Kenya wamefanya lock down na hasa katika miji mikubwa kama Nairobi na Mombasa ambayo ndio malango makuu ya Kenya.
Sasa wana visa 490 wakati Tanzania ina visa 480.
Kenya wanaripoti visa vipya (updates) kila siku, sisi mara moja kwa wiki 2.
Kenya wamepima watu 24,784, Tanzania imepima watu 652...
Wakati tukiagiza dawa inayosemekana kutibu corona, habari ni kwamba rais wa nchi hiyo ndio kwanza ameagiza watafiti waifanyie uchunguzi (clinical trial) mtishamba huu. Nilisikia rais akisema anatuma ndege kwenda kuchukua mtishambahuu kumbe haujathibitishwa kitaalamu? Tuwe makini na afya za watu...
Walipokuwa na kesi moja tu walifunga viwanja vyote vya ndege za kimataifa ikiwa ni pamoja na meli za abiria. Walifunga miji miwili mikuu kwa mwezi mmoja, hakuna kutoka hakuna kuingia ispokuwa kwa ruhusa maalum.
Baada ya mwezi walikuwa na kesi 16 tu lakini waliongeza kufunga (lockdown) kwa mwezi...
Rais wa chama cha wauguzi Tanzania Mr. Alexander Baluhya amesema kuna wauguzi kadhaa wameambukizwa Corona lakini hawezi kutaja idadi kwa sababu yeye siyo msemaji wa serikali.
Akijibu swali la mtangazaji Hassan Ngoma aliyetaka kujua hadi sasa ni wauguzi wangapi wameambukizwa na kufa kwa Corona...
Maswali na hoja muhimu katika hotuba ya Rais.
Rais amesema kwamba mara zote amekuwa na wasiwasi kwamba kila wakipima majibu ni postive, postive, postive, postive...
Si jambo baya lakini wakati mwingine mtu hupata majibu kutokana na precedence aliyotengeneza mwenyewe kwa kuwa hicho ndicho...
WHO imeendelea kuikandia dawa ya ‘Covid organica ambayo rais Magufuli ameahidi kuiagiza ili kunufaisha waTanzania, kwa kuwa dawa ya Corona ni fursa kubwa sana ya kiuchumi, mabeberu wameendelea kuiponda dawa hiyo wakati wakijiandaa kuiachia dawa yao ambayo itakuwa approved na WHO ili matrillioni...
Joseph Selasini ni mbunge wa Jimbo la Rombo Mkoani Kilimanjaro kwa tiketi ya chama Cha Demokrasia na Maendeleo
Hivi karibuni wakati akitoa mchango wake bungeni,Mhe.Selasini aliwakumbusha wapinzani na watanzania kuwa Shabaha ya kuwepo kwa mageuzi siyo kupinga Kila kitu au kubeza kila...
Binafsi nakubaliana kabisa na wabunge wa CHADEMA kujiweka katika karantini kwa sababu hiyo ni haki yao ya kikatiba ya kulinda uhai.
Kilichonishangaza kidogo ni namna Chadema inavyofanya maamuzi bila vikao rasmi vya kikatiba kuketi.
Kwa mfano wabunge wa chama kutoingia bungeni ni muhimu wakapata...
Staa wa hit song ya "Dodo," Ali Kiba, amesema atatoa msaada wa mavazi ya wahudumu wa afya kujikinga PPE 200 ili yakawasaidie kwenye vita hii dhidi ya Virusi cha Corona
Alikiba ameyasema hayo wakati akihojiwa na kipindi cha LEO TENA cloudsFM,
Habari za uzima ndugu zangu, poleni sana na miangaiko ya hapa na pale, Mimi ni kijana mwenye miaka 37 kwa sasa elimu yangu ni degree, kama mnakumbuka nilishawai kuja na uzi wa baba yangu mzazi wa kunizaa kunitimua nyumbani kisa eti mimi ni mwanachama wa chama cha mapinduzi kisa cha kunifukuza ni...
1. Serikali imezifunga skuli zote za maandalizi, msingi, sekondari, vyuo Vikuu pamoja na madrasa
2. Ndege za kutoka Italia na sehemu nyengine zenye maambukizi ya Corona zimezuiwa
3. Serikali imezuia mikusanyiko inayokutanisha watu wengi kwa wakati mmoja ikiwemo mikutano, makongamano...
Wote mnaoshabikia ujinga wa Madagaska, mnajidanganya na kupoteza muda, hamna tofauti na Kinjekitile na Vita ya maji maji tulishatoka huko, isitoshe kama haumini Sayansi iliyopo basi fungeni Vyuo vyote, unawezaje kuamini Dawa ambayo hata anayeitengeza hajui Virus ni nini? Anatibu vipi kama hajui...
MTAWA wa Kanisa Katoliki ambaye ni Mtanzania kutoka Mkoani Kilimanjaro, Sista Anastasia Cristian Malisa amefariki dunia kwa virusi vya corona nchini Italia ambako alikuwa akitoa huduma ya kiroho kwa takribani miaka 26.
Habari zilizochapishwa na mtandao wa Kanisa Katoliki duniani wa vaticannews...
Siku tu Dkt Mwigulu alipodai kesi mpya za wagonjwa wa corona zisitangazwe na akashambuliwa sana mitandaoni basi nikajua Dkt. Mwigulu anakijua atendacho. Nikakumbuka ndugu mmoja aliyenidokeza kuhusu Dkt. Mwigulu tangu akisoma Sekondari Mazengo alivyokuwa akitaka cheo ni lazima akipate, atatumia...
WHO mlisema mnatoa ushauri wa kitaalamu kuhusu corona. Sisi Rais wetu mwenye PhD ni mtaalamu zaidi na kwa mapenzi aliyonayo kwetu sisi raia wake amepima baadhi ya vitu kama mbuzi na mapapai, na kugundua kuwa mbuzi na mapapai vyote Viña virusi vya corona.
Kumbe Yale madumu ya maji tiririka na...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Mike Pompeo amedai kuwa kuna ushahidi wa kutosha kuwa CoronaVirus imetokea maabara iliyopo Wuhan nchini China
Akizungumza na Kituo cha ABC, Waziri huyo amesema Wataalamu wanaamini kuwa Corona imetengenezwa hivyo hana sababu ya kuamini vinginevyo. Hata hivyo...
Wanabodi,
Kila nipatapo nafasi, huja na hoja za " Kwa Maslahi ya Taifa" zenye lengo la kuhamasisha uzalendo kwa nchi yetu, Mada ya leo, naizungumzia idadi ya kweli ya waliokufa kwa Corona Tanzania mpaka hapa ninapo andika bandiko hili, Tanzania wamekufa watu 16 tuu kwa ugonjwa wa Corona...
Mti huu sio mgeni kwa tiba kwa baadhi ya nchi za Africa, siku za nyuma pia ulikuwa ukitumika kutibu malaria na maradhi mengine madogo madogo, Madascar wameendelea kugawa bure na kuhamasisha wananchi kutumia dawa hiyo
Sio mti kama mti unaotibu covid 19 bali wenyewe wanachanganya na baadhi ya...
Mwalimu Mwakasege ambaye leo anamalizia semina yake ya siku 4 kwa njia ya mtandao amesema dalili za Corona ni zilezile zinazokuwepo kwenye magonjwa mengine tofauti yake ni moja tu Covid 19 imejaa hofu.
Mwakasege amesisitiza kuwa hofu haipaswi kuogopwa bali kuikabili ukiwa umechukua tahadhari na...
Wanabodi,
Kwa mujibu wa Rais Magufuli wametuma sample za mimea na wanyama kwa kuzipa majina ya binadamu kwenye maabara kuu ya Taifa Dar es Salaam kwa siri bila wapimaji kufahamu baada ya kupimwa zimetest positive yaani zina corona
Hapa ndipo Magufuli ameprove uwana-science wake.
Je? Tatizo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.