Dkt. Kigwangalla aende Wizara ya Afya na Ummy Mwalimu apelekwe Utalii na Maliasili ili tuimalize Corona kwanza

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,849
141,769
Napendekeza pafanyike mabadiliko madogo kwenye Baraza la Mawaziri ambapo Dkt Kigwangalla ahamishiwe Wizara ya Afya akaungane na Dkt. Faustine Ndugulile ili kwa pamoja wakaongoze mapambano ya kuitokomeza Corona.

Mhe Ummy Mwalimu apelekwe Utalii na mali asili kuziba pengo la Dkt. Kigwangalla.

Ramadan Kareem!

Maendeleo hayana vyama.
 
Kamshindwa Kigogo ndo awezane na corona?....try to be serious brother
 
Back
Top Bottom