corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Kila mtu kwa nafasi yake tutendeane haki kuhusiana na janga hili la COVID-19

    Haieleweki hawa watu ambao wamependa kusema serikali iko makini au wapo makini kuudhibiti ugonjwa huu wana maana au nia gani na taifa hili. Watu hawa, hawakuweza kuuzuia ugonjwa kuingia nchini wala hawana mpango wowote thabiti uliowazi wa kuudhibiti ugonjwa huu usisambae. Matokeo yake ugonjwa...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania What Gado says about corona and remedy inhalation

  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Na corona hii michango ya harusi ni ya nini sasa?

    Hebu acheni ujinga wa kutuchangisha michango ya harusi wakati hakutakuwa na sherehe yeyote kwa mwaka mzima huu. Kama kuna ulazima wa sherehe basi hamtazidi watu kumi Sasa MC, buffet, DJ, Ukumbi, Mapambo, magari ya kukodi, etc kwa ajili ya nini? Naomba mnipotezee na vikao vyenu vya Whatsapp!
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Taasisi inayotengeneza chanjo ya Corona adai kushushwa cheo baada ya kupinga matumizi ya Chloroquine ambayo Rais Trump amekuwa akihimiza

    Mkuu wa Taasisi inayotengeneza chanjo ya #COVID19 Dkt. Rick Bright amesema ametolewa katika nafasi hiyo baada ya kupinga tiba ya Chloroquine ambayo imepewa kipaumbele na Trump Dkt. Bright amesema amepewa cheo cha chini kwenye Taasisi ya Kitaifa ya Afya na anaamini uhamisho huo umetokana na yeye...
  5. V

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Watanzania wengine 2 tena wamekutwa na ugonjwa wa COVID-19 Uganda

    Madreva 2 zaidi wa magari ya mizigo kutoka Tanzania kuelekea Kampala nchini Uganda wamekutwa na virusi vya corona baada ya vipimo mpakani imese taarifa ya wizara ya afya ya Uganda. ===== Uganda has confirmed two new Covid-19 cases, bringing the country's total to 63. The new cases were...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Mungu amejibu maombi ya Watanzania, Kujifukiza katika mvuke kutawaponya wagonjwa wa corona

    April 16/4/2020 Rais John Magufuli aliandika ujumble katika ukurasa wake wa Twitter akiwaomba Watanzania kufunga na kuomba kwa kipindi cha Siku tatu aliandika, Ndugu zangu Watanzania, kutokana na ugonjwa wa Corona, nawaomba tutumie siku 3 za kuanzia tarehe 17- 19 Aprili, 2020 {Ijumaa, Jumamosi...
  7. mike2k

    JamiiForums Tanzania Muda sahihi wa kuiweka Dar es Salaam kwenye “lockdown” ni sasa

    Tunaelewa umuhimu wa jiji la Dar es Salaam katika maisha ya Watanzania na nchi jirani. lakini kwenye hili suala la corona hakuna kuzubaa tena. Mamlaka husika iweke utaratibu mzuri wa kulibana hili jiji ili kuzuia na kupunguza kabisa kasi ya usambaaji wa covid19. KWANINI NIMEWAZA HIVYO...
  8. LIKUD

    JamiiForums Tanzania This song has power over all demons

    If you play this song to a person who is possessed by evil spirits, the evil spirits will leave him immediately. If your house or premise is harrassed by evil spirits then pray this song and the evil spirits will delay not to promptly leave Ur house. Another virtue of this song is that if u...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Corona Tanzania: Badala ya Madaktari Bingwa wa tiba kuliokoa Taifa, ni Bingwa wa Kemia ndiye analiokoa Taifa kwa ushauri wa kikemia

    Wanabodi, Hii vita ya Corona Tanzania inakumbana na twists and turns za ajabu ajabu!, kwa vile huu ni mlipuko wa ugonjwa, ilitegemewa madaktari Bingwa ndio wangekuwa wakombozi wa taifa letu kwenye janga hili, lakini kwa Tanzania ni maajabu matupu, badala ya Madaktari Bingwa wa Tiba! kuwa...
  10. technically

    JamiiForums Tanzania Babu wa Loliondo: Nileteeni wachache wenye Corona waone!

