Kama haujui RNA na mRNA ni nini, huwezi tibu/kinga dhidi ya korona, acheni ujinga!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Wote mnaoshabikia ujinga wa Madagaska, mnajidanganya na kupoteza muda, hamna tofauti na Kinjekitile na Vita ya maji maji tulishatoka huko, isitoshe kama haumini Sayansi iliyopo basi fungeni Vyuo vyote, unawezaje kuamini Dawa ambayo hata anayeitengeza hajui Virus ni nini? Anatibu vipi kama hajui tabia ya virus, na kama haumini kama kuna Virus kwa nini unatumia neno korona? Kwa maana korona ni kundi la virus ambavyo cov19 ni mojawapo.

Acheni ujinga, tuwekeze kwenye elimu tutoke hapa, mambo ya kuamini kuruka na ungo tumeshathibitisha kuwa hayapo.

Uchawi uko hapa chini, tuwekeze hapo, fvck Madagaska!

1588584343477.png
 
Mkuu andiko lako linapingana na maelezo na maelekezo ya mwenyekiti?
 
Wote mnaoshabikia ujinga wa Madagaska, mnajidanganya na kupoteza muda, hamna tofauti na Kinjekitile na Vita ya maji maji tulishatoka huko, isitoshe kama haumini Sayansi iliyopo basi fungeni Vyuo vyote, unawezaje kuamini Dawa ambayo hata anayeitengeza hajui Virus ni nini? Anatibu vipi kama hajui tabia ya virus, na kama haumini kama kuna Virus kwa nini unatumia neno korona? Kwa maana korona ni kundi la virus ambavyo cov19 ni mojawapo.

Acheni ujinga, tuwekeze kwenye elimu tutoke hapa, mambo ya kuamini kuruka na ungo tumeshathibitisha kuwa hayapo.

Uchawi uko hapa chini, tuwekeze hapo, fvck Madagaska!

View attachment 1439488
Umeandika makorokocho.
Huweleki.
Kata kichwa hicho, weka kalio.
 
Intergrase enzyme, muulize Rajolina kama hii kitu amewahi kuisikia.
By the way, wewe si muumini wa Jiwe! Leo vipi unapinga kujifukiza?
 
Ni kweli magonjwa yanayosababishwa na virusi bado hayana dawa ya kuponyesha moja kwa moja. Hata hivyo zipo dawa za kupunguza makali ya virusi na kuufanya mwili uweze kupambana navyo hadi kuvimaliza kabisa au kupunguza uwingi wake. Hata ARVs za UKIMWI zinaitwa dawa/tiba, au siyo? Juzi hapa Marekani imethibitisha dawa Remdesvir kama COVID-19. Uki-Google utapata taarifa kamili.

Kuhusu hii dawa ya Madagascar, unasema haifai hata kupunguza makali ya virusi? kwa msingi gani? au kwa sababu tu haijatoka Ulaya/Marekani.

Halafu, eti tu kwa sababu umefundishwa kuhusu RNA na mRNA kwenye baiolojia ya form 4 au form 6, usikimbilie kuhitimisha kwamba virusi havina dawa na haitakuja kupatikana milele. Wanasayansi mabingwa wako kazini kufanya utafiti -- lolote laweza kutokea.
 
Wote mnaoshabikia ujinga wa Madagaska, mnajidanganya na kupoteza muda, hamna tofauti na Kinjekitile na Vita ya maji maji tulishatoka huko, isitoshe kama haumini Sayansi iliyopo basi fungeni Vyuo vyote, unawezaje kuamini Dawa ambayo hata anayeitengeza hajui Virus ni nini? Anatibu vipi kama hajui tabia ya virus, na kama haumini kama kuna Virus kwa nini unatumia neno korona? Kwa maana korona ni kundi la virus ambavyo cov19 ni mojawapo.

Acheni ujinga, tuwekeze kwenye elimu tutoke hapa, mambo ya kuamini kuruka na ungo tumeshathibitisha kuwa hayapo.

Uchawi uko hapa chini, tuwekeze hapo, fvck Madagaska!

View attachment 1439488

Siamini macho yangu,au jina mtu ame-hack account yako?
 
Wasomi wenzako wanaandamana marekani wanataka Bill Gates akamatwe kutokana na mpango wake wa kutaka kupiga hela kupitia miili ya watu. Wanaoamini hii covid-19 ni hulka yake tu ya kujitafutia hela kwa kuzalisha tatizo na kulitatua. Sasa wewe subiri kinga ya wasomi wakina Bill Gates sisi tuko na bidhaa ya Madagascar.
 
Wote mnaoshabikia ujinga wa Madagaska, mnajidanganya na kupoteza muda, hamna tofauti na Kinjekitile na Vita ya maji maji tulishatoka huko, isitoshe kama haumini Sayansi iliyopo basi fungeni Vyuo vyote, unawezaje kuamini Dawa ambayo hata anayeitengeza hajui Virus ni nini? Anatibu vipi kama hajui tabia ya virus, na kama haumini kama kuna Virus kwa nini unatumia neno korona? Kwa maana korona ni kundi la virus ambavyo cov19 ni mojawapo.

Acheni ujinga, tuwekeze kwenye elimu tutoke hapa, mambo ya kuamini kuruka na ungo tumeshathibitisha kuwa hayapo.

Uchawi uko hapa chini, tuwekeze hapo, fvck Madagaska!

View attachment 1439488

Uzuri kwa Tanzania kila mtu ni mtaalamu wa afya
 
Umemsaliti M/Kiti wako wa Chama?
Watu wanafukiza ile mbaya wakisubiria dawa toka madagaska
 
Back
Top Bottom