Prof Mgaya:Tukiithibitisha dawa ya Corona kutoka Madagascar tutaanza kuitengeza hapa nchini, tumieni fomula hii kutengeneza NIMRCAF majumbani

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,840
141,765
Mkurugenzi Mkuu wa NIMR Prof Yunus Mgaya amesema taasisi yake inaifanyia utafiti dawa ya Corona kutoka Madagascar na ikijiridhisha kwamba inafaa basi itaanza kutengenezwa hapa hapa nchini.

Kadhalika Prof Mgaya amewataka watanzania watumie dawa ya NIMRCAF inayotengenezwa na taasisi yake.

Prof amesema kwa wale wasioweza kuinunua madukani wanaweza kuitengeneza nyumbani kwa kutumia formula hii.

Lita 1 ya maji ya moto

Kitunguu saumu punje 10 hadi 15

Malimao 2

Kitunguu maji kikubwa 1

Tangawizi size ya kidole gumba 4

Pilipili kichaa 5

Changanya kwa kutumia blender kwa dakika 4 hadi 5

Kisha iache ipoe na uanze kuitumia

Source Channel ten

Maendeleo hayana vyama!
 
Mgaya huyu msakatonge tu mwambieni Magufuli kama corona imeisha aje dar , sijui atakaa huko mpaka lini.
 
Hizo unaongeza mwenyewe kama ni mpenzi wa pilipili!
Ila Prof aliitaja mkuu.
IMG_20200514_102645.jpg
 
Sasa wakiithibitisha hiyo ya madasca, na kuanza kutengeneza wenwenyewe si watakuwa wamefanya uharifu wa kibiashara au watatengeneza under licence? hiyo ni sawa na ku-burn CD ya muziki badala ya kununua
 
Back
Top Bottom