corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    Uingereza: Waliopona corona waombwa kuchangia damu ili kusaidia kutengeneza tiba ya virusi hivyo

    Uingereza inaanza majaribio ya kutumia damu ya waliopona virusi vya corona kuwatibu wagonjwa walio na maambukizi hayo ambao wapo hospitali. Taasisi ya damu na upandikizaji ya Uingereza inawataka watu waliopona homa ya mapafu, covid-19 kuchangia damu ili waweze kutathimini tiba hii iliyo kwenye...
  2. Corticopontine

    Cyril Ramaphosa: Lockdown in response to Corona Virus outbreak has gravely exarbeted long standing to the people

    Dear Fellow South African, Many countries around the world have imposed coronavirus lockdowns with a view to saving the lives of their citizens. We have done the same in our country, but our lockdown has revealed a very sad fault line in our society that reveals how grinding poverty, inequality...
  3. Mystery

    Kama mwandishi wa habari Talib Ussi amesimamishwa kazi kwa kutoa ripoti ya corona, ni kwanini Makonda anaendelea na kazi kwa kufanya kosa hilo hilo?

    Tulielezwa kuwa wenye mamlaka ya kutangaza wagonjwa wa corona nchini ni watu watatu, ambao ni waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, waziri mkuu Kassim Majaliwa na Rais mwenyewe, John Magufuli Upande wa Zanzibar, anayeruhusiwa kutoa ripoti yoyote ya wagonjwa wa corona, ni waziri wa afya wa huko, Hamad...
  4. Corticopontine

    Museveni Yoweri Kaguta: Wanasayansi wa Uganda wako Maabara kufanya utafiti wa kutengeneza chanjo ya CORONA

    Wanasayansi wa Uganda wafanya utafiti wa kutengeneza chanjo dhidi ya virusi vya Corona Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema wanasayansi nchini humo wanajitahidi kufanya utafiti utakaosaidia kutengeneza chanjo dhidi ya virusi vya Corona. Rais Museveni amesema, wanasayansi kutoka Taasisi ya...
  5. The Assassin

    Tanzania: Waathirika wa COVID-19 wafikia 254 baada ya Wagonjwa wapya 84 kuongezeka. Vifo 3. (Tarehe 20 Aprili 2020)

    Kwa mujibu wa taarifa rasmi toka Wizara ya Afya, kuna wagonjwa wapya 84 na vifo 3 vya Corona.
  6. Influenza

    RC Makonda: Yeyote anayeenda katika eneo la manunuzi lazima avae barakoa. Kwenye misongamano watu wakae umbali wa mita 2

    Mkuu wa mkoa wa Dar, Paul Makonda ameagiza kuwa mtu yeyote anayeenda katika eneo lolote la manunuzi lazima awe amevaa barakoa (mask). Amesema haijalishi ila lazima watu wavae barakoa “Ununue, ukate kanga, ukate leso na utafute rubber bands. Lazima uwe umevaa barakoa” Aidha, ameagiza kuwa...
  7. Analogia Malenga

    Gazeti la Mwananchi online lafungiwa miezi sita na kulipishwa faini milioni 5 kwa kupotosha

    Mamlaka ya mawasiliano Tanzania kuiptia Kamati ya Maudhui imesitisha leseni ya utoaji wa huduma za maudhui mtandaoni ya Mwananchi Newspaper kwa kipindi cha miezi sita, na kuwapiga faini ya Tshs milioni 5. Adhabu hiyo imetolewa baada ya kubainika kuwa Aprili 13 kupitia mitandao ya kijamii...
  8. beth

    UNHCR: Wanawake wakimbizi wapo katika hatari ya kunyanyaswa kijinsia wakati huu wa mlipuko wa Corona

    Shirika la UNHCR ambalo linashughulika na wakimbizi limesema kutokana na janga la COVID19, Wanawake na Wasichana wapo katika hatari kubwa ya kunyanyaswa kijinsia UNHCR imesema kufuatia nchi nyingi kufunga mipaka ili kujikinga na maambukizi ya Virusi vya Corona, misaada iliyokuwa ikitolewa kwa...
  9. Miss Zomboko

    Shirika la Afya Duniani lawaasa Wananchi kuzingatia mlo kamili na mazoezi kwa watu wazima kipindi hiki cha Corona

    Mkurugenzi wa Shirika la Afya Dunia (WHO) Tedros Ghebreyesus ametaja vitu vitano ili kukabiliana na janga hatari la ugonjwa wa Covid-19. Tedros alisema janga hili la Corona limeichanganya dunia na kufanya maisha ya kila mtu kubadilika na kwamba ili kukabiliana na tatizo hilo ni lazima kuwa...
  10. Pascal Mayalla

    Corona: Tusinyoosheane vidole. Kama unaweza kusaidia, please do. Usisubiri uombwe - jitokeze saidia, vinginevyo nyamaza!

    Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huwaletea mfululizo wa makala zangu elimishi za kuhamasisha uzalendo zinazoitwa "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo huwa ziko kwa mtindo wa maswali. Makala ya leo sio ya swali bali ni wito. Tanzania ni nchi yetu sote, na imetokea sisi Watanzania tuko wengi na...
  11. goldcall

    Kutokomezwa kwa corona virus itategemeana sana na ukomavu wa viongozi wetu

    unajua kama viongozi wetu walizalau covid-19 ilipo kuwa inaingia nchini,mipaka na airport ziliendelea kufanya kazi, viongozi wachache wakatumia covid kama siasa na kushindana na kukashifiana, na hawa ndio viongozi wetu, wenye uelewa na ufahamu wa aina hiyo! ninapata ukakasi kuamini suruhisho la...
  12. J

    Mpya: Askari polisi wa kituo cha Mbalizi Mbeya wafanya Ibada kituoni kuomba Mungu atuepushie janga la Corona

    Askari polisi wa kituo cha Mbalizi mkoani Mbeya leo wamefanya Ibada kituoni hapo kutimiza maelekezo ya Rais Magufuli ya kufanya maombi dhidi ya ugonjwa wa Covid 19. Ibada hiyo iliongozwa na mkuu wa kituo afande Lusekelo na kuhudhuriwa na mkuu wa wilaya. Source ITV habari. My take; Tukio hili...
  13. Analogia Malenga

    Muhimbili yakanusha taarifa za uzushi kuwa muuguzi wake amefariki kwa Corona

    UFAFANUZI KUHUSU KIFO CHA MAREHEMU EVODIA KAPINGA ALIYEKUA MUUGUZI WA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI* Dar es Salaam, Jumapili Aprili 19,2020 Kuna taarifa inasambaa katika mitandao ya kijamii kuwa Marehemu Evodia Kapinga amefariki dunia kutokana na ugonjwa wa Corona na kwamba alikua akihudumia...
  14. S

    Maombi juu ya Corona: Kanuni za maombi ziko wazi - waombe msamaha uliowakosea ili maombi yako yasikilizwe, la sivyo unajisumbua bure!

    Nadhani wengi tunapenda kurahisisha sana suala la dini. Suala la kutaka taifa litoe maombi ili tuepuke ugonjwa wa Coronavirus ni nzuri - lakini je, mbona tunakuwa wepesi kusahau kanuni juu ya maombi? Kanuni ziko wazi, ikiwa kama taifa tunataka mombi yetu yasikilizwe, basi kama taifa kwanza...
  15. B

    Kwako Rais Magufuli sasa pasipo na kupepesa maneno: Kwa unavyoshughulika na Corona sasa - NO!

    Ni wazi kuwa wenye ujasiri wa kuandika nyuzi kama hizi kwa maslahi ya taifa ndani ya vitisho vilivyopo si wengi, hivyo tafadhalini msiwe sehemu ya kuwanyamazisha. Wanasema nani mwenye kumfunga paka kengele? Ni muhimu sasa bila ya kupoteza muda zaidi wala kumung'unya maneno, tumfunge paka huyu...
  16. The Assassin

    Zanzibar yatangaza wagonjwa wapya 23 wa COVID-19. Idadi ya maambukizi yafikia 58 na 170 kwa Tanzania ( 19.04.2020 )

    WAGONJWA WA COVID-19 WAFIKIA 58 Z’BAR, VIFO VITATU Idadi ya wagonjwa wa Covid-19 visiwani Zanzibar imeongezeka na kufikia 58 na idadi ya waliofariki kwa ugonjwa huo sasa ni watu watatu. Wizara ya Afya Visiwani humo imetangaza leo kuwa kati ya wagonjwa wapya 23, wagonjwa 21 ni Watanzania na...
  17. No Escape

    Hasara na Faida za Corona

    Kila kitu hapa duniani kina faida na hasara yake hapa Duniani. Pamoja na madhara makubwa ya hili janga lakini pia kuna faida pia kuanzia ngazi ya Dunia nzima mpaka familia; 1. Binadamu sasa Tunamjua Mungu 2. At least Nidhamu inarudi na usawa,wote tunaongea lugha moja kwa sasa anaejaribu kujiona...
  18. Rebeca 83

    Kukabiliana na Corona Tanzania

    Hello JF, Baada ya hili balaa…. kuna umuhimu wa serikali kuwa na record za watu wake.. ni procedure itakayo kuwa kubwa and costly lakini worth it. Cha kumshauri Ummy Mwalimu, ni kutopanic hili ni jambo la dunia.... Second kupitia records walizo nazo, wa identify sehemu zenye maambukizi zaidi...
  19. J

    Vodacom yachangia Tsh. 2 bilioni mapambano dhidi ya Corona

    Kampuni ya simu ya Vodacom imetoa mchango wa shilingi bilioni 2 kusaidia mapambano dhidi ya ugonjwa wa Covid 19. Mchango huo amekabidhiwa waziri wa afya, Ummy Mwalimu My take; mbona hatuioni michango ya vyama vya siasa kwa mfano Chadema?
  20. Analogia Malenga

    Maelfu wapona corona kwa siku moja Italia

    Habari njema kutoka Italia zinaarifu kuwa nchi hiyo kwa mara ya kwanza imerekodi idadi kubwa ya watu waliopona virusi vya corona katika kipindi cha masaa ishirini na nne. Kulingana na mkuu wa idara ya kukabiliana na majanga Angelo Borelli, watu 2,563 wamethibitishwa kupona virusi vya corona...
Back
Top Bottom