    Asema watu waende wapate kikombe amesema hakuna ugonjwa unaoshindikana kutibika kwa dawa zake alizooteshwa na Mungu. --- WAKATI Dunia ikiwa kwenye taharuki kubwa ya kupambana na maradhi ya ugonjwa wa Covid 19 unaosababishwa na virusi vya corona baada ya kuendelea kuua maelfu ya watu duniani...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Wanandoa waliokamatwa kwa kuongea uongo kuhusu Corona wafikishwa mahakamani, waachiwa kwa dhamana

    Wanandoa wakazi wa Tabata Kimanga, jijini Dar es Salaam wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kutoa lugha hatarishi kwa lengo kupotosha jamii kuhusu ugonjwa wa Corona. Akisoma hati ya mashtaka Wakili wa Serikali Mwandamizi, Mkunde Mshanga akisaidiana na...
  12. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Polisi Dodoma wawakamata na kuzuia mkutano wa Waandishi wa Habari na Mwenyekiti wa CHADEMA - Mbowe

    Muda huu hapa ofisi ya Chadema kamda ya kati Dodoma... polisi wamezuia viongozi wote wa Chadema na kufunga ofisi yetu... Hii yote ni kuhofia press conference ya Mwenyekiti tu. Jana nilikua naangalia documentary ya Mobutu Seseseko. Tuko kwenye kipindi kibaya sana. John Heche on Twitter
  13. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Karimjee: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Aprili 22, 2020 atakuwa mgeni rasmi katika maombi ya kitaifa ya kuombea nchi dhidi ya janga la #COVIDー19

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Aprili 22, 2020 atakuwa mgeni rasmi katika maombi ya kitaifa ya kuombea nchi dhidi ya janga la #COVIDー19 yatakayofanyika katika viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam kuanzia saa 3:00 asubuhi. Maombi yataongozwa na viongozi wakuu wa madhehebu ya dini. Updates: "Jumla...
  14. K

    JamiiForums Tanzania NEC, Wakati huu wa Corona uandikishaji wa wapiga kura uangaliwe vizuri

    Wakuu habari za asubuhi! Napenda kuwaomba Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuangalia namna bora zaidi ya kuboresha daftari la wapiga kura wakati huu wa corona bila kuleta athari kwa jamii. Kama ugonjwa huu utaingia vijijini hali yetu itakuwa mbaya sana kama taifa hivyo napendekeza yafuatayo kwa Tume...
  15. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Bunge la bajeti litahudhuriwa na wabunge wasiozidi 150, sijajua sheria inaruhusu au huu uamuzi ni sahihi? Na bunge kuanza saa nane mchana

    Mabadiliko katika bunge la bajeti linaloanza Machi 31, Dodoma: Hakuna maswali kwa waziri mkuu Bunge litaanza saa 8 mchana hadi saa 12 jioni Maswali na majibu yatatumwa kwenye 'tablets' za wabunge Kura za kupitisha bajeti zitapigwa kwa mafungu Waandishi wachache wataruhusiwa
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kuunguruma Dodoma. Mazito kuibuliwa, msihofu kuhusu corona Tahadhari zote zimechukuliwa

    Kila mmoja atege sikio lake , hamtajuta .
  17. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Mbunge yoyote anayejihisi ana dalili za Corona ajifanyie Self Isolation na kuripoti hospitali haraka sana!

    Spika wa bunge mh Ndugai amesema endapo mbunge yoyote anajihisi au atajihisi ana dalili za maambukizi ya Covid 19 kama zilivyoainishwa na wataalamu wa afya basi ajifanyie self isolation na kuripoti hospitali haraka sana. Spika Ndugai ametoa mwongozo na tahadhari hiyo Bungeni leo hii na...
  18. beth

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wengine 15 wathibitika kuwa na Corona, idadi ya maambukizi yafikia 296

    Kenya has reported 15 new coronavirus cases bringing the country's total number to 296, Health CAS Mercy Mwangangi has said. Out of these, 11 are Kenyans, while four are foreigners. None have a history of travel. The CAS said seven of the new cases are from Mombasa, which has become a hot...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mvua ya kutengeneza,hakuwezi kuwa na gesi yenye dawa ya kupambana na Corona ya mithili ya fog(ukungu) kutoka angani?

    Kama kitaalamu watu wanaweza kutengeneza artificilal cloud na mvua ikapatikana,je hakuna uwezekano wa kutengeneza gesi itakayokuwa kama fog (ukungu) kutoka angali? Kwa wasiolewa,ukungu yaani fog,kitaalamu ni mawingu(low flying cloud) yanayotokea karibu kabisa na uso wa dunia na kuna factor...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz amkabidhi Spika Ndugai mashine ya kuwapulizia wabunge dawa ya kuua virus ili kudhibiti Corona

    Mfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz amemkabidhi Spika wa bunge Mh. Ndugai mashine ya kuwapulizia dawa wabunge ili kudhibiti maambukizi ya Covid 19. Sasa wabunge kabla ya kuingia Bungeni watapita kwenye mashine hiyo na kupuliziwa dawa mwili mzima kisha wataingia ukumbini. Maendeleo...
Back
Top Bottom