corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

    Habari! Karibu ili kujuzwa na pia kupata taarifa (masasisho) mbalimbali ya kile kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus) almaarufu kama "kirusi cha Wuhan" kutoka nchini China. Katika uzi huu utapata kufahamu mambo mbalimbali hususani hali ya ongezeko na ukuaji, jitihada...
  2. U

    JamiiForums Tanzania WHO wanaposisitiza nchi zitoe takwimu badala ya dawa ya Corona nayo ni Siasa ya Dunia

    Kwa level ambayo dunia imefikia kwa sasa sio rahisi kuamini kwamba hadi sasa dunia imeshindwa kupata dawa au njia sahihi ya kuthibiti kirusi cha Corona. Ikumbukwe kuwa jamii ya kirusi hiki kipo tangu siku nyingi kitu kinacholeta ukweli kwamba tayari wanasayansi walikwishafanyia utafiti siku...
  3. B

    JamiiForums Tanzania WHO yasema idadi ya maambukizi ya Corona hayatakuwa makubwa Afrika kama ilivyokadiriwa

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetabiri kuwa idadi ya maambukizi ya virusi vya Corona barani Afrika haitakuwa kubwa kama ilivyokadiriwa na kilele chake pia kitachelewa kufika katika nchi nyingi za bara hilo kutokana na hatua madhubuti zilizochukuliwa kuzuia kuenea kwa virusi hivyo. Mkurugenzi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Dar kama Dubai vile tunaelekea kubaya zaidi

    Moja kwa moja kwenye mada. Itifaki yote imezingatiwa. Nchi nyingi duniani zilipokea wagonjwa wa mwanzo wa Corona tokea Dubai. UAE wenyewe walikuwa na wameendelea kuwa wagumu kukubali kiwango cha maambukizi nchini mwao. Dar tumekuwa kama Dubai tu kila anayetoka kwetu ana Corona. No wonder hata...
  5. mimitungi

    JamiiForums Tanzania USA mswaada wa Sheria H. R. 6666 na Microsot chip 060606, Je? Ni mwanzo wa upimaji wa Corona kinguvu duniani?

    Malengo yake ni: To authorize the Secretary of Health and Human Services to award grants to eligible entities to conduct diagnostic testing for COVID–19, and related activities such as contact tracing, through mobile health units and, as necessary, at individuals’ residences, and for other...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mtazamo mpya wa dunia kuhusu Corona ni kuwa dunia imefikia breaking point; vizuizi vitaondolewa, watakaokufa watakufa, watakaopona watapona

    Imeonekana kwamba lockdown ya Corona inasababisha athari kubwa sana za kiuchumi duniani. Watu wanapoteza kazi, kampuni zinakufa, serikali zinakosa mapato nk. Ni dhahiri sasa kwamba lockdown zinatikisa hata mataifa makubwa kama Marekani kiuchumi - na ndio maana hata Tanzania imeepuka sana kuweka...
  7. Abdalah Abdulrahman

    JamiiForums Tanzania Miradi ya kimkakati na uongozi imara wa serikali ya awamu ya tano umechangia kupunguza athari za janga la corona Tanzania

    Janga la corona limetikisa dunia kwa kusababisha taharuki na vifo vya watu zaidi ya laki tatu, kusababisha mdororo wa uchumi kwa kusimamisha uzalishaji, kupunguza ajira na madhara mengine mengi kwa binadamu.Hizi ndizo athari za muda mfupi tunazoweza kuziongelea kwa sasa,athari za muda mrefu...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Prof Mgaya:Tukiithibitisha dawa ya Corona kutoka Madagascar tutaanza kuitengeza hapa nchini, tumieni fomula hii kutengeneza NIMRCAF majumbani

    Mkurugenzi Mkuu wa NIMR Prof Yunus Mgaya amesema taasisi yake inaifanyia utafiti dawa ya Corona kutoka Madagascar na ikijiridhisha kwamba inafaa basi itaanza kutengenezwa hapa hapa nchini. Kadhalika Prof Mgaya amewataka watanzania watumie dawa ya NIMRCAF inayotengenezwa na taasisi yake. Prof...
  9. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania SMZ: Baadhi ya misikiti yafungwa kabisa Zanzibar kuepuka maambukizi zaidi ya Corona

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia kwa waziri wake, Mheshimiwa Hamad Rashid imesema misikiti kadhaa ndani ya nchi ya Zanzibar imefungwa kabisa kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhan ili kuepuka kuenea kwa maambukizi ya virusi vya Corona. Hata hivyo ameshindwa kufafanua kama hatua hiyo...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania WHO: Corona Virus inaweza isiondoke

    Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Afya Duniani ‘WHO’ amesema #CoronaVirus wanaweza wakaendelea kuwepo na kujiunga na virusi vingine vinavyoendelea kuua watu duniani Amesema hafananishi virusi hivyo ila ni vyema kujua uhalisia, kwa kuwa hakuna anayeweza kutabiri siku ambayo ugonjwa huo unaweza...
  11. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Teknolojia inavyotusaidia kupambana na Kirusi cha Corona

