Naibu waziri wa maji Mh. Awesu amezitaka mamlaka za maji kuwarejeshea Huduma wale waliokatiwa na kisha kuwawekea utaratibu wa kulipa polepole.
Mh Awesu amesema wakati huu wa janga hili la Corona kila mtu anapaswa kuwa na maji ya uhakika ili kuweza kukabiliana nalo.
Source: Clouds tv!
=====...
Taasisi ya Utafiti NIMR imefanikiwa kutengeneza dawa lishe itakayowasaidia wenye maambukizi ya Corona kukabiliana na virusi hivyo.
Mkuu wa NIMR Prof Yunus Mgaya amesema dawa hiyo inasaidia kufungua kifua kwa wale wanaobanwa pumzi na kuwapa wepesi wa kupumua.
Prof Mgaya amesema dawa hiyo ina...
Kwa mujibu wa ripoti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar SMZ iliyochapishwa kwenye ukurasa wa kijamii wa Twitter wa mbunge Zitto Kabwe ambayo imetoka ndani ya Serikali, inaonyesha kuwa mpaka jana mei 6, 2020 Zanzibar ina visa vya COVID 235 na vifo vitokanavyo na ugonjwa huo vipatavyo 32...
Ubalozi wa Tanzania nchini India umeeleza kuwa unaendelea kuandaa utaratibu wa kuwarejesha nchini Watanzania waliokwama India.
Katika taarifa yake, ubalozi huo umesema kuwa utahusika katika kuomba vibali vya ndege ya Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) kutua katika Jiji la Mumbai tarehe 11 Mei...
Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa linalojishughulisha na masuala ya Afya – ICAP kutoka Chuo Kikuu cha Columbia New York, Dkt. Fernando Morales amefariki dunia
Habari zaidi kukujia punde
WASIFU WAKE (KWA UFUPI)
Dr. Fernando Morales is ICAP’s country director in Tanzania. In this role, he...
AFRIKA CDC: VIPIMO VYA #CORONAVIRUS VINAVYOTUMIKA TANZANIA VINAFANYA KAZI VIZURI
Mkuu wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika (Afrika CDC) amenukuliwa na Reuters akipinga madai ya Rais Magufuli kuwa huenda vipimo vya #CoronaVirus nchini vina shida ya kiufundi
Dkt. John Nkengasong...
Haki miliki ya pichaUNIVERSITY OF PITTSBURGH
Mauaji ya raia wa China, mtafiti wa masuala ya virusi vya corona kwenye ardhi ya Marekani yamesababisha nadharia mbalimbali duaniani kuwa kuna sababu iliyojificha kuhusu kifo chake.
Bing Liu, profesa msaidizi mwenye miaka 37 katika Chuo Kikuu cha...
Katika matarajio ya siku ya Mama duniani,ifanyakapo kila mwezi wa Mei, ripoti ya Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF linakadiria kuwa katika kipindi cha janga la covid-19,watazaliwa watoto milioni 116 ulimwenguni kote kati ya Machi hadi Desemba mwaka huu.
Taarifa ya UNICEF...
Habari wana jukwaa, mimi sio mwanasiasa wala sio mwanaharakati huru/wa kujitegemea lakini nimejikuta nikitamani kusema haya nikiwa kama raia ninaejali utu,usamala na uhai wa raia wote nchini ambao ndiyo msingi/mtaji wa mwanasiasa yeyote duniani,sasa niwakumbushe tu kuna kale ka msemo ka wahenga...
Ukimya wa Wizara ya Afya ya Zanzibar kuhusiana na Taarifa za Maambukizi mapya ya corona umeleta mashaka makubwa , hakuna tena taarifa mpya kama Tanganyika wanavyofanya.
Wafuatiliaji wa mambo wana hofu kwamba huenda Mh Waziri kapokea maelekezo maalum , haiwezekani Tanganyika na Zanzibar kukosa...
Wanabodi,
Asubuhi ya leo, nimepata tena fursa, kuendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo ni makala za kuhamasisha uzalendo na huendeshwa kwa mtindo wa maswali, yakifuatiwa na hoja, kisha majibu uyatoe wewe msomaji mwenyewe. Mada ya leo ni kuhusu hatua mbalimbali...
Hatuwezi kilinganisha Tanzania na nchi kama China, US, UK na Italia katika nyanja ya miundombinu ya huduma za Afya.Pia hatuna uhakika kuwa ni lini ugonjwa huu wa Corona utapata tiba au chanjo. Pia ni wazi kuwa hatuwezi kuendelea kuwa na watu waoga ambao wanajifungia kutokufanya kazi kukabiliana...
Sijajua ni kwanini mbunge wa Bariadi alitamka maneno haya lakini kwa yanayoendelea bungeni naunga mkono hii kauli.
Bunge hili la bajeti limekuwa ni bunge la kuijadili Chadema badala ya kujadili mustakabali wa uchumi wetu.
Jana inapitishwa bajeti ya wizara ya viwanda na biashara huku Biashara...
Kutokana na hill janga la korona nimepewa likizo ya bila malipo. Mimi ni mwalimu katika shule moja private, likizo hii tumepewa wafanyakazi wote.
Ninapitia wakati mgumu sana ninapenda kuwashauri vijana ambao bado hamjaoa nivema mkaoa wadada wafanyakazi pia jaribu kuwa na biashara pembeni...
Nimejaribu kukusanya ushahidi wa mdomo (word of mouth) toka kwa watu wengi sana kuhusu homa za mafua walizopata watu kipindi cha mwaka jana mwishoni na mwaka huu mwanzoni, ambapo hata mimi niliumwa, ukiangalia dalili walizopata na jinsi mafua yake yalivyokuja katika timing ile ile ya mlipuko wa...
Tazama namna Corona ilivyoathiri miji mbalimbali ulimwenguni. Janga hili limesababisha watu kuwekwa Karantini ikiwemo miji mingine kuwaamuru raia wake kutotoka nje.
WANASAYANSI nchini Kenya wameungana na wenzao wa Kimataifa katika juhudi za kutafuta chanjo ya ugonjwa wa Covid-19, kwa kufanyia majaribio dawa tatu. Majaribio ya chanjo itafanyiwa binadamu ili kubaini ikiwa dawa hizo zinaweza kutibu ugonjwa huo.
Lakini Je dawa hizo ni zipi?
Watafiti wamekuwa...
Sisi wote ni Watanzania na tuna wapedwa na sisi wenyewe ambao tunaogopa huu ugojwa ambao umeingia. Nasikitika sana tofauti zetu kugeuzwa kisiasa. Kwenye hili hakuna jibu zuri na kufurahisha kila mtu ni maamuzi tu ndiyo yanapishana
1. Je tufunge sehemu kwa muda kuzuia mpasuko wa huu ugojwa ambao...
Kwangu hata kama nipo CCM lakini naona bado Mbowe na wale wabunge wenye msimamo wa CHADEMA wana hoja. Tena wana hoja yenye maana kubwa tu - kumbuka hata baadhi ya viongozi wa dini wanawapiga nyundo. Kwa waliosoma Kitabu cha "An Enemy of the People" najua wanajua naeleza nini.
Kwenye conclusion...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.