FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,052
- 40,715
Hapo chini ni video yenye title “....Corona virus FINALLY HITS Africa” , kwa wanaoelewa hasa maudhui ya lugha ya kiingereza, ni kwamba neno FINALLY hutumika pale ambapo unakua unasubiria jambo flani kwa hamu na shauku kubwa lakini linakuwa linachelewa kutokea, na pale linapotokea ndio sasa unashangilia na kusema “....FINALLY....” , shuhudia mwenyewe.