Humu wameizungumzia Corona, huu ndo tunaita ubunifu.
Siyo Habari za bunyero bunyero inama nipachike rungu
MASHAIRI
Rostam - Kaka Tuchati Lyrics | Afrika Lyrics
(Tongwe Records)
Oooii naona mtandao unakatika
Upo kimya sana mkato au kunde imevunjika
Na mtanyooka roundi hii
Na hivi huwezi...
Viongozi wa serikali baada ya shule kufunguliwa msije mkawanyanyasa walimu kwa kauli za maudhi.
Mnakuwa wavivu mbona mlikaa nyumbani bure huku mnalipwa.
Mnaidaidai serikali madeni ya malimbikizo mbona mlikuwa mnalipwa bure.
Juzi tu mlikuwa nyumbani Leo mmeanza kuomba omba ruhusa.
Wenzenu...
Kuwa mnene wa mwili wa kupindukia kunafahamika kuongeza hatari ya mtu kupata magonjwa kadhaa, mkiwemo magonjwa ya moyo na kisukari aina ya pili.
Utafiti wa awali unasema huenda unene wa kupindukia ukawafanya walio na Covid-19 kuugua zaidi, lakini ni kwanini iwe hivyo?
Je kuna ushahidi kwamba...
Wachawi nawajua kama mi ndo nimewaumba vile. Kitaa nnachotoka mimi uswazi ni nyumba mganga, nyumba mchawi, nyumba mganga nyumba mchawi.
Mjomba mganga Shangazi mchawi. Mama mganga, mama wa Kambo mchawi.
Watoto wadogo vbaka machokoraa, dada zao malaya, Kaka zao majambazi.
Chimba fukia vunja...
Serikali ya Tanzania imepokea msaada wa dawa ya kutibu na kujikinga na ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na Virusi vya Corona uliotolewa kwa Tanzania na Nchi ya Madagascar, Msaada huo umepokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje Prof Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi.
Ndege maalum ya ujumbe...
May 8, 2020
Antananarivo, Madagascar
Video Source : millard ayo
Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Mh. Prof. Palamagamba Kabudi amepiga kuwa serikali ya Tanzania imeamua kujibagua, kujitenga na kulegalega katika kupambana na gonjwa la Covid-19.
Tanzania imetoa uongozi madhubuti ulio...
Mwanamke huyo amethibitika kuwa na CoronaVirus ijumaa, amekuwa ni mtu wa pili ambaye anafanyakazi ndani ya ikulu ya Marekani kukutwa na maambukizi ya virusi vya corona
==
WASHINGTON – An aide to Vice President Mike Pence has the coronavirus, marking the second person in the White House...
HALI ILIVYO RWANDA: Dereva wa Lori kutoka #Tanzania haruhusiwi kuvuka Mpaka wa Rusumo ili kuepuka kuingiza Corona nchini humo.
Badala yake; akifika kituo cha Kiyanzi, mzigo wote utapuliziwa dawa kisha atakabidhi Lori kwa dereva wa Rwanda ambaye atalipeleka hadi kituo cha mwisho. Serengeti Post...
May 8, 2020
Dar es Salaam, Tanzania
DAKTARI Aichambua CORONA, Atoa USHAURI - "Hakuna SAYANSI Bila MUNGU" GLOBAL TV
Mtaalamu huyo wa Maendeleo ya Binadamu amefanya mahojiano maalum na Daktari Maryrose Kavura Majinge, ambaye amechambua kwa kina kuhusiana na janga la ugonjwa wa Corona na kutoa...
Kwenu marais wetu Wastaafu, Mwinyi, Mkapa na rais Kikwete.
Kwa heshima na taadhima inafikirisha kuwaandikia waraka huu baada ya kuwa kwa dhati kabisa, njia nyingi zimejaribiwa kushauri, kuhimiza, kuomba, kuisihi nk ili kuwepo mtizamo tofauti kuhusiana na ugonjwa huu.
Nchi hii ni yetu sote...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amesema sababu ya kutotangaza mwenendo wa ugonjwa wa Corona ni kutokana na maboresho yanayofanyika kwenye Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, ambapo kuna marekebisho yanafanyika na ndani ya siku chache marekebisho...
Kwenye website ya IMF Tanzania Jana imeupdate taarifa yake lakini inaonekana kama imepikwa kwa sababu hakuna serikali imefanya kwenye kuhakikisha uchumi hautetereki hasa kwenye SME.
Angalia nakala ambatanishwa.
TANZANIA
Background. Tanzania has reported 480 positive cases, and 16 deaths of...
Tusiposhikamana na kuamka sote, tatizo hili la Corona litatumaliza.
Moja kwa moja kwenye mada. Nimejipa wakati kuzungukia katika miradi kadhaa ambapo labda mabeberu nao walikuwa na mchango (makandarasi, washauri, wataalamu, wafanyakazi nk). Wote wameshamwaga mbio na kutuacha kurudi makwao...
Wanabodi,
Je, una swali lolote la kihabari, kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini Tanzania, Dk. Harrison Mwakyembe?
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini Tanzania, Dk. Harrison Mwakyembe, kesho asubuhi, kuanzia saa 1:30-3:00 atakuwa live kujibu maswali yako...
Igwee!!!
Katika pita pita zangu nimekuwa nikisikia kila mtu akinipa maelezo kuwa aisee nimeumwa mafua, mara last week nilikuwa sisikii harufu hata ya kinyesi, mwengine atasema mara koromeo limemuuma mpaka basi.
Now considering hii wanayosema haka kavirus kanajibadilisha badilisha kila siku-...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema mlipuko wa CoronaVirus unaweza kusababisha vifo kwa Waafrika wapatao 190,000 ndani ya mwaka mmoja tangu uanze kama ukishindwa kudhibitiwa
Mkurugenzi wa WHO Afrika, Dkt. Matshidiso Moeti amesema kuna uwezekano COVID19 haitosambaa kwa kasi barani humo kama...
Wakati huu ambapo vyuo na shule zimefungwa kwa muda kama sehemu ya tahadhari dhidi ya CORONA kuna Halmashauri zimetoa agizo walimu wote wawe wanaenda kusaini kazini kila siku asubuhi na kurudi nyumbani ambaye hatafanya hivyo atakuwa mtoro kazini ..!
Clients wa mwalimu ni wanafunzi na sababu ya...
UTANGULIZI
Barakoa (mask) ni kikinga pua na mdomo na ni nyenzo muhimu inayoweza kutumika kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya vimelea vya maradhi kupitia njia ya hewa. Kuna aina mbalimbali za barakoa ambazo huandaliwa kwa madhumuni tofauti. Zipo aina kuu tatu (3) za barakoa ambazo zinaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.