalimbali yenye tija kwa nchi.
Sina maana hiyo lakini....
Kwa mnaofuatilia siasa za Marekani huwa hayuko tayari. Kukubali kushindwa anapopata aibu hutafuta wa kumsingizia ili yy aendelee kuilinda heshima take kwa propaganda
Mmarekani amesema atafikia kilele cha maambukizi wiki hii huku akijua wazi mdudu huyu haonekani na hatabiriki kwa hiyo mmarekanii...
MISAADA ya kusaidia Serikali kukabiliana na janga la corona imeendelea kumiminika na kufikia zaidi ya Sh. bilioni 6.726, ikiwa ni fedha taslimu na vifaa. Jana Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, alipokea hundi ya mfano ya Sh. milioni 500 kutoka kampuni ya Export Trading Group (ETG) kwa ajili ya...
Ugonjwa wa Corona Virus (COVID-19) huathiri zaidi wale ambao kinga yao ya mwili iko chini kama wazee, wajawazito na wale wenye hali nyingine za kiafya kama magonjwa ya pumu na mengine ya mfumo wa upumuaji.
Tumekuwa tukipeana mbinu za kujikinga na ugonjwa kama kunawa, kutoshika uso, kukaa ndani...
Rais wa Marekani Donald Trump amesitisha mchango wa kifedha ambao Marekani imekuwa ikiutoa kwa Shirika la Afya Duniani WHO kufuatia namna walivyolichukulia suala la COVID-19.
Pia WHO wanalaumiwa kwa kuchelewa kutoa taarifa za mlipuko wa ugonjwa huo kwa mataifa mengine kwa wakati. Amewaambia...
Nauza moderm zifuatazo bei poa.
MODERM ya Airtel no mpya nauza 30,000/+ moderm ya Vodacom yenye namba juu ni 20,000/- na nyenzake pia ya Vodacom ni 15,000/-
Karibuni Sana nipo DSM 0625610791 & 0713373875
Mchungaji Bishop Gerald Glenn wa kanisa la New Deliverance Evangelistic Church huko Virginia Marekani ambae alidai corona ni kagonjwa kadogo mbele ya Mungu amefariki sababu ya corona.
Mchungaji huyo alikua akisisitiza watu kuomba na wasiogope ugonjwa wa corona kwa sababu si chochote wala lolote...
Habari hii inaweza isiwahusu wanandoa.
Wale Kadamnasi hali ni tete wale wa Uganda/Kenya/Ghana kwenye full lockdown wameamua kulia ama kutoa vilio vyao kupitia mitandaoo
Nimeona Ghana Raisi akitoa hotuba mabinti wanaandika tunaomba Mh. President tuko horny sana tukazibuliwe hata nusu saa tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.