#COVID19 Museven katika hii Corona anacheza kama Pele

Cvez

JF-Expert Member
May 19, 2018
4,341
13,051
Katika hili janga la Corona Mh Museven aneonyesha nini maana halisi ya kua kiongozi na kusimamia usalama wa wananchi wake... Na kutoa miongozo ya changamoto mbalimbali yenye tija kwa nchi.

Sina maana hiyo lakini....
IMG_20200415_105116.jpg

IMG_20200415_105032.jpg
 
Huyu mzee pamoja na mapungufu yake lakini unaona kabisa ana huruma kwa wananchi wake,na hii sio Uganda tu..hata Rwanda pia Kagame kafanya hivyo.. kwa hali ilivyo iko haja ya kufanya hivyo..uchumi umesimama.
 
Uchumi huwa Ni fumbo kubwa sana, alivyoamru mabenki yasidai madeni hamjui mabenki Ni biashara za watu wamewekeza mitaji?

Ameandaa relief yoyote kuzilipa benki ambazo hazitakusanya marejesho ya mikopo?

Acheni kushangilia jamani the impact will result in collapse of commerce within the territory.

Tayari ukianza kugusa benki umeaingia kwenye economic tile chasing game. The effects will hit on the local dwellers.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Either way akiruhusu mabenki yadai pesa sake waliokopa watakua wanafilisika at the end of the day kama ni kiwanda itakua shutdown na wafanyakazi watakosa kazi...so local dwellers pia watakua affected plus hakusema anawalipia au wasilipe but wapewe grace period.
 
In the times of disaster, the person with military background is better equipped to manage..., You can be a better commander in times of war and worse in times of peace....
 
M7 alisaidia vita toka tz mkuu au nikumbushe maana dada alimtoa obote.ivi baada ya dada si ndo m7 au aliendelea tena milton.
Wakati Dada anatawala M7 alikuwa kwenye vikundi vidogo vya waasi akiendeleza harakati chini kwa chini. Mara baada ya Nduli kutolewa na majeshi ya Nyerere, akaingia Yusuf Lule, ambaye hakukaa sana Obote akarudi madarakani. Obote alikuja kupinduliwa kwa mara ya pili, safari hii akipinduliwa na Titto Okelo. M7 alikuja kuingia madarakani 1986 kwa kumpindua Titto Okelo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchumi huwa Ni fumbo kubwa sana, alivyoamru mabenki yasidai madeni hamjui mabenki Ni biashara za watu wamewekeza mitaji?

Ameandaa relief yoyote kuzilipa benki ambazo hazitakusanya marejesho ya mikopo?

Acheni kushangilia jamani the impact will result in collapse of commerce within the territory.

Tayari ukianza kugusa benki umeaingia kwenye economic tile chasing game. The effects will hit on the local dwellers.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ww hapo ulikua unashauri afanyaje sasa mkuu....?

Yess bishoo hasWaaaa
 
So far njia ya kupunguza kasi ya Ugonjwa huu ni kukaa ndani. Na katika hili Uganda wameweza hawa jamaa hata ya kua na kisa kimoja walifunga mipaka, na implementation ya lockdown haikuchelewa leo hii kwa kiasi kikubwa wamefanikiwa kuipunguza kasi.... Wakina sisi sasa!

Screenshot_2020-04-19-14-43-54.jpeg
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom