Devota Minja amwaga maelfu ya barakoa Morogoro ili kuwakinga Wananchi na Corona

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
76,139
2,000
Subpost 5 - MH Devota Minja mbunge viti Maalum mkoa wa Morogoro Leo ametoa msaad ( 426 X 640 ).jpg

Subpost 1 - MH Devota Minja mbunge viti Maalum mkoa wa Morogoro Leo ametoa msaad ( 426 X 640 ).jpg
Subpost 4 - MH Devota Minja mbunge viti Maalum mkoa wa Morogoro Leo ametoa msaad ( 426 X 640 ).jpg
Subpost 8 - MH Devota Minja mbunge viti Maalum mkoa wa Morogoro Leo ametoa msaad ( 479 X 640 ).jpg
Subpost 3 - Mh.Devota Minja Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Leo ametoa Msaad ( 640 X 640 ).jpg
Subpost 1 - Mh.Devota Minja Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Leo ametoa Msaad ( 640 X 640 ).jpg


Wahenga walishasema tangu zamani kwamba kutoa ni moyo , na wala si utajiri , huyu Devota Minja yeye ameamua kutoa barakoa ili kuwaokoa wananchi dhidi ya vifo vya corona.

Lakini inafahamika kwamba Tajiri Mohamed Abood yeye miaka yote anatoa Magari ya kubebea maiti kupeleka makaburini kuzika , watu wa Morogoro Mjini hili wanalifahamu sana.

KUPANGA NI KUCHAGUA
 

Mr worldwide

JF-Expert Member
Dec 30, 2017
348
1,000
Amefanya jambo la busars
Enyi wanamrogoro msirudie kosa 2020, mchagueni huyu anayewakinga na kifo si huyo anayetaka mkufe ndio akupelekeni kuzika hapo ndio ionekane kakupeni msaada

Awamu hii muulizeni kwanini asitoe msaada kuokoa maisha ya wanamrogoro?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom