Kama kuna mvua ya kutengeneza,hakuwezi kuwa na gesi yenye dawa ya kupambana na Corona ya mithili ya fog(ukungu) kutoka angani?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,994
144,329
Kama kitaalamu watu wanaweza kutengeneza artificilal cloud na mvua ikapatikana,je hakuna uwezekano wa kutengeneza gesi itakayokuwa kama fog (ukungu) kutoka angali?

Kwa wasiolewa,ukungu yaani fog,kitaalamu ni mawingu(low flying cloud) yanayotokea karibu kabisa na uso wa dunia na kuna factor zinazosababisha fog kutokea(hili ni darasa lingine).

Sasa najiuliza,badala ya kufungia ndani kama njia ya kudhibiti corona na kwakua mpaka sasa hakuna kinga wala dawa ya kutibu ugonjwa huu,wansanyansi wa maswala ya tiba,wataalamu wa mambo hali ya hewa(Meteorology) na wataalamu wengine,wakikaa chini kwa pamoja hawawezi kuja na dawa ya gesi itayotoka angani kama ukungu kutusadia kuangamiza vijidudu vya corona?

Najua vitiu kama upepo(wind) and other meteorological phenomeno vinawza ku-pose challenges katika kutumia ukungu huu wa dawa ila naamini suluhishio litapatikana tu.

Kama kuna mnvua za kutengreneza kukabiliana na ukame,haiwezekani kuwa na artificial fog ya kupambana na corona?

Hii inawzeza kuwa ni kama large scale fumigation but directly from the air.

Barakoa hatutaziweza jamani.

Wataalamu kaeni chini na mkifankiwa, mtapiga sana hela kwani kila nchi itanunua hiyo dawa kama sio hio teknolojia.

NB:Njia hii inaweza kuwa ni suluhisho la muda tu wakati dawa na kinga vikiendelea kutafutwa.
 
Back
Top Bottom