Je, ni kweli Makonda alitoa agizo la jiji la Dar es Salaam kupuliziwa dawa ya kuzuia corona kwa niaba ya Rais John Pombe Magufuli?

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
13,064
22,757
Ili kuwalinda wakazi wa Mkoa wake wa Dar es Salaam, Mh. Paul Makonda amedai alilazimika kuchukua hatua hiyo kwa niaba ya Rais Magufuli.

Kama dai lake hili ni la kweli, nadhani uchunguzi kama unahitajika kufanyika, video hizi hapa chini ni ushahidi wa kutosha.





 
Tuendelee kujifukiza mkuu hayo mengine nadhani maabra y kemia imeleta majibu tofauti na kilichotegemewa
 
Ili kuwalinda wakazi wa Mkoa wake wa Dar es Salaam, Mh. Paul Makonda amedai alilazimika kuchukua hatua hiyo kwa niaba ya Rais Magufuli. Kama dai lake hili ni la kweli, nadhani uchunguzi kama unahitajika kufanyika, video hizi hapa chini ni ushahidi wa kutosha.





Mmmmh nchi hii watu wako vizuri kwa kutunza kumbukumbu!, nafikili Mh Magufuli umemsaidia kujua nani alie agiza madawa kupulizwa mtaani!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
si mlimtaka aongee,kaongea hivoo
Nakumbuka nikiwa mwanafunzi, Sikh moja Niko kwenye bus. Abiria mmoja akawa analalamika tumbo na kuomba bus lisimame ajisaidie.

Kelele zikawa nyingi za anatuchelewesha twendeni tuu acha ajinyee tuu.

Mwisho akaamua kushusha humohumo kwenye nguo. Hali ya hewa iliharibika sijapata kuona! Ilibidi bus lisimame akaoge na tulitumia zaidi ya 45m ili harufu iishe maana hata ajali ingeweza kutokea.
Sijui kwa nini nimekumbuka hilo!
 
Environmental Impact Assessment ilifanyika?....ila kama alikuwa anafanya kwa niaba....basi sawa
 
Watanzania watu wa ajabu sana mtu ambae anaogopa kwenda kinyume na mabosi zake na ajavuka mipaka ya misimamo yao hila anajaribu kwa nafasi yake kufanya analoweza kuokoa maisha ya wengine ndio mnamuanzisha vita ya nia zake njema

Alieturoga kafa
 
Watanzania watu wa ajabu sana mtu ambae anaogopa kwenda kinyume na mabosi zake na ajavuka mipaka ya misimamo yao hila anajaribu kwa nafasi yake kufanya analoweza kuokoa maisha ya wengine ndio mnamuanzisha vita ya nia zake njema

Alieturoga kafa
Hujamsikia jemadari mkemia mkuu mwenyewe huko mafichoni akifoka kwamba ni nani huyo aliruhusu upuuzi huu na kutaka uchunguzi ufanyike! Anadai hakuna lolote hapo zaidi ya upigaji hela.
 
Back
Top Bottom