johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,961
- 141,957
Binafsi nakubaliana kabisa na wabunge wa CHADEMA kujiweka katika karantini kwa sababu hiyo ni haki yao ya kikatiba ya kulinda uhai.
Kilichonishangaza kidogo ni namna Chadema inavyofanya maamuzi bila vikao rasmi vya kikatiba kuketi.
Kwa mfano wabunge wa chama kutoingia bungeni ni muhimu wakapata baraka za kamati kuu na siyo swala la kuamliwa na wabunge pekee au Freeman na Bulaya pekee.
Wote tunajua KUB Mbowe ametoka katika mazingira magumu ya kupambana na Corona kifamilia hivyo bado ametawaliwa na Hofu hivyo anaweza kujikuta anafanya maamuzi ya kufikirika zaidi na si si halisi.
Nashauri kamati kuu ya Chadema ikutane haraka kukinusuru chama wabunge ni wawakilishi wa wananchi siyo Chama cha siasa.
Maendeleo hayana vyama!