    Mlipuko wa homa ya kirusi cha corona umeleta athari nyingi kwa jamii zetu na kuathiri kwa kiasi kikubwa wananchi na watoa huduma ya afya barani Afrika na duniani kote. Nchi mbalimbali zimechukua hatua kusaidia taasisi za afya kama hospitali kuweza kuhudumia idadi kubwa ya wagonjwa ambayo kwa...
  12. Cannabis

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Idadi ya maambukizi imepungua Dar, kuna watu walinunua majeneza na kupiga picha ili kuzua taharuki

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda amesema hali katika mkoa huo inaendelea vizuri na anachofahamu ni kuwa wamemuomba Mungu na kila mmoja ameendelea kuchukua tahadhari Amesema “Kila mmoja ameweka jitihada kuhakikisha amevaa barakoa, kwenye daladala tumehakikisha watu wanapeana nafasi, watu...
  13. G Sam

    JamiiForums Tanzania Namanga: Madereva 23 toka Tanzania wazuiliwa kuingia Kenya baada ya kukutwa na COVID-19

    Wewe Waziri wa Afya kweli ni mwanamke unayejua uchungu wa mtoto? Kwenye janga hili la Corona unafuata muongozo upi ambao unaelekea kuiua Tanzania? Tumechoshwa na habari za aina hii kila siku. Pia nikueleze kuwa tunachoshwa na madhila tunayoyaona huku mitaani. Hatujazoea kuishi na maiti sisi...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hii si ajabu kuruhusu mikusanyiko ya ibada na kuzuia watu kuwazika wapendwa wao!, Hawajui kuwa mazishi pia ni ibada? RIP Fili Karashani, tumekuzika!

    Wanabodi, Niko mitaa ya Kinondoni Makaburini, nimekuja kumzika Nguli Mzee Fili Karashani, ila wakati mwili wanazikwa kule kaburini, wengi wetu tunazikia huku umekaa viti vya juu hapa Break Point, sio kwa kupenda, bali tumelazimika... Tangu kuanza kwa hili janga la Corona, leo nimekutana na...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Tanzania ndio tunaratibu mapambano ya Corona kwa nchi za SADC na Waziri Ummy aliongoza kikao cha kupanga mikakati mwezi Machi

    Akiwasilisha hotuba ya makadirio ya wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika mashariki Prof Kabudi amesema Tanzania ndio mratibu wa mipango ya kudhibiti Corona kwa nchi za SADC. Prof Kabudi amesema mwezi March mwaka huu waziri wa afya mh Ummy Mwalimu aliongoza kikao cha mawaziri wa afya...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Matibabu ya Kisukari yasihusishwe na Corona

    Waziri wa afya mh Ummy Mwalimu amewataka Wauguzi na madaktari kutowanyanyapaa wagonjwa wa kisukari kwa kuhofia huenda wana maambukizi ya Corona. Ummy amesema wagonjwa wa kisukari wapewe haki yao ya matibabu na kamwe matibabu yao yasihusishwe na Corona. Chanzo: Habari Leo Maendeleo hayana vyama!
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania: Uwezekano wa kupata Corona Dar ni mkubwa

    Ubalozi wa Marekani umesema Dar es Salaam ni mkoa ambao hatari ya kupata #CoronaVirus ni kubwa. Wamedai japo serikali haitoi takwimu kuhusu hilo ushahidi wa kimazingira unaonyesha wagonjwa wanaongezeka kwa kasi ndani ya Dar. Wamedai hospitali nyingi zinahofu kutokana na ukosefu wa vifaa tiba...
  18. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Ni Kumbukumbu tu jamani kutokana na CORONA hii, hivyo tusinuniane tafadhali!

    Kwa mujibu wa CAF, Yanga ya Tanzania inashikilia rekodi ya kufungwa mabao mengi zaidi katika msimu mmoja wa michuano ya klabu Bingwa Afrika hatua ya Makundi. Msimu huo ulikuwa ni mwaka 1998, Yanga ilifungwa mabao 19 katika mechi 6 za Makundi, ikipoteza dhidi ya Asec Mimosa ya Ovprt Coast...
  19. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Serikali iko sahihi kutoruhusu lockdown kila ugonjwa wa kuua ukija Kuna wanaokufa na kuna wanaobaki sembuse corona?

    Migonjwa ya kuua kibao imeshatokea kiwe kipindupindu,malaria ,degedege ,ukimwi no lakini hiyo.migonjwa inaua lakini kina inaowrsa kuua na wengine wanabaki imeshindwa kuua wote sembuse corona? Siku ya kifommtu Kama umeandikiwa kufa ikifika siku yako hata uvae barakoa kuikwepa corona isikuue...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Habari Njema: Mtoto wa Mbowe apona Corona

    Hii ni baada ya vipimo kuthibitisha kwamba hana hata kidoa cha Corona . Nakala imfikie Shetani popote alipo .
Back
Top Bottom